diamond

  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Diamond apigwe marufuku nyimbo zake zimejaa matusi

    Wakuu Huyu kijana amechangia mno kuharibu hiki kizazi. Nyimbo zake ni matusi tupu. Apigwe marufuku kabisa .
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinum tokea uhamia kuishabikia Klabu moja hivi duniani yenye Washamba wengi nawe pia sasa umekuwa kama Wao tu

    Unamsakama Mboso kisa tu kumuandikia mistari ya Wimbo wake kana kwamba vile hata Wewe mwenyewe 85% ya Nyimbo zako huwa unaandika mistari mwenyewe. Nilikuwa nakuheshimu sana na hata Kukutetea mno hapa JamiiForums ila sasa nimeamini ukiwa Mshabiki wa hiyo Timu uliyoko sasa utakuwa Mshamba na Juha...
  3. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Katam ya diamond ni kiboko

    Dah huu wimbo Katam,diamond kaimba ya yule mkenya wa sauti sol bien,wow,fantastic bonge la songi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ugomvi baina ya Diamond, Mbosso na Baba Levo kisa wimbo wa Pawa

    DIAMOND: @Officialbabalevo WEWE KUANA MWENZANGU NA NAHESHIMU NAFASI YAKO ILA UNAPOELEKEA. UNANILAZIMISHA KUKAA MBALI NA WEWE MAANA UNAFANYA. NIHISI KUNA AGENDA. NISIOLJUA UNANITENGENEZEA. @mbosso_ UNAHAKI YA KUTOPENDEZWA, KUCHUKIA NA KUREACT KWA NAMNA YOYOTE UNAYOHISI NI SAHIHI UNAPOKOSEWA ILA...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania The pink diamond from Mwadui Williamson found in 1947 now belongs to the British Royal Family

    The pink diamond was found in October 1947 at the Mwadui mine in Tanzania, owned by Dr. John Thorburn Williamson. The uncut stone weighed 54.5 carats. The stone was cut by Briefel and Lemer of Clerkenwell over a two month period to its current 23.6 carats. Queen Mary and Princess Elizabeth...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Tazama Diamond Platnumz akiandika wimbo wa Pawa alioimba Mbosso

    https://www.instagram.com/reel/DNKynyksZuT/?igsh=MXZ2Ym0zcGh1MDNjdQ== Kuna wakati nilieleza kuhusu Diamond Platnumz kuandika hitsong ya Pawa ambayo imeimbwa na Mbosso nilioga matusi hapa. Sasa kuna receipt hapa imepostiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa media namba moja Tanzania. Wasanii wasio...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

    Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kalikejeli eneo la Mtoni Mtongani akijisahau ni National Icon Artist mweny mashabiki maenei mbalimbali, hakutakiwa kupadhihaki

    Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi kuishi.
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Diamond platnums anapaswa kuingia mwenyewe kwenye uwanja wa kusaka vipaji kama alivyofanya kwa harmonise, rayvanny n.k

    Diamond Platnumz, msanii namba moja wa muziki Afrika Mashariki na mwanzilishi wa lebo ya WCB Wasafi, amethibitisha mara nyingi kuwa ana "jicho la kipekee" linapokuja kwenye kugundua na kukuza vipaji vipya. Si tu kwamba ana uwezo wa kutengeneza muziki bora, bali pia ana kipawa cha ajabu cha...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Diamond Plutnumz unabidi kujipanga unatoa nyimbo haingii number one trending

    Kwa sasa umedrop kimuziki unatoa video haingii number one trending.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz alivyomtembelea Balozi Kairuki alivaa kiholela. Muone 50 cent sasa!

    Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans. Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini wa Tanzania, and the same applies to other professions as well. 50 Cent, whose real name is...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 DJ wa Diamond, RDJ ajitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala

    DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM. RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  13. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kashindwa kung'amua au balenciaga wamefeli kwenye designing

    Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania. Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike...
  14. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Youtube wampa tuzo ya Diamond, msanii Diamond Platnumz kwa kufikisha subscribers Milioni 10

    Msanii kutokea Tanzania Diamond Platnumz amepewa tuzo maalum na Youtube kwa kufikisha subscribers Milioni kwenye ukurasa wake wa Youtube Hongera zake na kaimprove kuongea kingereza
  15. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Anasalitiwa Diamond Platnumz Sembuse Wewe Ambae Huna Sumni

    Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti Diamond Platnumz hapo inasemekana ni Wema Sepetu. Hata hivyo pia kuna tetesi ziliwai kusema kuwa Mama...
  17. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania History imeandikwa, Diamond Platnumz aisimamisha London kwa show kubwa... Watu kama mchanga!!

    https://www.instagram.com/reel/DK2yiqMNG2v/?igsh=aTdsZGNiMHc5bThn Ni kama ndoto ambayo imegeuka kuwa kweli. Msanii wa bongofleva kujaza ukumbi mkubwa kwenye jiji la London. Diamond ameweka historia ambayo itasimama vizazi na vizazi. Tunamdai nini tena Diamond? Heshima anayotupa pande zote...
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond ni mkubwa kuliko Chadema.... Mashabiki wa Chadema mtaaibika na hii kampeni yenu

    Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu. Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi. Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameanza kujitambua, post ya Diamond huko Instagram yajobiwa na maneno: NO REFORMS, NO ELECTION

    Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS. Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae. Tutaelewana tu.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Manara: Diamond angechelewa ningemuoa Zuchu

    Akizungumza na waandishi wa habari kwenye usiku wa mwanadada Yammi, Haji Sunday Manara amesema kama Diamond angechelewa kumuoa Zuchu basi yeye angeenda kutoa posa kwa Bi Khadija Kopa ili amuoe mwanamke huyo.
Back
Top Bottom