dawasa

  1. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania KERO Dawasa kwanini Hakuna Maji Maeneo ya Kimara, na hamtoi taarifa Yoyote

    Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara. Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena. Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu. Na hii hali ina karibia mwezi sasa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji kusafiri kidogo tu DAWASA mnakata maji Jumapili

    Mlisha ambiwa na Bwana Aweso msikate maji weekend. Mmevizia kaenda kuwatafutia fund Korea mnakata maji. Ila Dawasa mna makusudi sana mradi mharibu mipango ya waziri tu.
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania TANESCO na DAWASA kama mnayofanya ni makusudi, sio vizuri kabisa!

    Tukianza na TANESCO, sijui mmekuaje hizi siku. Mnakata umeme siku nzima hafu hamna mnachosema. DAWASA na nyie mshakya viburi. Mnakata maji mnarudisha saa 4 usiku hafu mnakata tena saa 11 asubuhi. Kama ni matatizo technical mtuambie mapema basi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji Ubungo Makubuli wiki ya tatu hayajatoka

    Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana msaada wowote.
  6. doup

    JamiiForums Tanzania DAWASA how do you make money?

    Kwanza asanteni Kwa kuwa wakweli, maana maji yenu imekuwa bidhaa adhimu huku Kwetu. Kama notisi 👇 Ndugu mteja A/C A1049*31*76*, KUMBUKUMBU 99104*30*06* , Bill yako ya Novemba/2024 umetumia uniti 0, kutoka 427 mpaka 427 sawa na Tshs. 0. Salio/Ziada ni Tshs. 0, jumla Tshs. 0. BILI HII NI NOTISI...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kuna magroup ya WhatsApp ya DAWASA maeneo yote Dar, Waziri Aweso omba links za maeneo yenye malalamiko upate uhalisia

    Salam, Tunaendelea katika episode nyingine ya 'MZINDUE AWESO MAJI YAREJEE', na leo tumpe mbinu nyingine ya kujua uhalisia wa kinachotokea mtaani. Yaani hii wiki inaenda kuisha kule Mbezi Beach maji yametoka haijazidi siku moja, afu Waziri Wizara ya Maji huko anajitapa tu maji yapo na chawa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA na TANESCO wakubaliana kuimarisha huduma Dar na Pwani

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri amezitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kudumisha ushirikiano baina yao ili kuboresha utoaji wa huduma kwa Wananchi. Mhandisi Waziri amesema kuwa Taasisi hizi ni za...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya uboreshaji huduma ya maji katika eneo hilo. Akizungumza katika mkutano wa ulioitishwa na wananchi hao...
  10. maroon7

    JamiiForums Tanzania Baada ya DAWASA kukiwasha, sasa Tanesco nao wameanza kubip

    Baada ya DAWASA kuamua kutotoa huduma ya maji kwa muda mrefu ambapo kwa baadhi ya maeneo tayari maji hayajatoka kwa zaidi ya miezi miwili na hamna aliewajibishwa kwa hili wala kiongozi wa serikali aliekemea, Tanesco nao wameanza kuonesha umuhimu wao kwa kuzima umeme mida ya jioni mara kadhaa na...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Responded Baada ya kelele za kutosha JF hatimaye maji yaanza kutoka na presha inaridhisha, maeneo mengine bado hayajifika muwafikie na wao

    Wakuu, Pongezi sana JamiiForums kwa kutupazia sauti mpaka maji yameanza kutoka na presha ipo vizuri tofauti na siku tatu za nyuma kabla ya maji kukata kukabisa. Nimeona Waziri amekuja kujibu na kusema kati ya sehemu kuna huduma ya uhakika ya maji ni Mbezi Beach! Huu ni uongo mkubwa Wizara ya...
  12. P

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA Mbezi Beach mnatuona manyani tu, Aweso pita na huku tafadhali kuna shida pahala inahitaji kunyooshwa

    Wakuu, Nishachoka kuja kulalamikia maji hapa, mnatufanya kama watoto tunapewa pipi tumun'unye halafu mnatupokonya. Yaani kama vile sasa hivi tupo kwenye mgao, na maji bado yana harufu mbaya, ukiwatafuta majibu ni yale yale, maji yameruhusiwa yatatoka! Ahhh Wizara ya Maji embu pitia huko nyuma...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Responded Waziri Aweso: Maji yapo, aagiza wafanyakazi wa DAWASA kutokaa ofisini "Wananchi wanahitaji maji"

    WaziriI wa Maji, Jumaa Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu juu tayari imerekebishwa. Waziri Aweso ameyasema hayo leo Oktoba 28, 2024 katika ziara ya kukagua...
  14. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Dawasa na mtambo wa Ruvu Juu ni mzimu unaowatesa wananchi wa Dar es salaam

    Hii dawa yenu inayochemka saivi yaani ipo siku kuna watu watainywa ikiwa ya moto kabisa.
  15. chakii

    JamiiForums Tanzania KERO Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji Meneja wa DAWASA kazi imekushinda, ondoka ofisini

    Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji , na wala hamna taarifa wala maelezo yoyote ambayo yanatolewa na mamlaka husika. Meneja umetulia ofisini una sign posho na kupokea mshahara bila kufanya kazi, maana ni kazi gani hiyo ambayo unafanya wakati wananchi...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini DAWASA hawawezi kutupa maji 24hrs kama Mwanza?

    Kama nitakosea nisahihishwe, niliwahi kumsikia Kitila Mkumbo enzi hizo Katibu wa Wizara akisema maji yaliyopo ni mengi kuliko uhitaji wake kwa watu wa DSM. Kwa sababu mabomba yamefikia wachache tu kwa maji hayo mengi nilitarajia yawe yanatoka kila siku saa 24 huku ambapo pameunganishwa. Wakati...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Simba kata ya Kilungule, Bunju Beach hatuna maji zaidi ya wiki 3, DAWASA hawatupi majibu ya kueleweka

    DAWASA tunaomba majibu ni kwanini hatupati maji kwa kipindi chote hicho na bila taarifa, na pia wakipigiwa simu wanadai wanashughulikia lakini hakuna chochote kinachoendelea. Imekuwa ni changamoto ya kujirudia rudia isiyopata utatuzi. Maji yatatoka wiki moja halafu watatuma bili baada ya hapo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Huduma ya Maji Muheza Maili Moja itarejea, mabomba yaliyoharibika yametengenezwa

    DAWASA imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau aliyelalamikia changamoto ya Huduma ya Maji Kibaha, kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ DAWASA Kibaha nini tatizo? Hakuna Huduma ya Maji wiki ya pili, hayo mabomba mabovu hayatengenezeki? Eneo la Muheza lilianza kukosa maji week iliyopita baada ya...
  19. P

    JamiiForums Tanzania KERO Maji yanatoka Mbezi Beach lakini presha ni ndogo sana hata kama una tenki la akiba ni kazi bure, maeneo mengine Dar hali ikoje?

    Wakuu kwema, Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile, ndogo sana. Mpaka leo hii maji yanatoka kidogo kidogo sana kiasi kwamba hata kama mtu una tenki la...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma

    DAWASA YAANZA KWA KISHINDO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA Yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali ya kihuduma...
Back
Top Bottom