dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hata zikigundulika dhahabu kila mtaa na kila nyumba bado ufukara hautawaondoka Watanzania!

    Habari, Huu ndio ukweli. Ni wakati sasa Watanzania na viongozi tuache kutwakutwa kujivunia rasilimali za asili badala yake tuwaze maendeleo. Yaani rasilimali zifikiriwe au kutajwa pale tu tunapotaka kufanya jambo. Tusianze kufikiri na kuzitaja rasilimali kabla ya kufikiri maendeleo (matumizi...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali kuanzisha akiba ya dhahabu nchini

    Waziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini. Pia soma Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar “Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa viwanda vya...
  3. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kununua Dhahabu kama mbadala wa Dola kutokana na kuadimika kwa Dola ya Kimarekani Tanzania pamoja na Dunia nzima

    Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Kama Mtanzania mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali nimewaza na kuona njia mbadala ya kuwekeza kwa Dunia ya sasa ni kununua dhahabu. Hii imetokana na hizi siku chache kutokana na kuadimika kwa Dollars kitu ambacho sio ishara nzuri kwa wanauchumi...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji na kuitumia kufanya manunuzi ya nje na kulipa madeni?

    Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni dola zinapotea dunia nzima. Kwa nini tusinunue mafuta kutoka Saudi Arabia kwa kutumia dhahabu na...
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwenye uchimbaji wa dhahabu anahitajika

    Habari ya muda huu GreatThinkers Hili ni shamba la dhahabu lenye zaidi ya heka 35. Mwenye eneo ameshapata nyaraka zote zinazotakiwa toka wizara husika na upande wa geologist report - anayo ambayo aliipata toka kwa local company. Heka 5 tayari zimeshatengwa kwaajili ya uchimbaji (binafsi) na...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani

    Hii ndio orodha ya nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani. Pamoja na wanasiasa wa Tanzania hasa wale wa ccm kutudanganya hasa miaka ya nyuma kwamba na sisi tulikuwa miongoni mwa mataifa hayo kumbe zilikuwa ni kiki za kisiasa tu. 1. China - 332 Tons 2. Russia -330.9 Tons 3...
  7. buildings tanzania

    JamiiForums Tanzania Nahitaji business partners biashara ya dhahabu

    Wakuu Habari, Kama heading inavyosema, nahitaji watu wa kushirikiana nao katika utekelezaji biashara ya madini aina ya dhahabu. Biashara hii nimeifanyia utafiti wa masoko hasa Dar es Salaam na pia sehemu ambapo naweza kupata dhahabu nzuri purity 99%. Nahitaji partner wakushirikiana nae katika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Akiba ya Dhahabu G.O.T

    Yanaoendelea ndani ya Dunia yetu Kwa nyakati hizi za sasa Hapo nyuma kidogo kulikuwa na COVID-19,Kwa Sasa tuna vita vya Ukraine. Haya matukio Kwa taarifa zinazotolewa inaonesha ni Kwa nanma Gani hakuna kitu Cha bahati mbaya. Sisi watanzania tunacho Cha kujifunza na kuchukua hatua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dhahabu

    Naona watu hawajanielewa! ndio sababu ya ku edit post. swali langu la msingi ni kwamba nataka kujua, kwa mtaji wa Tshs 100M. Je naweza pata “Discount” kiasi gani? nataka kusikia makisio tu na kutoka kwa experienced dealers. Sipo hapa kununua au kutafuta dhahabu maana sio sehemu sahihi. asanteni
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Polisi yatoa taarifa rasmi juu ya tukio la mwili wa mtu kuokotwa, yasema amenyogwa na waya

  11. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Series ya gold mafia inasikitisha sana. Sasa naelewa vyema kwanini Magufuli alibana biashara ya dhahabu na fedha za kigeni

    Hii series inasikitisha sana. Inaeleza jinsi wahuni wanavyotumia biashara ya kuexport dhahabu kutoka Africa kwenda Dubai wanavyotakatisha pesa. Mapastor fake wamejaa humo ndani. .
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuchapishi sarafu za dhahabu?

    Nchi nyingi, hasa zile zinazozalisha dhahabu huwa zinachapisha sarafu za dhahabu na kuuza. Sarafu hizi zina mambo mengi. Kwanza watu hununua kama kito kutokana na uzuri wake. Pili watu hununua kama ni pesa na wanaweza kuitumia kama pesa. Tatu nchi hufanya export ya kitu kilichoongezwa thamani...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hata dhahabu ilifichwa Kenya lakini ilirudishwa, Rais Samia rudisha hela zilizofichwa China

    Rais Kikwete alirudisha hela tuliyopigwa kwenye ununuzi wa rada na hela hiyo ikapelekwa kununua madawati. Rais Magufuli alirudisha dhahabu iliyokuwa imefichwa Kenya kwa miaka mingi. Rais Samia unashindwa nini kurudisha hela uliyodai wewe mwenyewe kuwa imefichwa China? Aliyekuwa DPP Biswalo...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shanta gold mine kuanza kumimina dhahabu kuineemesha Ikungi, mbunge Mtaturu afunguka

    SHANTA GOLD MINE KUANZA KUMIMINA DHAHABU KUINEEMESHA IKUNGI, MBUNGE MTATURU AFUNGUKA SHANTA gold mine sasa Kumimina Dhahabu kuineemesha Ikungi. Ni baada ya Kusimama kwa muda mrefu takribani miaka 19 tangu kusimama kwake sababu ikitajwa kuwa ni baadhi ya Wanasiasa kuweka vikwazo vilivyomfanya...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Dhahabu: Dully Sykes

    Mama hey hey hey Say hey Nakupenda maa Basi njoo maa Mi kila saa kabisa kwako kichaa Girl just listen, tuishi kwama Eden Nakuweka kwenye top 10 Nadata na reception Mi nachoka hoi, pande zote huniboi Niite baby boy nitumie achana na toy Clothes, vipodozi, mapozi yamekwenda course Na sasa dozi na...
  16. The Inspire55

    JamiiForums Tanzania Uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu

    Katika uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi na kupata faida kidogo au hasara. changamoto hii hutokana na uzembe wa mtalaam mwenye dhamana ya kuchenjua makinikia hayo yenye dhahabu kwani wengi huangalia maslai yao binafsi ilihali wanajua...
  17. The Inspire55

    JamiiForums Tanzania Faida katika sekta ya madini

    Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara. Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Jiwe la dhahabu lilokamatwa Kenya na kurudishwa nchini kipindi cha JPM umma ulitangaziwa

    Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu? Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Usiombe eneo au makazi yako yakagundulika yana dhahabu

    Dhahabu ni mali ngumu kupatikana ila ikigundulika eneo au makazi yako utakoma. Uwezi kumzuia mtu kuchimba, nyumba zitabomolewa, watu wataweka kambi watakavyo,uovu utaongezeka. Kuna dalili naziona bora isitokee kama itakuwa kweli watu wakijua tumekwisha. MPAKA SASA Naomba ni ninyamaze maana...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar

    Dunia inabadilika sana, wanasiasa, wachumi na watu wa mipango wetu wasije kuja kutoa visingizio kuwa hawakujua kuwa itakuwa hivi. Mabadiliko ya uchumi na mpangilio wa uchumi wa dunia inaonekana wazi hata kwa sisi tusiokuwa wanasiasa wala wachumi kuwa dollar itapungua umuhimu wake siku chache...
Back
Top Bottom