Kwenu CHADEMA Digital

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
4,743
2,000
1622489730193.png


1622489771274.png


1622489805034.png


  • Hii ndo first impression ya chadema digital app, namwona harmonize na taarifa za kuacha kazi
  • nkaona nsiishe apa, first impression ndo kila kitu, i decided to reverse engineer app nzima
1622489982626.png


1622490023327.png


-- hizi ni baaadhi ya mafile kwa haraka haraka baada ya reverse engeneering app nzima ya chadema digital mengine ni very confidental sitaweza kuweka public, target yangu ni ilikua ni kupitia na kuona mmejiandaaa kiasi gan kabla ya kuingia huku ila mpaka sasa inasikitisha sana kwa dakika hizi tano tu!

- Lakini pia this made me curious kufuatilia zaidi app yenu na nko nasearch api call link yenu kujua taarifa zenu mnahifadhi wap, kama msiporekebsha haya machache hizo ruzuku 100% mtazisikia kua zilichangwaga tu! kwa yoyote anaeweza kufikisha hizi taarifa azifikishe kwa developers wa chadema digital app ulinzi uweze kuimarishwa lakini pia, hizo picha za screenshot ni aibu kwamba mmekosa picha nzuri za kupresent app yenu mpaka muweke picha za harmonize? ivi kweli chadema???????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom