Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.
ACT-Wazalendo wajiunge na SUK na CHADEMA wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni...
Demokrasia au haki ya walio wengi imekuwa kama chanzo cha matatizo mengi sana katika kila kona ya dunia yetu vita mauaji ya hovyo na mengi mno mabaya sana yasiyoweza hata kuambilika, hivyo kwa upande wangu binafsi naona ipo haja ya kimsingi kabisa na muhimu sana kwa UN wakawa na kitengo maalumu...
Nianze mada yangu kwa kutoa tafsiri ya neno Demokrasia, ni serikali ya watu iliyochaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki
Hata hivyo Rais Magufuli ametoa tafsiri tofauti katika hotuba aliyotoa Bungeni Jana kwa kudai kuwa Demokrasia ni kuleta maendeleo na kuwataka viongozi Wa...
Unaweza ukaona kuwa solution ni sheria ama kubadilishwe na katiba,lakini kwa ukweli hasa katiba inaweza kubadilishwa lakini bado mambo yakawa yale yale tu.
Hapa tanzania kuna watu wanalalamika kuna jambo hili limefanyika ni kinyume na sheria mara jambo lile ni kinyume na sheriaa..
Hii maana...
Jerry Rawlings, Ghana former leader don die.
Rawlings die on Thursday morning.
Jerry Rawlings John AKA J.J.Rawlings dem born am 22 June, 1947.
E die at di age of 73 for Korle Bu Teaching Hospital, according to tori.
Former Prez. Rawlings death dey happun just less than a month to di 2020...
Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity, strategic security na brotherhood. Ingawaje hiyo strategic security sikuielewa vizuri.
Pia alisema kuwa...
Ili uchaguzi uaminike unahitaji vitu vikuu vitatu: uhuru, uwazi na haki.
Uchaguzi wa mwaka huu haukua na chochote kati ya hayo. Haukua uchaguzi wa kidemokrasia.
Moja ya njia ya kupinga dhuluma yoyote ile ni kugoma.
Mgomo wa kwanza uliotishwa nchi nzima na wanasiasa wa upinzani haukufanikiwa...
Uganda pamoja na matatizo yao yote ya Museveni kuwepo kwa muda mrefu Uchaguzi wao umekuwa huru kuliko wetu wa 2020.
Pamoja na matatizo yao wana wabunge wengi wa upinzani kuliko sisi, hakuna tatizo kwenye kujumlisha kura, hakuna mabox ambayo yameshikwa na kura feki.
Ni ajabu lakini ndiyo ukweli...
Ndugu zangu,
Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna demokrasia.
Hivi demokrasia ni lazima kuwe na wabunge mchanganyiko? La hasha!
Kama hawata kaa chini...
Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake.
Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya kutakiwa kuwasilisha jina la wakala lakini hawakufanya hivyo.
Inavyoonekana jambo hilo limefanywa...
MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA.
Na Elius Ndabila
Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha jambo moja kubwa wapiga kura kabla hawajaenda kupiga kura tr 28/10/2020. Jambo hilo ni Madhara ya...
12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020.
1. EXECUTIVE SUMMARY
Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015.
On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
Niliongea na jirani yangu ambae ni kada kindaki ndaki, aliniambia upinzani hauwezi kutangazwa mshindi hata ukishinda. Nilimuuliza ni kwanini iwe hivyo? Jibu lake ni kuwa CCM na watu wake walijitoa mhanga katika ukombozi wa bara la Afrika na wamewekeana kiapo na vyama vyote vilivyopugania uhuru...
Inasikitisha kuona baadhi ya watu wakitumia jina la Marekani kueneza propaganda za kisiasa. Nimewasikia baadhi ya wajinga wakijigamba kuwa nchi fulani ina demokrasia ya juu kuliko Marekani!
Sasa ili kuweka mambo sawa inabidi kuwajibu hawa wapuuzi ili wasiendelee kuwajaza watu ujinga.
Kwanza...
Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya kijinga.
Kamati hiyo inamtuhumu Magufuli kuminya Demokrasia, utawala bora, uhuru wa kujieleza toka...
Tuanze na maana halisiya DEMOKRASIA:
Democracy :
is a form of government in which the people have the authority to choose their governing legislation. Who people are and how authority is shared among them are core issues for democratic theory, development and constitution. Cornerstones include...
Wazungu wanadhani kuwa Waafrika hatujafikia hatua ya kuwa watu kamili kama wao, hasa kutokana na namna tunavyofikiria na tunavyofanya. Bahati mbaya huwa tunawakasirikia sana wale wanapotusema vibaya kama hivyo. Lakini kusema ukweli matendo yetu ndiyo yanayosababisha watuseme hivyo. Wazungu...
Ni vizuri kwa vijana ambao hawakuwepo mwaka 1991 wakati wa kongamano la mageuzi Diamond Jubilee wakasoma hii habari na kugundua kwanini upinzani hauna nguvu kwa Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine.
Kama tulisambaratika baada ya miezi tu je tutafika kweli tulikodhamiria kufika pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.