Siku hizi suala la Marketing limehamia mtandaoni, si Tv, magazeti, mabango, wala Radio zinazoweza kushindana na digital katika kutangaza.
Nimekuwa natangaza biashara facebook/insta. Ni msitu mkubwa na changamoto ni nyingi. Na ili upate matokea yote inabidi kuielewa vizuri. Bado najifunza lakini...
Hii ndo first impression ya chadema digital app, namwona harmonize na taarifa za kuacha kazi
nkaona nsiishe apa, first impression ndo kila kitu, i decided to reverse engineer app nzima
-- hizi ni baaadhi ya mafile kwa haraka haraka baada ya reverse engeneering app nzima ya chadema digital...
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
LinkedIn imethibitisha kuwa taarifa zilizofutwa kutoka kwa watumiaji milioni 500 wa mtandao huo ni sehemu ya hifadhidata ‘database’ zilizochapishwa na wadukuzi.
Taarifa za kudukuliwa na kuuzwa kwa data ilichapishwa mara ya kwanza na tovuti ya utafiti ya Cybernews ya usalama wa kitandao tarehe 7...
Facebook closure will not affect important things in Uganda- Museveni. President Museveni has said the limitation of access to Facebook will not affect the most important things from happening in Uganda.
Kenneth Kazibwe by KENNETH KAZIBWE March 1, 2021 at 10:51 am. Facebook closure will not...
Hongera Chama chetu pendwa CHADEMA kwa kushinda tuzo za Tanzania Digital Awards, Category ya 'Best Political Party Use of Social Media'
Pongezi nyinyi kwa team nzima ya CHADEMA Media kwa kazi nzuri mnayoifanya maana inaonekana na imethaminiwa na wananchi, keep it up.
JF hatuko nyuma,tunao...
Kenya ranked top within the region in digital growth and demand, according to the latest Digital Intelligence Index payments firm Mastercard and the Fletcher School at Tufts University.
In the survey titled Digital Intelligence Index, Kenya is followed by Rwanda and Tanzania. Together, the...
Angalizo!
Huu ni mfumo mpya kabisa wa uanzisha na uendeshaji wa biashara na uko katika majaribio.Ukishiriki katika mfumo huu basi fahamu kwamba utakuwa katika majaribio.Hata hivyo mfumo huu umewekwa katika mazingira ya kuhakikisha kwamba mjasiriamali hapati hasara au kuchukua hadhari isiyo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.