Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,579
00A38863-3CDB-483B-A13F-81524669BC4B.jpeg
25DFFE95-23CC-4026-A868-04D4D9C363A2.jpeg
 
Kwa hiyo tufanyaje sasa

Ova
Ha haa, hapo Manara anajitahidi kujifanya mtu maarufu ili akidhania labda yule mke wake atarudi, ukimtizama hana furaha kabisa, ila si wanasema Diamond ndio anamla? Ha haa waswahili husema Kikulacho ki nguoni mwako au adui yako sio wa mbali ni mtu wa karibu yako..

Haji ana matatizo ya kujifanya mtu maarufu of which he is not at all.
 
Domokayaaaa kwa kupendaa kiki na kujitoa ufahamu, nweiiii maamuzi ni yakee, wala sio shida zangu.

 
Tatizo la Simba wanaacha washabiki wanaoipenda Toka damuni na kulazimisha watu ambao hawana hata background ya mpira wawe washabiki wao kisingizio kuuza brand tabia hiyo ipo hata Kwa waandishi wa habari wanapenda kuwahoji wasanii au wanamuziki wakati mpira wetu unaweza kuendelea bila wao na mtindo huu kauasisi ashura cheupe
 
Back
Top Bottom