Umefika wakati wa kuiona demokrasia kwa vitendo

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,316
24,181
Tuanze na maana halisiya DEMOKRASIA:

Democracy :
is a form of government in which the people have the authority to choose their governing legislation. Who people are and how authority is shared among them are core issues for democratic theory, development and constitution. Cornerstones include freedom of assembly and speech, inclusiveness and equality, membership, consent, voting, right to life and minority rights.

Ref : Wikipedia

Wadau nimelileta hapa hili somo ili lidadavuliwe na thinkers hapa JF, hasa wakati hu wa uchaguzi.
Kwa maoni yako, je tunaishi sawasawa na hiyo dhana ya demokrasia?

Na je utatoa maksi ngapi kwa demokrasia nchini, iwe ndani ya vyama kuwapata wawakilishi hadi ngazi ya kata, vijiji , wilya miko na hata ngazi ya Taifa.

Kwa viwango vya Afrika , bado Tanzania tuko juu sana katika kuiishi demokrasia kulinganisha na nchi nyingi sana.

But are we living democratically?
 
Tuko juu labda mbele ya Uganda Rwanda na Congo lakini kiuhalisia tunaweza kuwa chini pia ya hizo nchi!

Aspect gani ya democracy ambayo ipo labda kwa mfano Tanzania zaidi ya Multipartism
 
Theoretically, YES....

Practically, NOT...

Ndiyo maana watawala wanajitungia sheria za kinga ya kutoshitakiwa, yaani wasiwajibike kwa matendo yao...

Ndiyo maana, nchi imemwaga NGUVU na MAMLAKA yote kwa mtu mmoja aitwaye "RAIS"...

Huyu mtu aitwaye " RAIS" ndiye MWANZO na MWISHO wa kila kitu. Ndiye ALPHA na OMEGA....

Nchi inayo practice TRUE DEMOCRACY kila kitu kinatakiwa kiwe reflected katika dhana ya UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU...

Ndiyo kusema kuwa, hii ni lazima iende na dhana ya UKWELI na UWAZI ambapo Tanzania kwa sasa ni kila kitu kiko in TOTAL DARKNESS....!!
 
Tuanze na maana halisiya DEMOKRASIA:

Democracy :
is a form of government in which the people have the authority to choose their governing legislation. Who people are and how authority is shared among them are core issues for democratic theory, development and constitution. Cornerstones include freedom of assembly and speech, inclusiveness and equality, membership, consent, voting, right to life and minority rights.

Ref : Wikipedia

Wadau nimelileta hapa hili somo ili lidadavuliwe na thinkers hapa JF, hasa wakati hu wa uchaguzi.
Kwa maoni yako, je tunaishi sawasawa na hiyo dhana ya demokrasia?

Na je utatoa maksi ngapi kwa demokrasia nchini, iwe ndani ya vyama kuwapata wawakilishi hadi ngazi ya kata, vijiji , wilya miko na hata ngazi ya Taifa.

Kwa viwango vya Afrika , bado Tanzania tuko juu sana katika kuiishi demokrasia kulinganisha na nchi nyingi sana.

But are we living democratically?
Tunapaswa kuitoa serikali dhalimu madarakani hata kwa mawe ikibidi.
 
Tuko juu labda mbele ya Uganda Rwanda na Congo lakini kiuhalisia tunaweza kuwa chini pia ya hizo nchi!

Aspect gani ya democracy ambayo ipo labda kwa mfano Tanzania zaidi ya Multipartism
Mimi nafikiri hata Kenya na Uganda tunawapita kwa demokrasia.
 
Back
Top Bottom