dawasa

  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania DAWASA kuna nini? Maji yamekuwa ya shida sana

    Yapata siku ya nne leo katika baadhi ya maeneo ya Tegeta mpaka Bunju maji hakuna. Watu wanahangaika kusaka maji. Halafu utasikia waziri anapewa sifa kweli lakini kila siku maji sehemu mbalimbali utasikia shida. Au ndio kuna mgao wa maji
  2. mayome

    JamiiForums Tanzania Dawasa wanatupiga

    Nimefanya tathimini nikagundua hizi mita za maji hapa Dar ni majanga sana. Yaani hata ukiwa umesafiri bili inakuja ileile na mita inatembea. Kuna kitu hakipo sawa kwenye mita za maji jamaa wanatupiga. Wanatuumiza sana jamani was galleries tena ufanisi wa mita zao.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Matengenezo ya bomba la Maji yanaendelea, huduma kurejea baada ya kumaliza

    DAWASA YAWAHAKIKISHIA WAKAZI HUDUMA BAADA YA MATENGENEZO Na Crispin Gerald Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa Ruvu chini kuwa huduma ya maji itarejea ndani ya muda uliopangwa kufuatia matengenezo ya bomba kubwa la inch 54...
  4. N

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kinyerezi, mwezi sasa unaisha sijapata control number ya kufanya malipo kuunganishiwa maji

    Wakuu ni mwezi sasa unaisha sijapata control number ya kufanya malipo kuunganishiwa maji, wadai mtandao TTCL upo down jambo hili linashangaza sana kwa kampuni kubwa kama DAWASA Kama wahusika mpo fuatalieni, msilazimishe kampuni kukaa kwenye mtandao mmoja ambao tija yake ipo chini kisa tu ni wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Manyanyaso Dawasa Ubungo/Kimara

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Dawasa ni Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam, ikiwa na mikoa ya kihuduma mbalimbali likiwamo tawi letu la Ubungo. Tawi hili ofisi zake zipo Kimara matangini. Katika tawi letu kumekuwa na manyanyaso sana...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kutumia Tsh. Trilioni 1.029 kutekeleza Miradi ya Maji 2022/2023

    SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetenga sh. trilioni 1.029 kutekeleza miradi ya maji 13 ya kimkakati katika mwaka wa fedha 2022/2023. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini Dodoma na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu kwenye mfumo wa maji, kushughulikiwa

    KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA DAR, PWANI ZASISITIZA ULINZI WA VYANZO VYA MAJI Na Crispin Gerald Kamati za Ulinzi na Usalama za Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani zimeonya vikali wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu kwenye mfumo wa maji. Akizungumza wakati wa ziara ya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Aweso, zile Sifa zako za kwa bosi wa DAWASA zilitokana na nini wakati kuna 'madudu' huko kwake?

    "DAWASA ilitoza bili za maji kwa wateja 1207 na kukusanya shilingi milioni 755.65 bila kusoma mita za maji kwa matumizi ya maji ya kila mwezi".Ripoti ya CAG-Charles Kichere. Chanzo: itvtz Kwa tuliobahatika kuwa na Saikolojia Kali ya Kuzaliwa nayo na ile ya Kufundisha Chuoni tulipoona tu Siku...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kibaha wanabambikia watu bili za maji, mamlaka waangalie kuna kitu huku

    Kuna huu mchongo ambao unaendelea Kibaha japo kuna washkaji zangu nilizungumza nao wanadai kuwa siyo Kibaha peke yake bali maeneo mengi. Inadaiwa kuwa wana mchezo wa kubambikia watu bili za maji. Inashangaza kidogo kwa kuwa malipo unalipia online, waoa wanafaidikaje hapo au ni uzembe wao tu...
  10. mwandende

    JamiiForums Tanzania DAWASA Luguruni Kibamba tufungulieni maji kwa wakati, tumechoka kuteseka

    HABARI WAKUU, Kuna hili suala la Dawasa wilaya ya ubungo , tarafa ya kibamba, kata ya kwembe, mtaa Luguruni, Dare saalam. Eneo hili limekuwa lina tatizo sugu la maji, ambalo limetengenezwa na Dawasa wenyewe eneo hilo la Luguruni , lengo la kupiga pesa kwa njia ya kuuza maji, kupitia kwenye...
  11. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji: Mtambo Ruvu Juu na usanii wa Dawasa, Waziri Aweso ingilia kati

    Kwa takribani wiki tatu kumekuwa na tatizo kubwa la maji kwa maeneo yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu Juu hususan Kibaha, Mbezi Luis, kimara nk. Cha kushangaza tarehe 12/01/22 Dawasa wametangaza kukosekana kwa huduma kwa masaa 16 kuanzia tarehe tajwa wakati tayari watu hawana maji kwa muda...
  12. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Mvua zimerejea kwa kasi, ngoja tuone watakuja na kisingizio gani tena

    Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana. Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena. Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa DAWASA, Maji hakuna lakini wanaleta bili kubwa kuliko wakati wowote ule

    Nimechoka mno baada ya DAWASA KIBAHA kunitaarifu bili ya maji. Kwa muda wa mwezi sasa maji ni shida, Yanatok mara moja ndani ya siku tatu au nne, lakini cha ajabu sasa eti bili imekuja kubwa mara mbili kuliko kipindi maji yanatoka kila siku Naomba nitume meseji ifuatayo kwa uongozi wa DAWASA...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

    Mamlaka ya maji safi na maji taka Dar es Salaam imetangaza mgao wa maji jiji la Dar es Salaam kanda ya Kinondoni ili kupunguza kero kwenye maeneo yanayotajwa kuwa na msukumo mdogo. Katika ratiba hiyo wakaazi wa Masaki, Mikocheni na Obey wameula, watapata maji saa 24 siku saba za wiki. Baadhi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatangaza mgao wa maji Dar es Salaam

    Dawasa imetangaza kuanza mgao wa maji jijini Dar es salaam kutokana na kupungua kwa maji katika vyanzo vyake. Mtendaji mkuu wa Dawasa amesema mgao huo utakuwa unafanyika ndani ya saa 24 tu kwamba wananchi watapata maji kila siku lakini kwa saa chache siyo siku nzima kama ilivyo sasa. Chanzo...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke kakague kisima cha maji DAWASA Charambe Mbagala

    Kwa miaka sasa wakazi wa Charambe Mbagala maji tunayopewa na Dawasa ni hatari kwa matumizi kwani yana kemikali. Maji haya yenye rangi ukifulia nguo nyeusi huacha rangi nyeupe kwenye nguo yakaukapo, na ukiyamwaga kwenye mchanga huchukua muda mrefu sana kukauka na yakikauka huacha rangi ya njano...
  17. T

    JamiiForums Tanzania DAWASA Mkumbuke JP Magufuli, msitutese wanachi

    Magufuli ameongoza kwa miaka 5, kina cha maji kiliogopa kushuka, five years Kiwango cha maji hakipungui, na maji mtaani mabomba yanavuja hovyo lakin watu wa napata maji Tozo amekuja Samia maji yanapungua,Tozo zinapanda, wamachinga wanalionja joto CCM na DAWASA hacha sarakasi za kuandaa watu...
  18. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Serikali iichunguze DAWASA kuhusu urefu wa visima vyake vya maji Mbagala Charambe

    DAWASA Mbagala Charambe imekuwa ikisambaza maji yasiyofaa kwa matumizi, hali hii imekuwa kwa miaka sasa kiasi cha kusababisha wakazi kuchimba visima vyao, tofauti kubwa ni visima vya DAWASA kuwa na maji yenye chumvi nyingi sana kama ya baharini tofauti na ya watu binafsi Kuacha kutumia maji ya...
  19. Mother Confessor

    JamiiForums Tanzania DAWASA Tabata tekelezeni majukumu yenu

    Nyinyi watu wa maji DAWASA nimeripoti tatizo langu la kukosa maji naona mpo mpo tuu na majibu yenu yasoeleweka, wiki ya pili hii sina maji kwangu bomba lenu limepasuka sijui mmefanyaje wenyewe mimi sipati maji wengine wanapata huduma kama kawaida. Aisee msianze ukiritimba wenu na mambo ya...
  20. Hajto

    JamiiForums Tanzania Usomaji mita za maji dawasa

    Habari zenu jamani ,napenda kuuliza izi ajira za usomaji wa mita za maji dawasa jinsi ya uombaji wake na upatikanaji wake wa ajira ukoje.......
Back
Top Bottom