Aomba Marekani itafute namna ya kuitenganisha Afrika na vikwazo vyake kwenye ugomvi ambao hauhusu Afrika.....
Shukrani Museveni kwa kutusemea, jameni mafuta yamepanda bei Afrika kisa ubabe wa Mrusi kutaka kuonea kainchi kadogo jirani yake japo kamempa shida sana..............
“The problem here...
Jeshi la Burkina Faso limekiri kuua raia wa kawaida kwa kimakosa katika mashambulizi yake ya anga Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo wiki hii.
Nchi hiyo ya Afrika Magharibi imekuwa ikipambana na waasi wenye silaha baadhi wakihusishwa na makundi ya Al-Qaeda na ISIL (ISIS).
Jeshi hilo halijataja...
VITA YA VIJANA DHIDI YA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA.
Chemsha bongo!
Je! Umewahi kujiuliza kuwa licha ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kusaidia katika kuboresha maisha ya binadamu kiujumla lakini bado yameacha malumbano makubwa dhidi ya vijana mbalimbali?
Ukweli ni kwamba vijana...
TUWALINDE WATOTO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA.
Utangulizi
Ni dhahiri kwamba ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini ni tatizo linaloumiza hisia za wengi hasa kwa kuzingatia ongezeko la taarifa kuhusu visa vya namna hii kwenye vyombo vya habari na jamii kwa ujumla ambapo tunasikia ukatili wa...
Nilishawahi kuumizwa sana kimapenzi enzi hizo lakini kuna hawa wawili hadi leo sijawahi kuwasahau, Spice na Cathe (si majina halisi)
Huyu Spice alinionyesha kunipenda sana lakini alikuja kunikimbia kila alipokuwa ananiona, hakutaka hata kusimama na mimi japo kusalimiana kumbe aliambiwa na watu...
YANGA ikiwa ugenini inapiga mpira mkubwa mnooo, hapa Al ahly mashabiki walikuwa FULL HOUSE
achana na hawa jamaa zetu waliokuwa wakicheza na Al ahly kukiwa na mashrti sharti ya Covid
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa imesema mashambulizi dhidi ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, yanaweza kuwa uhalifu wa kivita baada ya kambi mbili za Umoja wa Mataifa kushambuliwa na waandamanaji Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Katibu Mkuu wa Umoja wa...
Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa.
Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI.
Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya Mjini alimuandikia barua Mtendaji wa Kata ya Ruanda kumtaka awape kazi ya Sensa vijana 10 wa CCM...
Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana vikwazo vipya dhidi ya Russia kwa sababu ya RussiaUkraineWar ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku kuagiza dhahabu kutoka nchini humo na kuzuia mali za Sberbank
Vikwazo hivyo vinakusudia kuadhibu na kudhoofisha uchumi wa Urusi ambapo Usafirishaji wa...
Amani iwe nanyi wanajukwaa
Bila kupoteza muda ninaenda kwenye mada.
Niliwahi kutoa uzi hapa jukwaani juu ya mtuhumishi aliyetuhumiwa na DPP kwa kesi ya uhujumu lakini ameendelea kushikilia ofisi kama afisaelimu kata.
Mwalimu huyo ameenda mbali zaidi kwa kumkaimisha mtumishi mwenzake ofisi...
Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumfutia kesi ya uhujumu uchumi aloyekuwa bosi wa Golden Tulip, Serikali imemkatia rufaa Mahakama Kuu ikitaka kesi hiyo irejeshwe, ikidai kuwa Mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kutoa uamuzi kama huo wala kusikiliza pingamizi.
Mfanyabiashara Jitesh...
======
Maxence Melo: PESA ZA UVIKO SIO BWERERE, TAKUKURU IPO MACHO
Tanzania imeelezwa kuwa ni miongoni mwa Nchi zinazofanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa licha ya changamoto kadhaa, ambapo ushauri umetolewa pesa za UVIKO-19 zinazotolewa na Serikali zikitakiwa kutumiwa vizuri kwa...
Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam.
Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa...
Ni rahisi tena mno kuona watu wakisambaza maneno ya chuki kwa jamii juu ya watu fulani hivyo hupelekea watu hao kujidhuru kwa kushindwa na maneno ya dhihaka.
Kama mwana jukwaa huwa una mbinu gani juu ya watu wanaokuletea dharau, majivuno na chuki.
Let's share ideas.
Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
Hakuna ubishi kuwa nchi za Magharibi zimejengwa kwa rasilimali kutoka mataifa mengine na watumwa. Mahitaji yaliyosababisha nchi za magharibi kutafuta makoloni na watumwa hayajakwisha hata kidogo, ile kiu ya kuzitawala nchi nyingine bado wanayo, na iko siku moja (sio mbali) watatumia NATO...
Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko ya demokrasia ya miezi 24 na kuchapisha sheria mpya ya uchaguzi
Umoja huo uliiwekea Mali vikwazo...
Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa.......
1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma
2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu
3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa
4. Ukiwa Muhuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.