Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans.
Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini wa Tanzania, and the same applies to other professions as well.
50 Cent, whose real name is...
DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM.
RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Baada ya diamond Platnumz kuposti kwenye insta story yake kavaa viatu vya Balenciaga vyenye thamani ya euro 1650 sawa na shilingi milioni 4,815,794 za Kitanzania.
Viatu hivyo ni brand ya Balenciaga aina ya Botte venom kuna viatu vya kike na vyakiume lakini Diamond Platnumz kanunua vyakike kike...
Msanii kutokea Tanzania Diamond Platnumz amepewa tuzo maalum na Youtube kwa kufikisha subscribers Milioni kwenye ukurasa wake wa Youtube
Hongera zake na kaimprove kuongea kingereza
Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!!
Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani?
Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza.
Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa)
Tazama hiyo video hapo chini...
act
babalevo
ccm
chadema
chawa
chuo kikuu
diamond
elimu
kusoma
mafwele
mtaani
mwanachuo
mwijaku
mzumbe
nyege
rais
samia
simba
singeli
tanzania
udsm
umoja
veta
vijana
wassira
wazalendo
yanga
zanzibar
Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti Diamond Platnumz hapo inasemekana ni Wema Sepetu.
Hata hivyo pia kuna tetesi ziliwai kusema kuwa Mama...
https://www.instagram.com/reel/DK2yiqMNG2v/?igsh=aTdsZGNiMHc5bThn
Ni kama ndoto ambayo imegeuka kuwa kweli.
Msanii wa bongofleva kujaza ukumbi mkubwa kwenye jiji la London.
Diamond ameweka historia ambayo itasimama vizazi na vizazi.
Tunamdai nini tena Diamond?
Heshima anayotupa pande zote...
Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu.
Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi.
Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS.
Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.
Tutaelewana tu.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye usiku wa mwanadada Yammi, Haji Sunday Manara amesema kama Diamond angechelewa kumuoa Zuchu basi yeye angeenda kutoa posa kwa Bi Khadija Kopa ili amuoe mwanamke huyo.
Naona kama ni mpango wa kuzima kelele za Gwajima🤔🤔
Anaandika diamond...
"Miongoni Mwa vitu ambavyo nimejifunza ni Ukomavu wa Kukaa kimya… Ukomavu huu unataka uvumilivu wa hali ya juu, Inataka uwe na moyo wa Subra na hasa kukaza roho pindi mtu au watu wanapokua wanakupakazia ubaya fulani kwenye...
Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki.
Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani
Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa.
Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼.
Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa...
Alipofikia huyu bwana, anatakiwa azibitiwe na Serikali moja kwa moja, naona basata wanamuogopa. Sipendi kunadili haya mambo yao ila naona ni too much. Sina chuki na maendeleo yake ila..
Anaimba mambo yasio na maadali na kuhamasisha mapenzi kingume na maumbile wazi wazi.
Diamond ni mfano...
Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili
Miaka ya nyuma BASATA ilichukua uamuzi wa kufungia nyimbo hizo kwa madai ya kuvunja maadili, baada ya kutazama kwa kina sikuona maudhui mabaya, akina dada...
Wakuu
DJ maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, RJ The DJ, ametangaza ziara yake ya muziki inayojulikana kama "RJ The DJ Mama Tour", ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kaulimbiu ya "Naungana na Mama, Mitano Tena."
Ziara hiyo itapita katika mikoa...
Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
Kama kuna nia ya dhati ya kuitangaza kilimanjaro marathon iwe upgraded na kuwa kilimanjaro diamond league na serikali ipambane iingie kwenye calender ya diamond league
Kinachotakiwa ni kuboresha miundombinu kwa kujenga uwanja wa kisasa eneo ambalo litakuwa Zuri ni uwanja wa memorial ambako kwa...
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.