Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
Africa tumelishwa UJINGA mwingi sana yaani sisi bila hizi dini labda tungekuwa na ulinzi mkali kuhusu rasilimali zetu.
Hapa.
Mzungu na Mabara mengine yote wanafuata RASILIMALI AFRICA ila sisi waafrica nia yetu ni kwenda MBINGUNI tu 🤣
Kuna namna walituchezesha na kutumezesha ujinga ambao...
Katika kipindi cha sasa, dini imeanza kuchukua sura mpya katika jamii ambayo inazua maswali mengi kuhusu uhalisia wake. Kwa baadhi ya watu, dini imepoteza dhima yake ya msingi ya kuwa chombo cha maadili, mshikamano, na uhusiano kati ya binadamu na Muumba wake. Badala yake, inatajwa kuwa njia ya...
Katika maisha ya ibada, mahubiri na mafundisho ni nguzo kuu za kukuza imani na kuwaelekeza waumini jinsi wanavyopaswa kuishi au kuenenda. Hata hivyo, muziki wa kwaya hutoa ladha ya kipekee inayogusa moyo moja kwa moja, mahali ambapo maneno pekee hayawezi kufika. Ibada bila nyimbo za kwaya ni...
Habari..
Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa na kanisa)
Nimeshahudia kesi za watu watatu wakristo, mmoja alifunga ndoa na mwanamke ambaye...
Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli.
1. Mkoa wa Dar es Salaam...
Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra...
Rafiki Yetu Cheda: Alivyopotezwa na Itikadi Kali ya Dini”
Utangulizi wa Kijiweni:
Basi ndugu yangu msomaji, leo ngoja nikupe story nzito ya maisha halisi ya jamaa yetu tuliyesoma naye Minaki—jina lake Francis, ila sisi tulimzoea kumuita Cheda. Hii sio hadithi ya kufikirika, ni ukweli wa...
Bwana Mungu wetu akawe Nuru na uzima ya kuona ukuu wake, kuwa na mioyo ya utu ya kitodharau dini za wengine, mbele ya Mungu hakuna mwenye kinga, Linda utu, haki na amani hivi vinaenda kwa pamoja, heshimu dini yako kama ambavyo unataka dini yako iheshimike, na kama nia baadhi yao ni kutangaza...
Yeye Makanisa yanayomsifia ndio anayapenda na kuyasifia yanafanya kazi ya Mungu
Makanisa yanayokemea Utekaji ,Upoteaji na Mauaji, anayaita Makanisa yanayofanya Kazi ya Shetani !!.
Kwamba anataka kuwaambia Wakristo Tanzania Kua kanisa hili msali, like msisali??.
Huu ni ukweli mchungu ambao tunatakiwa kuishi nao milele na milele.
Hakuna wa kuishusha Dola na hakuna wa kuishusha dini.
Chukua upande ulio sahihi katka nyakati sahihi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Askofu Bagonza amesema kuwa kuna mambo mawili magumu siku kugombana nayo siku hizi, kama uwezo wa kuepuka ugomvi wa hayo mambo mawili, yaepuke kwani huwezi kuyashinda
Amesema ugomvi wa kwanza ni kugombana na Gen Z, sisi tuna bahati gen z wetu washamba washamba bado wamelala, ila haina maana...
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako.
Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
Katika historia ya mwanadamu na hata katika maandiko matakatifu, ipo tofauti kubwa kati ya viongozi wa dini na watumishi wa kweli wa Mungu.
Ni muhimu kwa jamii kutambua kuwa si kila kiongozi wa dini ni mtumishi wa Mungu. Na si kila anayesema "Bwana, Bwana" ataingia katika Ufalme wa Mungu...
1. UTANGULIZI
Katika historia ya binadamu, dini imekuwa na nafasi kubwa katika maisha ya watu—ikiwapa matumaini, maadili na mwongozo wa maisha. Lakini katika upande wa pili wa sarafu, dini pia imekuwa kifaa cha kihistoria cha udanganyifu, unyonyaji, uongo, na utumwa wa kiakili. Kwa bara la...
Wakuu nileo tena.
Napatwa na ukakasi nikisikiliza na kuangalia hawa mashekh wanapotoa maneno yao hususani kwenye kutumika kwao na watawala.
Nimejiuliza hawa wenzetu wana fikra kama.za ma padree na wachungaji ..?
Ni dhahiri huwezi kumweka shekh na mwinjilisti tu katika kudadavua mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.