demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Uchumi ndiyo unaweza kuamua Demokrasia, Afrika hatujafika huko

    MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA. Na Elius Ndabila Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha jambo moja kubwa wapiga kura kabla hawajaenda kupiga kura tr 28/10/2020. Jambo hilo ni Madhara ya...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

    12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020. 1. EXECUTIVE SUMMARY Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015. On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
  3. JamiiForums Tanzania Vyama vingi vilikubalika ili kuwaonyesha mabeberu kuwa tuna utawala wenye demokrasia

    Niliongea na jirani yangu ambae ni kada kindaki ndaki, aliniambia upinzani hauwezi kutangazwa mshindi hata ukishinda. Nilimuuliza ni kwanini iwe hivyo? Jibu lake ni kuwa CCM na watu wake walijitoa mhanga katika ukombozi wa bara la Afrika na wamewekeana kiapo na vyama vyote vilivyopugania uhuru...
  4. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Marekani bado iko juu

    Inasikitisha kuona baadhi ya watu wakitumia jina la Marekani kueneza propaganda za kisiasa. Nimewasikia baadhi ya wajinga wakijigamba kuwa nchi fulani ina demokrasia ya juu kuliko Marekani! Sasa ili kuweka mambo sawa inabidi kuwajibu hawa wapuuzi ili wasiendelee kuwajaza watu ujinga. Kwanza...
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya kijinga. Kamati hiyo inamtuhumu Magufuli kuminya Demokrasia, utawala bora, uhuru wa kujieleza toka...
  6. JamiiForums Tanzania Umefika wakati wa kuiona demokrasia kwa vitendo

    Tuanze na maana halisiya DEMOKRASIA: Democracy : is a form of government in which the people have the authority to choose their governing legislation. Who people are and how authority is shared among them are core issues for democratic theory, development and constitution. Cornerstones include...
  7. JamiiForums Tanzania Wazungu tusaidieni kukabiliana na demokrasia ya kupita bila kupingwa

    Wazungu wanadhani kuwa Waafrika hatujafikia hatua ya kuwa watu kamili kama wao, hasa kutokana na namna tunavyofikiria na tunavyofanya. Bahati mbaya huwa tunawakasirikia sana wale wanapotusema vibaya kama hivyo. Lakini kusema ukweli matendo yetu ndiyo yanayosababisha watuseme hivyo. Wazungu...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demokrasia ya kinyang'au

    Yaani ni vituko vitupu. Mabomu ya machozi nje nje. Wanakera.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa leo ijue historia ya vyama vingi awamu ya pili baada ya uhuru

    Ni vizuri kwa vijana ambao hawakuwepo mwaka 1991 wakati wa kongamano la mageuzi Diamond Jubilee wakasoma hii habari na kugundua kwanini upinzani hauna nguvu kwa Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine. Kama tulisambaratika baada ya miezi tu je tutafika kweli tulikodhamiria kufika pale...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza fomu?

    Tanzania ni Taifa la ajabu sana sijawahi kuona. Dunia inatushangaa na vizazi vijavyo vitakuja kutushangaa. Hivi lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza FOMU? Kwanini imekua ni kama mtihani fulani hivi kwamba mtu akikosea kujaza FOMU anaondolewa kwenye nafasi ya kugombea? Kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kimekumbatia umimi kimeacha Demokrasia

    Mchakato wa kupata wagombea ndani ya Chama cha Mapinduzi umekuwa wa hovyo kuliko ubaya wa chama chenyewe. Uwezi kuwa na chama Cha siasa kinachoendeshwa kwa hisia za kikundi cha watu, chama cha siasa kinaendeshwa kwa sheria, kanuni, na taratibu Leo hii hofu ya chama kukimbiwa na wagombea na...
  12. JamiiForums Tanzania Utendaji wa Rais Magufuli angevishwa Kikwete angekuwa Rais mzuri mno kuwahi kutokea Afrika

    Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana. Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake. Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni ukomavu wa kisiasa m-CCM kuwatia shime upinzani

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Inavutia Colin Powell a staunch republican 'kum' endorse Joe Biden a staunch Democrat kwenye uchaguzi ujao: Colin Powell: 'Biden will be a president we will all be proud to salute' Jamani eeh upinzani si ugomvi. Hata huko CCM kutoa...
  14. JamiiForums Tanzania Pesa kikwazo cha Demokrasia

    Nilileta huu uzi wiki jana kuhusu kazi tulokuwa nimedhamiria kuifanya ya kukusanya maoni ya wakazi wa Kigamboni abayo imekamilika leo. Uzi wenyewe ni huu: Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni Baada ya kufanya stadi yangu kwa siku tatu tangu jumapili ya tarehe 9 August mpaka...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Magharibi na Muktadha Wetu

    Amani mtoto wa Msumari Amani itawale kwenu. Nimekaa na kutafakari sana kuhusu demokrasia. Jambo ambalo kwa hakika siwezi kulipinga ni ule ukweli kuwa, vyovyote vile, demokrasia ni jambo la muhimu sana kwenye jamii yoyote. Shida yangu iko kwenye dhana na maana ya demokrasia. Dunia imepitia...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA baada ya yaliyotokea 2015 wamejifunza kuachia Demokrasia ichukue mkondo hakuna wa kubebwa na Mwenyekiti au Kamati Kuu

    2015 Lowasa alibebwa na Mbowe na kamati kuu bila kura na baraza kuu yaliyofuata Mbowe na kamati walitukanwa Kama watoto Safari Mbowe na kamati kuu wamegoma kubeba mtu wameachia demokrasia ifanye kazi hawataki presha .Kwa hili hongereni kamati kuu ya CHADEMA Kila mgombea apambane na hali yake...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA tunaomba mrushe Live wakati wa kupiga kura na kuhesabu za wagombea uraisi tuone demokrasia inavyafanya kazi

    Kukodi air time kwenye TV Ni gharama kubwa . Tunaomba chadema tuonyesheni tu live kipande kile Cha kupiga kura na kuhesabu tu mengine mwaweza acha kupunguza gharama
  18. JamiiForums Tanzania Kwa vile Benjamin William Mkapa ni baba wa demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, tumuenzi kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia

    Wanabodi, Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!. Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa...
  19. JamiiForums Tanzania Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

    Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko. Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa. Wananchi...
  20. JamiiForums Tanzania Huu ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    Habari zenu, Kwa muda mrefu sana msajili wa vyama vya siasa amekuwa akivibeba vyama vya upinzani hasa CHADEMA pale vinapovunja kanuni, taratibu na sheria za nchi. Sijajua kuna nini nyuma ya pazia ila sasa ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wiki hii jeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…