diamond platnumz

  1. Tuweke list ya mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mpaka sasa

    Katika vitu tutaendelea kumshukuru Chibu ni kutuletea mastaa wapya kwenye entertainment industry. Kunaaliowatengeneza direct kutumia mikono yake na kuna waliopata umaarufu kwa kutumia jina lake either kumtukana au kumsifia. Awa ndio mastaa waliotengenezwa na Diamond Platnumz mfalme wa music...
  2. Diamond Platnumz – the next Bill Gates?

    Diamond Platinumz had just taken delivery of a brand new Rolls Royce when I spoke to him – it’s a blue Cullinan, latest model. It’s the first of its kind in Tanzania and when Diamond took it on its maiden voyage you can imagine the reaction. “To me it’s not just my car, it’s our car. Whoever...
  3. Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

    Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli? Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto... Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes karibu 30 mule, kuanzia wanafunzi darasani, magodoro, club, wadada wawili, masela wawili, mavazi...
  4. M

    Wazungu nao wana wivu mwenzao akiwa tajiri

    Likija suala la utajiri utachukiwa tu uwe mzungu ama mswahili kutakuwa na wivu na chuki. Tumeshuhudia Diamond alivyonunua Rolls-Royce. Malaki ya watu wamesaini petion dhidi ya Jeff Beezos tajiri namba moja duniani wakinuombea kesho tarehe 20 akipaa anga za juu asirudi duniani tena abaki na...
  5. SoC01 Mambo ya kujifunza kwenye mafanikio ya Diamond Platnumz

    Naseeb Abdul Juma Issack (maarufu kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni Chibu, Simba au Dangote; alizaliwa dar es salaam, 2 october 1989 ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo flava kutoka Tanzania. Diamond ni msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko wasanii wengine Tanzania na Afrika...
  6. Ni mwanzo tu, Diamond Platnumz aagiza tena Lamborghini na Bentley, magari ya mabilion

    Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini...
  7. Diamond Platnumz na manunuzi makubwa anayofanya

    Manunuzi makubwa anayofanya Diamond kwa sasa yamekua na Gumzo kubwa mtandaoni kukiwa na pande mbili zinavutana. Wako wanaosifu na wanapata kazi ya kukandia. Kwa namna yeyote ikitokea negative impact sio kwa Pande hizo mbili, bali ni direct kwa Diamond At this point kuna mawili 1) Kama...
  8. Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hili ndilo gari jipya la diamondplatnumz. Ni Rolls Royce 2021. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika inatajwa kuwa gari hili limeingia Tanzania siku za hivi karibuni Inasemekana gari hili Rolls Royce 2021 imemgharimu #Diamond zaidi ya Shilingi Bilioni Moja za...
  9. Kwanini Diamond Platnumz anavaa msalaba?

    Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya? Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
  10. Gsan wa X-Plastaz: Msanii wa kwanza Tanzania kushiriki Tuzo za BET mwaka 2009

    Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha, Tanzania, aliiwakilisha Afrika katika toleo la mwaka 2009 la BET Hip Hop Awards cypher, zilizorushwa Oktoba 27 kupitia chaneli ya BET huko Marekani. Huyu ndiye Mtanzania wa kwanza kushiriki katika tuzo...
  11. Diamond ni Balozi mzuri, asemehewe

    Natambua wazi alijiharibia pakubwa alipojiunga na KAYAFA kupitia kazi zake. Na niliwahi kuandika uzi kumhusu yeye na Konde boy kwamba kitendo hicho kina athari kisanii huko mbeleni. Kuna ambao walinibeza sana lakini always muda ni hakimu wa haki na kamwe maandishi hayafutiki! Hapa...
  12. Diamond Platnumz kwanini ulikwenda wakati unajua kabisa hupati Tuzo, Wizikid mbona katulia zake gheto?

    Habari wakuu Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri kamponza kweli, hazijamtoa hata kidogo ile ngao sijui aliwaza nini wadau, nilibaki nimeduwaa. Mbona...
  13. N

    Kwani aliyemshauri Diamond Platnumz kuvaa vile nani?

    Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana; 1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa. 2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa...
  14. Kinachoniuma mimi ni baridi ya kule ndani ukumbini na Nguo za Kimasai

    Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema. "The award show is an ode to those who are often on the frontline in more ways than one" Diamond hayupo Frontline in more...
  15. Diamond Platnumz amewakosea nini wanaomshambulia?

    Naomba kujua nini kibaya Diamond Platnumz anakosea tofauti na wasanii wengine? Nini afanye ili iwe sawa naonaga watu wanamshambulia ila sijawahi sikia mtu yeyote akisema makosa anayofanya tofauti na watu wengine?
  16. Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

    Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri...
  17. Kamata ya Diamond Platnumz ni ngoma mbovu mno, jamaa kaishiwa ubunifu

    Mlio karibu na Sadala mshaurini kama upeo wake umefika mwisho kwenye kutunga mashairi atafute watu wenye idea mpya wamwandikie yeye abaki kuimba tu. Msisahau jana King kaachia Good music akiwa kamshirikisha Rude Boy ngoma inaitwa Salute
  18. Wasanii msishindane na Diamond Platnumz mtafilisika. Yupo level za kina Bakhresa

    Baada ya Super dupa staa Diamond kuingiza Cadillac escalade nyingine kwa ajili ya wasaidizi wake kwenye msafara ataokuwa akienda kwenye matukio mbalimbali. Mji umesimama kila mtu anasema la kwake wenye roho mbaya wamepata muhaho. Nawashauri tu wasanii wa kibongo msishindane na Simba huyo...
  19. Kupitia mafanikio ya Diamond Platnumz nimegundua Watanzania wengi wana roho mbaya

    Habari zenu, Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi. Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya...
  20. K

    Kampeni ya kum-disqualify Diamond Platnumz BET Awards, tunahitaji mrejesho

    Habari wakuu, Siku kadhaa zimepita tangu watu wanaojiita wanaharakati wa mitandao kuwaongoza wananchi kuandaa na kusaini petition yenye lengo la kumdisqualify Diamond platnumz kushiriki tuzo za BET kwa mwaka huu 2021. Wanaharakati hao waliongoza huko Twitter chini ya Kigogo na Maria Sarungi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…