dawasa

  1. W

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Tegeta Azania (Kwenye Nyaya za Umeme wa Zanzibar) hatuna Maji kwa Muda Sasa, DAWASA shida ni nini?

    Kwa muda sasa katika maeneo ya Tegeta Azania (Kwenye Nyaya za Umeme wa Zanzibar) pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini tatizo. Sasa taarifa hamtoi na huku Wananchi ambao ni wateja wenu tunateseka bila kujua tunapataje...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA mna nini na wakazi wa Mbezi Beach? Hatuna maji siku ya 3 sasa

    Wakuu salam, Wakazi wa Mbezi Beach hatuna maji ni siku ya tatu sasa, kuna nini? Au kuna matengenezo yalitangazwa na yamenipita? Maana sijasikia popote, hata kama kuna matengenezo ndio siku tatu jamani? Mnafikiri tunaishije? Halafu maji hayajaacha kuwa na machafu/vumbi! Sasa vumbi kwenye maji...
  3. S

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Juma Aweso atoke hadharani na kusema kwanini Ubungo mpaka Kimara maji ni shida

    Dar ndo jiji kubwa Tanzania ukifanya research utagundua availability ya maji Dar Ina range 60%--70% mfano Ubungo na Kimara maji yanatoka mara mbili Kwa wiki tena Kwa mda mchache yanakata mwezi wa pili huu. Ukicheki Leo 2024 Bado maji ni shida Ila Waziri yupo naibu wake yupo wanachofanya ni...
  4. Doto12

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kinyerezi kuna shida kubwa ya maji, group la DAWASA WhatsApp halifanyi chochote kutatua kero hii

    Group limeundwa na watu wa DAWASA wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi. Mh. Waziri anahangaika huku na kule lakini wafanyakazi wa DAWASA wachache wanafanya masihara na maisha ya wananchi. Rais anahangaika huku na kule kuna wapuuzi wamekaa kwenye kiyoyozi wanashika videvu. Mh...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji Malamba Mawili

    Eneo la Malamba Mawili ambalo lipo kata ya msigani linahudumiwa kupitia mtambo wa Maji Ruvu Juu. Kutokana na maeneo hayo kuzungukwa na vilima vikali na hupata maji siku ya Jumanne, Alhamis na Jumapili, lakini baadhi ya maeneo kushindwa kupata maji pindi msukumo wa maji unapokuwa mdogo. Mamlaka...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Nyakahamba- Kerege wakamilishiwa mradi, dawasa yawaita wakazi maunganisho ya maji

    Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo na kuwezesha upatikanaji wa huduma kwa wakazi takribani 250. Akizungumzia utekelezaji wa mradi...
  7. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Karibu wiki nzima Kimara hatuna maji. Shida nini?

    Karibu wiki mbili sasa tunatembelea ringi maji hakuna mitaa ya Kimara. Shida ni nini Dawasa?
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Yasinsta Cornel: Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa Miradi ya maji; Tatizo kwa upatikanaji wa maji nchini

    Waziri Kivuli wa Maji wa ACT Wazalendo Ndg. Yasinta Cornel Awiti amesema kuendelea kwa vitendo vya uzembe na ubadhirifu katika miradi ya maji ni chanzo cha tatizo la upatikanaji duni wa huduma ya maji nchini. Hivyo, ametaka uwajibishwaji wa watu wote wanaohusika na vitendo vya uzembe na...
  9. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania DAWASA kwanini mvua ni nyingi lakini tunakosa maji?

    Bongo kweli nyoso mvua zote hizi siku sijui ya ngapi hatuna maji, Haya maji mengi kwamba mnavyojenga sehemu za kuvuna maji mliwaza kuwa sio zote ni kiangazi Kuweni serious wengine basi, bomba sijui limepasuka wekeni backup plan Miundombinu ya mwaka 1880s huko ndio mnatumie leo Wenzetu wana...
  10. Candela

    JamiiForums Tanzania DAWASA imenitumia bill ile ile miezi mitatu mtawalia, hii si sawa

    Kwa miezi 3 mfululizo sasa DAWASA wamekuwa wakinitumia bili ya maji yenye kiasi kile kile hakibadiliki, FEBRUARY wametuma bili, MARCH wakatuma kiasi kile kile mpaka senti, na hii ya APRIL wametuma ile ile, ni kama wametu forwardia tu meseji. Nikiangalia matumizi kuna mda hatugusi bomba kabisa...
  11. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Je! kuna Bifu kati ya staff wa tanesco na dawasa?

    leo nimeshuhudia sijui ni bifu au tuseme ni kituko gari ya tanesco yenye wafanyakazi ilipokutana na ya dawasa kwenye foleni Mwenge basi yakaanza matani dawasa wanaitwa chura nao wanawaita wa tanesco popo yakaanza matusi sasa 🤣🤣🤣
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA bado wanasubiri wakabidhiwe Mradi wa Maji Kiluvya NSSF

    Mradi wa Maji Kiluvya NSSF Eneo la Kiluvya NSSF kwa sasa kuna mradi unaoendelea kutekelezwa na Shirika la hifadhi ya Mifuko ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya wateja ambao waliuziwa viwanja katika eneo hilo. Mradi huo umehusisha ulazaji wa bomba kubwa la inch 8 kutoka kwenye bomba kubwa la inchi 30...
  13. P

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Maji yatapatikana umeme ukirejea

    DAWASA imewatangazia umma Mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma ya maji kutokana na hitilafu katika mfumo wa gridi ya Taifa. Maeneo yanayoathirika ni Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa Maji Ruvu Juu, Mtambo wa Maji Ruvu Chini, Mtambo wa Maji Wami, Mtambo wa maji...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Siku ya maji duniani. Ujenzi wa lile bwawa la vidunda la kumaliza shida ya maji Dar umefikia wapi?

    Leo ikiwa siku ya maji duniani. Lile bwawa walilisema litamaliza shida ya maji Dar na Pwani ujenzi wake umefikia wapi?
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yatembelea ujenzi wa jengo jipya la DAWASA Yetu lililogharimu shilingi bilioni 48.9

    KAMATI YA BUNGE YAFANYA UKAGUZI JENGO LA DAWASA YETU Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imekagua na kufurahishwa na maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka Dar Es Salaam (DAWASA) katika eneo la Ubungo Maji Mkoani Dar es Salaam...
  16. maroon7

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA kuna rushwa kwenye ufungaji wa maji

    Wanabodi (Kwa sauti ya Paskali Mayalla), Nasikitika sana kuleta kero yangu kwa hawa DAWASA ambao wameamua kutufanyia uhuni sisi wateja wao wapya. Binafsi nililipia kuunganishiwa maji tangu October 2023 ila tukaambiwa kuna upungufu wa vifaa tusubiri. Tukasubiri hadi mwaka ukaisha tunaambiwa...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA maji ya makazi mapya Mbezi Beach yana udongo mwezi sasa, nini shida?

    Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero. Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa. Kila bomba ukichota ndoo imejaa udongo, kutumia maji ni mpaka usubiri yatulie uchuje. Mnatupeleka wapi maana hatujui...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

    Habari za Majukumu! Tangu mwaka huu uanze haya maji ya DAWASA nikiyanywa tumbo linaniuma. Zamani nilikuwa nakunywa ya kuchemsha yaani bila kuchemsha maji sinywi labda ninunue. Mwaka jana nikajaribu kunywa maji ya bomba (DAWASA) bila kuchemsha nikaona hayana shida. Ni mpaka mwaka huu Januari...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?

    DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea. Sasa...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aigaza DAWASA kuboresha miundombinu ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inafanya maboresho kwenye mitambo ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu hususani pampu za kusukuma maji ili kuwezesha huduma ya maji iweze kupatikana kwa ufasaha na kwa...
Back
Top Bottom