Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
Ripoti mpya ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) ya mwaka 2021 kuhusu Haki za Binadamu inaonesha kuwa bado ni mwiba
Kwani licha ya kuwapo kwa unafuu wa matukio ya ukatili ikilinganishwa na miaka ya nyuma lakini bado juhudi zaidi zinahitajika katika kukomesha hali hiyo nchini.
Kwa...
1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake
2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini
3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani
4. Ana Utoto mwingi
5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu
6. Anajiamini sana mpaka kujisahau
7. Ana Ushamba ambao haujifichi
Nina uhakika kwa Ball Control yake...
Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia David Malpass amesema Alhamisi.
Malpass ameuambia mkutano wa Benki ya dunia kuhusu mahitaji ya msaada...
Baadhi ya watu wanadhani Urusi imekurupuka.
Ukweli Urusi kila hatua kwa op hii ilipangwa.
Urusi inaijua Marekani nje ndani kama ambavyo Marekani inaweza kuwa inaijua Urusi,kwa sababu ya historia ya nchi mbili hizi.
Wengi hawajasoma juu ya "cold war".
Kabla ya kuivamia Ukraine Urusi ilikua...
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.
Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Umakini kwa Ukraine unaonesha upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema
CHANZO CHA PICHA,EPA
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anasema ulimwengu hautoi tahadhari sawa kwa dharura zinazoathiri watu weusi na weupe.
Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema ni sehemu ndogo tu ya...
Familia inatumia fedha zaidi kutatua changamoto itakayompata mwana familia kama vile kwenye ugonjwa, msiba, ada, kesi, kubomoka kwa nyumba, nk. Kwenye matukio kama haya kipato cha familia kitapungua kidogo ili kuhudumia mwanafamilia apate nafuu.
Kama baba anaendela kuvua samaki baharini kukuza...
Kwema Wakuu,
Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha...
Waafrika tuamke wenzetu asia amerika latino wanaelewa nini kinaendelea.
Ukiangalia vita vya ukraine ni kwamba hapo pamekua tu uwanja wa mapambano. Ni kati ya nchi za kibeberu za marekani na ulaya ya magharibi wakiongozwa na marekani wakipigania hati miliki kudhibiti uchumi wa dunia.
Utaona...
Hali ya vita vya Ukraine sasa iko wazi kwa kila mshirika.
NATO na Ukraine kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine.
Uwanja wa vita rasmi unaeleweka kwa wote kuwa ni Ukraine.
Russia kama Nduli Amini, sasa anatakiwa kufurushwa kutoka katika ardhi zote za Ukraine zikiwamo Donbas, Lohansk...
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?
Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.
Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.
Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga...
Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma.
Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa.
Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
Gavana, Viacheslav Chaus, alitumia programu ya kutuma ujumbe ya Telegram kukashifu ahadi ya Urusi.
"Urusi yaanzisha mashambulizi mapya baada ya ahadi ya amani, Tunaamini ndani yake? Bila shaka sivyo," alisema, akiongeza Urusi ilikuwa imeshambulia Chernihiv "usiku kucha".
Siku ya Jumanne, Urusi...
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa...
Pili Mwinyi
Malaria ni ugonjwa hatari sana unaotokana na mbu jike ambaye anaambikiza binadamu na baadaye akuwa na homa kali, baridi, na mafua. Ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo au hata matatizo ya akili pale malaria inapopanda kichwani. Mafanikio makubwa yamepatikana duniani katika kudhibiti...
Baada ya kuwaza na kuwazua yule Mwasi mkuu yaani Shetani akaja na wazo ili kudumisha wazo lake la kutokufa hakika (Mwanzo 3:4),alitunga Uongo mwingine ili kulinda uongo wake wa awali.
Wazo lake likawa hivi: MTU AKIFA ROHO YAKE HAIFI,ITAENDELEA KUISHI MAHALI PENGINE.
Katika uongo huu ameilevya...
VIKWAZO KWA URUSI;SARAFU YA RUBLE YA URUSI YAPANDA THAMANI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI.
Leo 15:30pm 27/03/2022
Respect for Russia,who dare to stand up against the West,Baada ya vikwazo vingi vya Ulaya na Marekani kwa Urusi,Urusi imetangaza kuuza mafuta na Gesi kwa sarafu yake ya ruble,Masaa 24...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.