Andazi
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 588
- 1,039
Bongo kweli nyoso mvua zote hizi siku sijui ya ngapi hatuna maji,
Haya maji mengi kwamba mnavyojenga sehemu za kuvuna maji mliwaza kuwa sio zote ni kiangazi
Kuweni serious wengine basi, bomba sijui limepasuka wekeni backup plan
Miundombinu ya mwaka 1880s huko ndio mnatumie leo
Wenzetu wana bombaless system nyie mmekazana na kulike connection za aslay na mademu wenye makalio insta huku sisi siku ya ngap sijui hatuogi
Poleni kama nimewakwaza