Zuwena wa Diamond kioja cha Mwaka, nimempenda bure

Road Traffic Signal

JF-Expert Member
Mar 17, 2022
627
1,937
Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni.

Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake.

Nilitazama interview moja anasema amelipwa dola za kimarekani 705(mia saba na tano) na kwamba anadai ni sawa milion kumi na saba za kibongo (anasisitiza kabisa zaidi ya mara nne).

Interview nyingine anasema walishuti ile video huko Arusha, na kwamba Arusha ni nchi nyingine haipo Tanzania. Akaulizwa ikiwa Dsm ni saa2 asubuhi je Arusha itakuwa saa ngapi? Anajibu saa6 mchana, dah miyeyusho sana.

Nimetazama interview yake nyingine kafanya Wasafi, dah ana vituko sana huyu bint, sijui ni kujitoa tu ufahamu au kielimu yupo ziiii hana ufahamu wala uelewa, ananifanya nifurahi, nicheke sana kila nitazamapo video zake mitandaoni
 
Nilitazama interview moja anasema amelipwa dola za kimarekani 705(mia saba na tano) na kwamba anadai ni sawa milion kumi na saba za kibongo( anasisitiza kabisa zaidi ya mara nne).

Interview nyingine anasema walishuti ile video huko Arusha, na kwamba Arusha ni nchi nyingine haipo Tanzania. Akaulizwa ikiwa Dsm ni saa2 asubuhi je Arusha itakuwa saa ngapi? Anajibu saa6 mchana, dah miyeyusho sana.

Nimetazama interview yake nyingine kafanya Wasafi, dah ana vituko sana huyu bint, sijui ni kujitoa tu ufahamu au kielimu yupo ziiii hana ufahamu wala uelewa, ananifanya nifurahi, nicheke sana kila nitazamapo video zake mitandaoni

Sijawahi kumuona huyo ZUWENA, ila kama Haya uliyoandika ni kweli basi kuna NATI zimefyatuka kichwani.
 
Yani vidole vyeusi, mwanya kama uchochoro, umbo kama panzi😂, halafu kichwani nati zimefyatuka kila anachoongea ni pumba tupu😂.

Yaani nikikutana tu na videos zake nastop kwa muda naiangalia mpaka mwisho, anasema alifurahi kichizi kile kipande alipokumbatiwa na kile alichobebwa na Diamond. Eti Zuchu akikaa vibaya tu anapita na Diamond😅.

Thank you Zuwena for making my days happier😅
 
Yani vidole vyeusi, mwanya kama uchochoro, umbo kama panzi😂, halafu kichwani nati zimefyatuka kila anachoongea ni pumba tupu😂.
Yani nikikutana tu na videos zake nastop kwa muda naiangalia mpaka mwisho, anasema alifurahi kichizi kile kipande alipokumbatiwa na kile alichobebwa na Diamond. Eti Zuchu akikaa vibaya tu anapita na Diamond😅.

Thank u Zuwena for making my days happier😅
🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • ABF18A0A-21B5-49A6-8A28-01E19EE48EBB.jpeg
    ABF18A0A-21B5-49A6-8A28-01E19EE48EBB.jpeg
    64.6 KB · Views: 10
Yani vidole vyeusi, mwanya kama uchochoro, umbo kama panzi😂, halafu kichwani nati zimefyatuka kila anachoongea ni pumba tupu😂.
Yani nikikutana tu na videos zake nastop kwa muda naiangalia mpaka mwisho, anasema alifurahi kichizi kile kipande alipokumbatiwa na kile alichobebwa na Diamond. Eti Zuchu akikaa vibaya tu anapita na Diamond😅.

Thank u Zuwena for making my days happier😅
Kwa Diamond hakuna linaloshindikana wala msicheke.

Kiajabu ajabu mnaweza sikia ndio demu wake. Kama aliweza kutembea na Zuchu sio ajabu akipita na Zuwena. Mwisho wa siku anachoangalia yeye ni trend.
 
Ya mama yangu yanaingilia wapi tena chief??
Taratibu, tusijaribu kuharibiana siku pasi na sababu yeyote.
Ndio uache kusema watu vibaya, ukiona una chukia kutukanwa basi na wenzio wana chukia pia

Jiongeze zingine ni jumbe zina tumwa kukufungua

Zuchu ni kick
Na huyu dada ni kick

Kick kwa manufaa yao hasa wakipata watu kama wewe unae wekeza akili, ubongo kwao
 
Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni.

Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake.

Nilitazama interview moja anasema amelipwa dola za kimarekani 705(mia saba na tano) na kwamba anadai ni sawa milion kumi na saba za kibongo (anasisitiza kabisa zaidi ya mara nne).

Interview nyingine anasema walishuti ile video huko Arusha, na kwamba Arusha ni nchi nyingine haipo Tanzania. Akaulizwa ikiwa Dsm ni saa2 asubuhi je Arusha itakuwa saa ngapi? Anajibu saa6 mchana, dah miyeyusho sana.

Nimetazama interview yake nyingine kafanya Wasafi, dah ana vituko sana huyu bint, sijui ni kujitoa tu ufahamu au kielimu yupo ziiii hana ufahamu wala uelewa, ananifanya nifurahi, nicheke sana kila nitazamapo video zake mitandaoni
Pia amesema sasa ameamua kumuacha 'bwana wake' kwani kumgusa Diamond kumemfanya awe matawi ya juu.
 
Back
Top Bottom