Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi...
Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia.
Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika kwa uchaguzi wa kuaminika nchini Somalia - ambao umechelewa kwa muda mrefu.
Katika taarifa...
Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa.
Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti wasifanye uovu.
Makonda aliwadhibiti wanasiasa waovu, wauza unga, wakora wa kila aina. Sasa ndio...
Afrika tunalia kila siku kuhusu maswala ya ubaguzi ila mechi ya Misri na Senegal 90% ya Waafrika duniani kote walikuwa wanaisapoti Senegal. Huu ni ubaguzi haswaa
Tukubali tu, Waafrika ni wabaguzi, wana chuki na wana roho mbaya, japo sio wote. Wapo wanawachukia Waarabu kisa ni Waarabu hata kama...
"Ni goli halali kabisa na ifike wakati sasa Watu wajitahidi sana Kusoma Sheria na Kanuni mpya za FIFA ili likitokea Jambo wawe wanaweza Kulitafsiri Kitaaluma na siyo Kishabiki.
Meddie Kagere anayeonekana kuwa mbele laiti katika ile move pale pale angefunga ndiyo ingekuwa ni Offside ila kwakuwa...
Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside).
Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti...
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma.
WAALIFU Kama Urio, na...
Ukraine imetuma ombirasmi kwa serikali ya Ujerumani kwa ajili ya msaada wa "silaha za kujihami", kwa mujibu wa ripoti ya gazeti.
Katika barua iliyonukuliwa na Gazeti la Ujerumani la Süddeutsche Zeitung, ubalozi wa Ukraine umeiomba Berlin kutoa jibu la haraka, kutokana na hali tete ya kiusalama...
Hii haikubaliki kwa mwamuzi kuamua ni timu ipi ishuke daraja na ipi ibaki na ipi iwe bingwa. Kumpa adhabu mwamuzi aliyefanya makusudi kuamua matokeo haitoshi.
Mwamuzi amelipwa bei gani ku risk taaluma yake?
Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex.
Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani.
Mtazame Aunty Ezekiel
Jack Pemba alifaidi Sana.
# Her eyes, the way she talk, the way she look, her rudeness...
Wivu battalion ya TZ ilikuwa inasema kwamba kitendo cha Kenya kulipiza kisasi kwa kuzuia ndege za UAE kutua Kenya haijazaa matunda. Hio ni uongo kwa sababu UAE wameamua kuondoa marufuku waliyokuwa wamewekea ndege kutoka Kenya. Mimi kutoka mwanzoni nilisema hawa wajinga waarabu wanastahili...
Mie sio mwanasheria Ila iko wazi Luten Urio ni mtu mwenye roho ngumu na ovu sana. Hajawatendea haki wanafunzi wake wa zamani jeshini. Amewatoa hawa watu kwenye shighuli zao binafsi za kujitafutia baada ya kuondolewa jeshini,
Kawadanganya eti kuna kazi ya ulinzi kwa Mbowe kwa maneno yake...
Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
Mara nyingi mpira ni mchezo wa wazi Sana Kama timu yako ni mbovu basi ni mbovu tu usitafute kichaka cha kufichia madhaifu yako, leo tena Coastal Union imelambishwa mchanga na namungo goli 3 kwa 1, walipofungwa na yanga wakasema wamehujumiwa sasa na leo wamehujumiwa?
Wameshindwa kurekebisha...
Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani lingekuwepo?
Na kwa wale wote walioanzisha hili vuguvugu la ukombozi kingewatokea nini?
Inachanganya sana maana wanawake wengine wanasema size sio ishu maana raha ipo juu na cha msingi mtu ajue kutumia dudu.
Wengine wanasema size kubwa ndio kila kitu. Huku wakiponda wnanaume wenye size ndogo.
Sasa upi ni ukweli? Maana kila kukicha wanawake wanachepuka hovyo na huku ugoni...
Serikali ya Uturuki ipo vitani kuwasaka wanaodhaniwa kufadhili mapinduzi miaka kadhaa iliyopita. Upo mgogoro mkubwa huko Uturuki na inatamani kuua nguvu za kiuchumi za maasimu wao ambao baadhi ni wamiliki wa Shule ya Feza iliyopo hapa nchini.
Serikali yetu inalo tatizo la kiukombozi, wakati...
Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia yanaporipotiwa polisi mara nyingi huwa hawachukuliwi sheria au hatua stahiki. Hii ni kwa sababu ya kulindwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.