Diamond apigwe marufuku nyimbo zake zimejaa matusi

Diamond apigwe marufuku nyimbo zake zimejaa matusi

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,022
Reaction score
51,164
Wakuu

Huyu kijana amechangia mno kuharibu hiki kizazi.

Nyimbo zake ni matusi tupu.

Apigwe marufuku kabisa .
 
Alafu Lissu anafungwa ila huyu Pimbi anatamba
 
Subiri kumuona kwenye kampeni mkuu
 
Amemtukana nani Mkuu? Mlalamikaji aliwahi kufika kituo chochote cha polisi na akapuuzwa?
Ni ngumu sana kutenganisha maudhui ya mapenzi na matusi
 
Back
Top Bottom