dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Kwa nini Yesu alisema, “Nenda na usitende dhambi tena,” ikiwa hilo haliwezekani? Je, Yesu alimaanisha alichosema kweli?

    mbaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu.” Wakolosai 3:5. "Na hao walio wa Kristo Yesu wamesulubiwa mwili Pamoja na Mawazo yake mabaya Pamoja na tamaa zake." Wagalatia 5:24. Ni wazi kwamba ikiwa tunataka kuwa wa Kristo tunahitaji kufanya hivi hasa: “Mkinipenda, mtazishika amri zangu.” Yohana...
  2. P

    Kwanini wakristo wakatoliki wanaungama dhambi kwa padri? AKA kuhani?

    Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa. Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe mfumo wa upatanisho usioonekana kabisa. Zaidi ya miaka elfu moja kabla ya Kristo, Mungu aliwaamuru...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa mujibu wa Dini zote tulizoletewa; Hakuna dhambi wala Karma kumtenda ubaya mtu asiye jamii yako, ndugu yako. Waafrika tuache kuamini kwenye ujinga

    KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA. Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Mtibeli. 1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya. 2...
  4. H

    Wakristo Tumeonywa, Tusifunge Kwa Kujionesha kwa Watu, Wala Tusirarue Mavazi Yetu Bali Turarue Mioyo Yetu Iliyo na Dhambi.

    Kwa bahati mbaya, kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kufunga, na hasa kwa sababu mwaka huu Kwaresma ya Wakristo imeangukia kipindi sawa na Ramadhani ya waislam. Mbaya zaidi mijadala imekuwa ya kejeli, kujionesha nani yupo sahihi, na nani hayupo sahihi. Siongelei funga ya waislam kwa sababu...
  5. Liverpool VPN

    Wajuvi njooni mnijuze, "Mungu aliumba dhambi lini?"

    Nimeona hii picha FB ya huyu jamaa ambaye "simjui" ila amenifikirisha mengi .... Twende taratibu ..... Naomba nitoe hoja kwa njia ya maswali kama ifuatavyo? 1. Kama shetani ndio baba wa dhambi, dhambi alizotenda yeye za kuasi mbinguni zilitoka wapi?? 2. Kama kila dhambi huwa tunapata...
  6. Pascal Mayalla

    Je Tuutumie Mwezi Huu wa Toba, Kufanya Toba ya Kweli, Tukiri Makosa Yetu, Tujute Dhambi Zetu, Tuungame, Tusamehewe, Nchi Itakasike Au Tusubirie Tume?

    Wanabodi Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo Declaration of Interest Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, tusiendelee kuzungumzia kile kilichotokea October 29, ili tusizidi...
  7. R

    Steven Wasira acha kiburi, dharau, kejeli ya madaraka. Kuna siku utazitaja dhambi zako you committed against humanity!

    Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU
  8. Pdidy

    Je, wajua umalaya, uzinzi wala ulevi siyo dhambi?

    Dhambi ni kutolijua Neno la Mungu. Ukilijua Neno la Mungu, ukalielewa, ukalishika, litakuweka huru kweli kweli. Utakuwa huru na dhambi zote za duniani. Hutozini. Hutolewi. Hutofanya umalaya. Hutokuwa mmbea. Hutokuwa msengenya. Hutokuwa mfura. Hutofanya dhambi. Kwa kifupi, ukisikia dhambi...
  9. Yoda

    Kwanini dhambi ya riba haipewei uzito mkubwa kwa washika dini ya Uislamu ?

    Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo? Ni mazingira gani ambayo yanaruhusu waumini kushiriki biashara za riba bila kupata dhambi?
  10. Dogoli kinyamkela

    Kuna dhambi nyingine ukiingia imekula kwako kuja utoke omba sana , Imagine mtu sehemu ya OUTPUT yeye Anaifanya INPUT🤔

    Kuna dhambi nyingine ukiingia imekula kwako kuja utoke omba sana , Imagine mtu sehemu ya OUTPUT yeye Anaifanya INPUT🤔
  11. Mshana Jr

    Je, ukuwadi ni dhambi?

    Je ukuwadi ni halali Je ukuwadi ni dhambi Je makuwadi ni akina nani Je malipo ya ukuwadi yana baraka? Tujadili
  12. J

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali? Udalali ni nini Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu mwenye kutafuta soko la bidhaa ya mtu mwingine na kisha kuchukua asilimia ya faida inayopatikana...
  13. Sifi Leo

    Bashungwa itubu dhambi ya uuaji 29.

    Kama utaki utajiju
  14. Mzee Mwanakijiji

    Haki Huinua Taifa...na Utawala wa Samia...

    Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu unaweza kuona ni kwanini "haki huinua taifa". Nimeandika hivi majuzi nikiendeleza tafakari iliyofanywa...
  15. a sinner saved by Christ

    Tuache dhambi

    Waefeso 4:22-24 22 Vueni maisha yenu ya zamani muweke kando hali yenu ya asili ambayo huharibiwa na tamaa potovu. 23 Nia zenu zifanywe upya 24 na mvae utu upya ulioumbwa kwa mfano wa Mungu katika haki na utakatifu. Warumi 6:6 Kwa maana twajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja naye...
  16. Sifi Leo

    Uwezi amini kale kagest ka Hayati Magufuli hapa chato kama mpaka kunguni, kamebakia na wateja wa shoo time, familia kabomoeni kana mtia dhambi.

    Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
  17. a sinner saved by Christ

    Maombi ya Toba kutubu dhambi

    Isa 59:2 lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia. Mit 28:9 SUV Yeye aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria, Hata sala yake ni chukizo TUNAONA DHAMBI inakutenga na Mungu kutokumtii Mungu sheria za Mungu kunamfanya...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ni kwamba huko usabatoni kucheza,kusuka,Hereni kula kamongo ni dhambi? Je na kukemea watekaji ni dhambi pia?

    Mtuambie basi mnasimama na watawala (mafisadi) au mnasimama na wananchi? Mbona unafiki wenu unataka kuvuka grade zote za hapa duniani? Kwahiyo mpo ladhi kufuta ushirika mshiriko wenu kisa tu Kala kamongo lakini kukemea watawala (utawala dhalimu) siyo shida zenu. Kwanini mpo tiyari kuchangisha...
  19. Moto wa volcano

    Ni nani anasema kwenda kwa mganga wa kienyeji ni dhambi !? Huo ni upotoshaji

    Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali...
  20. M

    Je tumefikishwa hapa na dhambi ya Ubaguzi ya JK Nyerere?

    Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola. Nije kwenye mada. Ukiwasikiliza Wahenga na simulizi zao na hata ndugu Polepole miezi ya karibuni utagundua kuwa katika uchaguzi wa kwanza wa vyama...
Back
Top Bottom