Ratiba ya Simba mechi zilizosalia 2021/22, ikiwemo mtanange dhidi ya Yanga

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
Kuna mdau wa Klabu ya Simba, ameweka mtandaoni ratiba hii ya michezo ijayo ya Simba akijumlisha ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Afrika inayoratibiwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).

Asec Mimosas vs Simba
📅 20 March 2022
🏟 General Mathieu Kerekou Benin.
⏰ 19hrs

Polisi TZ vs Simba
📅 27 March 2022
🏟 Ushirika Moshi
⏰ 16hrs

Simba vs Usgn
📅 03 April 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 16hrs

Coastal Union vs Simba
📅 07 April 2022
🏟 Mkwakwani Stadium
⏰ 16hrs

Simba vs Pamba (Asfc quater finals)
📅 08-13 April 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19hrs

Kama tutabahatika kutinga ¼ Fainali kombe la shirikisho Africa

⚽Cafcc quater finals 1st leg
📅 15-17 April 2022

⚽Cafcc quater finals 2nd leg
📅 22-24 April

Yanga vs Simba
📅 30 April 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 17hrs

Namungo vs Simba
📅 03 May 2022
🏟 Ilulu Stadium
⏰ 16hrs

Kama tutabahatika kutinga ½ fainali kombe la shirikisho Africa

⚽Cafcc Semi finals 1st leg
📅 6-8 May 2022

⚽Cafcc Semi finals 2nd leg
📅 13-15 May 2022

Simba vs Ruvu Shooting
📅 TBA
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19hrs

Simba vs Kagera Sugar
📅 TBA
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19 hrs

Geita Gold vs Simba
📅 22 May 2022
🏟 CCM Kirumba Mwanza/Magogo Stadium/ Nyankumbu Stadium. {Watachagua wao uwanja}
⏰ 16hrs

Simba vs KMC
📅 25 May 2022
🏟 Mkapa Stadium
⏰ 19hrs

Kama tutabahatika kutinga Fainali kombe la shirikisho Africa

⚽Cafcc Finals
📅 22-29 May 2022

Azam vs Simba
📅 31 May 2022
🏟 Chamanzi Complex
⏰ 19hrs

Simba vs Mbeya City
📅 09 June 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19hrs

Simba vs Mtibwa Sugar
📅 12 June 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19 hrs

TZ Prisons vs Simba
📅 TBA
🏟 Sokoine Stadium
⏰ 16hrs

Mbeya Kwanza vs Simba
📅 19 June 2022
🏟 Majimaji Stadium
⏰ 16hrs

Mugalu.jpg
 
Mpaka sasa tuna 75 ya kutinga robo fainali, maana tunahitaji point 3, ambazo mara nyingi kwa mkapa hatoki mtu, hivyo game ya yanga itatukuta tushamaliza robo fainali. Tuombe mungu tupate mpinzani wa ¼ mchekea, tutoboe, tusifanye kama kwa kaizer chief, tusirudie hayo makosa. Japo naiona timu haina nguvu.
 
Dah! Naona ana mechi nyingi za ugenini, ambako amekuwa akifurukuta kweli kupata matokeo! Mbaya zaidi atapambana na timu zinazo pigania kubakia ligi kuu! 🤔

Kwa hali hii Wanamsimbazi tusahau tu kuhusu ubingwa msimu huu.
 
Mpaka sasa tuna 75 ya kutinga robo fainali, maana tunahitaji point 3, ambazo mara nyingi kwa mkapa hatoki mtu, hivyo game ya yanga itatukuta tushamaliza robo fainali. Tuombe mungu tupate mpinzani wa ¼ mchekea, tutoboe, tusifanye kama kwa kaizer chief, tusirudie hayo makosa. Japo naiona timu haina nguvu.
Huku shirikisho kusema kweli nataka kuiona Simba SC ikifika mbali iwezekanavyo sitaki kisingizio chochote, hii sio Klabu Bingwa Afrika
 
Kama Simba ataenda ¼ final mechi watani ina kila dalili ya kusogezwa mbele
Sioni sababu ya kusogeza mbele, walioendelea kwenye soka hawana mambo haya. Game ya robo itakuwa tarehe 24, kisha game ya mtani ni tarehe 30, siku takribani 6 hapo.
 
Huku shirikisho kusema kweli nataka kuiona Simba SC ikifika mbali iwezekanavyo sitaki kisingizio chochote, hii sio Klabu Bingwa Afrika
Simba bado hatujafikia ubora wa simba ya msimu uliopita, mbele magoli yamepungua kidogo, kocha afanyie kazi, alizibe pengo la chama kwa mbinu, tungeluwa na chama kule naimani tungetoboa kule, halaf naona kocha kama hana mbinu vile.
 
Kuna namna huwa anakwama kwenye kutumia rasilimali alizonazo (wachezaji), sitamaani akazuie kwa Mimosa km tulipishana nao kwa mkapa na wakakaa 3, why tukazuie eti kisa kwao!!?
 
Kuna namna huwa anakwama kwenye kutumia rasilimali alizonazo (wachezaji), sitamaani akazuie kwa Mimosa km tulipishana nao kwa mkapa na wakakaa 3, why tukazuie eti kisa kwao!!?
Mie soka la kuzuia huwa silipendi, hata wale wa Niger, tungewapelekea moto vizuri tulikuwa tunawafunga kule kule kwao, leo tungekuwa mbali.
 
Back
Top Bottom