diamond

  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli filamu zinalipa, kwanini Diamond asitengeneze movie?

    Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza, Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa. Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii...
  2. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Baada ya Diamond platnumz kuonekana moja ya club ambayo Chris Brown alikuwa akifanya Show

    Wabongo bhana..... Diamondplatnumz baada ya kuonekana kwenye moja ya club uko london akiwa anashuhudia show ya msanii nguli wa Rnb na pop/ Chris Brown, wabongo wamekuja na lao jambo kuwa tiyari Diamondplatnumz ashafanya wimbo na Chris Brown... kweli Tunaushabik wa kidenzi sana 😁😁😁 nimecheka...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi HESLB waliongeza mikopo kimya kimya kwa baadhi ya wanafunzi?

    Wakuu, kwema? Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote. Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
  4. Protector

    JamiiForums Tanzania Diamond asema yeye na Zuchu ni dada na kaka

    Mwanamziki aliyefanikiwa zaidi Tanzania, Diamond Platnum aka Simba ameweka wazi kuwa yeye na Zuchu ni dada na kaka na sio wapenzi kama wengi walivyokuwa wanafikiria au kujua. Kupitia insta story ameshea ujumbe huo kwa mashabiki wake.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Diamond sauti yake haina ladha tena, tumechoka

    Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature. Kiukweli kinachombeba ni Jina tu, kwasasa awaachie kina Mario, harmonize, jay melody, sauti zao hatujazichoka. Yaani nikisikia...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu "hit song" ya Diamond ya sasa?

    Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote. Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha. Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa nyimbo zake pekee. Kwa sababu wafuasi tunaona anaachia banzi juu ya banzi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya Ushauri kwa Diamond haiwajibiki vema

    Kwanza nimpongeze Abdul Naseeb kujiita Diamond Platinum. Unapojinenea baraka ni dhahiri utazipata na kinyume chake. Sasa yeye kujiita majina ya vitu vya thamani sana, vya kipekee na vyenye mvuto imemfanya naye awe hivyo ktk jamii. Wapo waliojiita Dudubaya, Crazy GK, Masumbuko, Muhogo Mchungu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Zuwena wa Diamond kioja cha Mwaka, nimempenda bure

    Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni. Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake. Nilitazama interview moja anasema amelipwa dola za kimarekani 705(mia saba na tano) na kwamba anadai ni sawa milion kumi na saba...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

    Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.
  10. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Makosa matano yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Zuwena ya msanii Diamond Platinumz

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 5 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF sehemu ya pili itakuwa ni Facebook na mwisho kabisa nitamalizia Twitter. ........................................................... Video imetoka juzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka...
  11. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz hiki nini tena?

    - Longido moja hiyo.... - Halafu huyu mama nilijua atakufa... Badala yake mtoto ndio kachomwa knife... - Kikao cha mirathi kijijini Engikaret Longido... - Kuna wadau wanaponda eti haikutakiwa Tattoo zionekane... - Bodaboda wa Longido, wamepauka vumbi hadi kwenye kope... - Walevi...
  12. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wimbo yatapita wa mwanamuziki Diamond unavyotukumbusha msoto tuliopitia ( mwendazake government)

    Duh haya mashairi mazuri ya mwanamuziki Diamond kwenye wimbo yatapita yanatukumbusha msoto majeraha kipindi cha mwendazake aisee watu waliteseka balaa matajiri wakafirisiwa, watu waliuawa hovyoo na kutupwa baharini kama vifurushi, wasomi walikosa matumaini na elimu zao zilikosa thamani kabisa.
  13. Thailand

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinum hata kwenye filamu anaweza kufanya vizuri

    Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi. Imagine Diamond anaigiza movie kama hii; Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
  14. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Kumbe Diamond Platnumz ni mkali hivi?

    - Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka - Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo - Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa - Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi ukutani - Sio tandu tu,hadi vyura.. - Kaamua kuwa mwizi, liwalo na liwe - seti kali kuliko zote...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Yatapita by Diamond Platnumz ngoma Kali Sana

    Mondi akiwa anaimba nyimbo za aina hii ya bongofleva anatisha sana.Nimependa Sana hii ngoma kuanzia uandishi mpaka melody yake ni Kali.Ujumbe wa hii ngoma unagusa watu wengi
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa Yanga, kamfata Haji Manara

    Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans. Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC. Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye...
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond anaongoza katika orodha ya wasanii waliotazamwa zaidi 2022

    WCB for life!
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Diamond na mikataba ya Sukuma Gang inavyomtesa

    Pole Diamond, tutarudi hapa kukuanika upinzani wako kwa awamu ya 6
  20. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Sugu: TRA siyo CHADEMA, acheni janja janja lipeni kodi

    Kudos wanajamvi. Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi. Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwani TRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi ni Uzalendo. Asante Sana Sugu kwa kuonesha...
Back
Top Bottom