dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kauli za kibaguzi za Lukuvi dhidi ya Zanzibar ndio ziliyofanya aondolewe uwaziri,

    Hotuba yake hii ya kanisani aliingiza siasa ambazo ziliibua mjadala wa ubaguzi kwa kusema "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".
  2. N

    JamiiForums Tanzania Shutuma dhidi ya ndugai zilitakiwa kuibuliwa na bunge, na msamaha ulitakiwa kuombwa kwa bunge na wananchi.

    Kongole wanaJF.......kutokana na spika kuwajibika kwa bunge na wananchi, ikiwa matamshi yake yalikiuka mwenendo, sheria na taratibu za bunge, shutuma hizo zilitakiwa kuibuliwa na bunge lenyewe na kama ni kuomba msamaha ndugai alitakiwa aombe huo msamaha kwa bunge au moja kwa moja kwa wananchi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Leo siku ya 3, system ya evaluation ya TRA hakuna

    Kipindi cha Mwendazake, mambo kama haya yalikuwa hayafanyiki. Leo siku ya 3, hii system ya evaluation ya TRA hakuna. Je, kuna nini inaendelea nyuma ya pazia?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania kama hamna Upendo na nia ya kweli dhidi ya Kuwakomboa Wakulima acheni Kuwapenda Kinafiki kwani inakera!!

    Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka kutia Huruma. Tanzania ingekuwa na Viongozi imara tena wasio na Unafiki mwingi ndani yake nina uhakika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  6. Bondpost

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia kwa wanawake dhidi ya wanaume

    Wanabodi nimekutana na hii habari kutoka ITV kiukweli imenifanya nimfikirie sana namna ambayo jamii inazodi kuharibika. Wanawake wamekuwa wakilaumu wanaume kuwa wanawanyanyasa, sasa huu UKATILI ni wa mwanamke dhidi ya mwanaume. Kuna mwanamke amemwagia maji ya moto mumewe ambae ni mwalimu huko...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yatishia kuchukua hatua mpya dhidi ya Myanmar

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken amesema Washington inapania kuchukua hatua mpya ili kushinikiza utawala wa jeshi nchini Myanmar kurudisha serikali ya kiraia, katika wakati ambapo wasiwasi unazidi kuongezeka kutokana na kukandamizwa wapinzani. Akizungumza wakati wa ziara...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

    Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania TCRA/Idara ya Habari Maelezo zichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vilivyorusha maneno ya uchochezi ya Mwingira

    Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
  10. B

    JamiiForums Tanzania Salamu za Heri: Shoo aonya dhidi ya Uonevu

    Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie: Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa na nafasi ya kushinda tuzo la amani ya Nobel, lakini kesi dhidi ya Mbowe imemuharibia, bado ana nafasi, ajirekebishe

    Shalom from Jerusalem, Licha ya ukweli kwamba Rais Samia alikuwa kwenye utawala wa dikteta Magufuli alikuwa na nafasi kubwa sana ya kubadilika na kusimamia matakwa yote ya demokrasia na kuheshimu sheria kwa ustawi wa nchi lakini amejiharibia kuendelea kukomaa na kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe...
  12. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Watanzania msidanganyike na Ulaghai wa PFIZER & MODERNA dhidi ya JANSSEN (J&J)

    Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo) Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya corona kwenye kirusi cha Adenovirus na kutengeneza chanjo. Chanjo za Moderna na Pfizer majaribio yao...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Sinopharm, Johnson & Johnson na Sputnik hazina uwezo wa kumkinga mtu dhidi ya kirusi kipya cha Omicron

    Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron. Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa omicron. Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yamwaga zaidi ya bilioni mbili kwa Tanzania kwa ajili ya mapambano dhidi ya Corona

    === Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa vichache vya ugonjwa huo vilivyorekodiwa wimbi lililopita. Mhe. Hess amesema Serikali ya Ujerumani...
  15. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

    Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu, ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo. Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita...
  16. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

    "Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa

    Haki ya maoni ni haki ya kikatiba. Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo. Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu...
  18. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

    Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii; "Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"
  19. K

    JamiiForums Tanzania Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

    Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao kwa kisingizio kuwa watoto hawaruhusiwi kuingia VVP.... Kwa kuona hivyo akaamua kuondoka yeye na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kiuchumi dhidi yetu, Adui Nani?

    Pichani amenukuriwa akiiongelea tena vita hii tuliyokuwa tunaanza kuisahau: Ikumbukwe kinara wa vita hii alikuwa hayati Magufuli. Bila shaka safari hii hatutaachana gizani, bali tutafikia kufahamishwa mbaya wetu huyo hasa ni nani? Watuonyeshe mbaya wetu. Zikawe ama zake ama zetu!
Back
Top Bottom