dini

  1. Elly official

    JamiiForums Tanzania Dini ni uongo unaopumbaza na kuendeleza fikra za kitumwa

    1. UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, dini imekuwa na nafasi kubwa katika maisha ya watu—ikiwapa matumaini, maadili na mwongozo wa maisha. Lakini katika upande wa pili wa sarafu, dini pia imekuwa kifaa cha kihistoria cha udanganyifu, unyonyaji, uongo, na utumwa wa kiakili. Kwa bara la...
  2. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Katika mambo ya kisiasa nchini, dini ya kiislamu wana tatizo gani?

    Wakuu nileo tena. Napatwa na ukakasi nikisikiliza na kuangalia hawa mashekh wanapotoa maneno yao hususani kwenye kutumika kwao na watawala. Nimejiuliza hawa wenzetu wana fikra kama.za ma padree na wachungaji ..? Ni dhahiri huwezi kumweka shekh na mwinjilisti tu katika kudadavua mambo...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

    Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu za Jumuiya , Wakatoliki wapo Milioni 24, KKKT mil 12, Madhehebu na dini nyingine sifahamu

    Hii Si Muhimu Sana, Lakini Wakristu wa Madhehebu ya Katoliki na Kkkt kupitia Jumuiya zao , wanazo takwimu za idadi ya waumini wao ,ambazo accuracy ya taarifa zao ni asilimia 94-100. Inaonesha Kwa madhehebu ya Kikristu Kanisa Katoliki ndio linaongoza Kwa idadi ya waumini wengi likiwa na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo movement ya Kataa Ndoa, tunahitaji movement ya Kataa Dini

    Wakuu ukifatilia huu upuuzi tulioletewa na hawa watu wa nje ya afrika, utagundua kuna mambo mengi ni ya uongo uongo sana. Tunahitaji kukataa kuwa manipulated. Nimekuwa nikifatilia uongo wa Biblia kwa muda mrefu sana. Ni kitabu ambacho kina controversy kupitiliza. Kuna versions sio chini ya 100...
  7. Bharka

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Ni ndefu kiasi ila jitahidi umalize. Natumaini Wote Mu wazima wa afya, kwa walio wadhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu tena. Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa sababu za privacy tu sababu ID nayotumia nafahamika personally na baadhi ya watu, kwa hivyo naomba...
  8. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania “Kuondoka Kwenye Imani ya Dini: Kutoroka Mfungo au Kukosa Uelewa?”

    Kuna kipindi kijana anakua kwenye familia ya dini, amelelewa vizuri, kila Jumapili au Ijumaa yupo kanisani au msikitini, anajua kusali, anajua kusamehe, anajua kujizuia na makatazo ya imani… lakini ikifika miaka ya 20s, game inabadilika. Ghafla unamkuta yuko TikTok akisema “Mimi sio mtu wa dini...
  9. Walletking

    JamiiForums Tanzania Mwanamume wa Heshima (29) anatafuta Mwenza wa Maisha mwenye Dira na Dini

    Jina: Ismail Umri: Miaka 29 Uraia: Mtanzania (kwa sasa naishi Zambia) Kazi: Dereva wa magari makubwa, pia nina ujuzi wa kompyuta na teknolojia Dini: Muislamu Tabia: Mpole, mcha Mungu, muwazi, msikivu, sina anasa, ninathamini mawasiliano ya kweli na uaminifu. Hobies: Kusafiri, kusoma, muziki, na...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa dini, inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?

    Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
  11. Little brain

    JamiiForums Tanzania “Kwa Nini Wakristo na Waislamu Hujiona Bora, Ilhali Kuna Zaidi ya Dini 4000 Duniani?”

    Wakuu Duniani kuna zaidi ya dini 4000, kila moja ikiwa na waumini wanaoamini kuwa njia yao ni sahihi. Hata hivyo, Wakristo na Waislamu — wakiwa dini mbili kubwa zaidi — mara nyingi hujionyesha kana kwamba wao tu ndio walio kwenye ukweli wa kipekee. Je, huu ni ushahidi wa ufunuo wa kweli...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Dini na Madhehebu yote Tanzania.

    Tunahitaji ukombozi kamili wa Nchi yetu. Kwa hiyo, naomba tusiishie tu kukemea MAPEPO yasiyoonekana badala yake tukemee pia MAPEPO yanayoonekana na tunayoishi nayo Mitaani mwetu. Ukienda Kanisani au Msikitini, unapotoa sadaka yako kumbuka kunuilizia kwamba, Mungu naomba kupitia sadaka hii...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana na kuvutiwa sana na siasa za Iran za kutokubali kushindwa mbele ya nchi zenye nguvu pamoja na...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nililia niliposoma hotuba hii kutoka kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

    Nililia niliposoma hotuba hii kutoka kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, lakini mwishoni nilisema, "Utukufu kwa Mungu wa Israeli" Hebu tusome pamoja: Bw. Netanyahu alisema: Miaka 70 tu iliyopita! Wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo. 🔵 Miaka 60 iliyopita! 🔵 hakuna...
  15. buzitata

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kuhusu huu utata ulipo kwenye dini

    Habarin wakuu Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani.. Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu mahubiri na kusomewa neno halafu ndo inakua imetoka hiyo. Kuna mwaka fulani nilibahatika kukaa na watu...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Dini ya Allah inaruhusu uchawa?

    Mwijaku ni moja kati ya wafia dini ya Allah na anadai kuwa hata mtume alikuwa na chawa walioitwa Maswahaba na anadai hao jamaa walikuwa na makhaba na mtume hivyo si vibaya mtu kuwa chawa. Kumbe Allah anaruhusu haya mambo au Mwijaku anatudanganya?
  17. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Wahhabi: Dini au Donda? Chanzo cha makundi ya fujo Duniani

    Wewe shika stuli, kaa vizuri. Leo nakusimulia stori ya jamaa mmoja aliyewasha moto hadi leo dunia inachoma. Sio moto wa kuni, ni moto wa akili, damu, mabomu, na msimamo mkavu. Jamaa anaitwa Muhammad ibn Abdul Wahhab. --- 📍 Najd, Saudia – Karne ya 18 (Miaka ya 1700s) Najd ilikuwa pori tupu...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nikiwa mdogo, niliamini nchi yetu haina udini lakini nilipofika shule ya Advance Imani hiyo ilitetereka. Udini upo hasa kwenye nafasi Nyeti

    Hamjambo wote! Ni ngumu Sana kuitenga Dini na Siasa. Ngumu Sana. Ikiwa nchi inawananchi wengi wanaoamini katika Miungu na Dini huwezi kutenganisha siasa na Dini. Ndio maana wanasiasa katika nchi zenye kuamini Miungu na Dini watanyumbulika watakavyo nyumbulika, watakukuruka watakavyo kukuruka...
  19. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Dini Ulipo: Je, Tumekubali Imani kwa Kufuata Mapokeo au Uelewa wa Kweli?👇🏻

    Wadau Nina maswali machache hapa ningependa kufahamu: 1. Chanzo cha Dini: Ilianzia Wapi? Je, dini ziliundwa na Mungu au binadamu? Je, zilitokea lini na kwa nini kila tamaduni ina dini yake? Kabla ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu watu waliamini nini? 2. Kabla ya Yesu (na Mitume), Watu Waliamini...
  20. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

    Friends and our enemies, Naanza na maaskofu, nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana.. Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi? Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu. Ni kazi yenu...
Back
Top Bottom