dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

    Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha. Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wagonjwa wanapewa magonjwa ambayo hawana ili Zahanati ziuze dawa

    Ujumbe huu ufike Serikalini hasa kwa Wizara ya Afya, sasa hivi baadhi ya vituo vya maabara vinafanya kitu kimoja, ukienda kupima hata kama huna Typhod majibu yao ni una-typhod, unajikuta unatumia dawa huponi. Ukienda kupima tena bado majibu ni unatyphod, sasa hii ni hatari sana, watu wanakunywa...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kwa mtu aliyeunguzwa na mafuta ya dawa za nywele

    -Habari za majukumu? Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya -Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua. Kila Muda anatokwa na majimaji kichwani na kupelekea vidonda kama anaoza Hivi, anapata maumivu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Vijiwe vimekua dawa ya stress kwa majobless Tanzania

    Vishukuriwe vijiwe Tanzania wanaume tunainjoi maisha Japo account zinasima zero. Majobless huo tunakutana vijiwen tunapiga story na kupeana michongo ya kazi mbalimbali za kutumia nguvu nyingi n'a malipo kidogo Ila kimtindo life linasonga.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Dawa ya kukosa usingizi

    Jamani nina ndugu yangu ana tatzo la kukosa usingizi, ametumia dawa za usingizi hadi basi. Msaada please
  6. JamiiForums Tanzania Baraza la Famasi nchini latoa tahadhari juu ya matumizi holela ya dawa za macho kutibu 'red eyes'

    Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata vya antibiotic na steroid kwa Wagonjwa wa Red Eyes wanaofika kupatiwa huduma kwenye baadhi ya maduka...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yajadili namna ya ununuzi wa dawa adimu kutoka Cuba

    Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na Wakurugenzi wa Wizara ya Afya leo Februari 2, 2024 wmekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Bw. Humphrey Polepole, wadau wa Hospitali, MSD pamoja na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA)...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni dawa gani?

    ..
  9. JamiiForums Tanzania Nashindwa kudhibiti kisukari licha ya kutumia dawa na kufuata masharti

    Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana. Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina ya vyakula na kiwango lakini yeye ameweza kudhibiti ila mimi siijaweza. Tatizo nini? Wagonjwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna dawa ya kumroga mtu? maana nishaibiwa tayari na ujanja wangu huu

    Kufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia. Ila kadri siku vinavyosonga...
  11. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Kenya: Madaktari Tanzania Mnaandika Dawa za Kiwango cha Chini

    Kenya kuna makampuni mengi makubwa ya madawa, ambayo mengi yao ni innovators wa dawa mbalimbali (brands), ambazo nchi nyingine hususani India huja kuzalisha baadaye kama generic. Kwa wasiojua brands huuzwa ghali, ila ni bora zaidi, wakati ni generic huuzwa kwa bei ya kutupwa, nyingi zikiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Raia wa Rwanda ashikiliwa kwa kusafirisha Dawa za Kulevya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili akiwemo raia wa nchini Rwanda, Assouman Gahigiro [48] na Winny Bruno [31] mkazi wa Kiwira Wilaya ya Rungwe kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 20. Watuhumiwa walikamatwa Januari 27, 2024 katika kizuizi...
  13. JamiiForums Tanzania Dawa ya Ukimwi ipo imefichwa stoo

    Tukiwa katikati ya maambukizi ya ugonjwa wa "red eyes" ambayo inaambukizwa na kirusi nikaukumbuka ugonjwa wa Ukimwi ambao nao inaambukizwa na kirusi. Kama ilivyo kwa Ukimwi,patient zero aliitoa wapi hii "red eyes" ikiwa red eyes inasababishwa na mvua zinazonyesha na kusababisha unyevunyevu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha HIV/AIDS (Bioline) kinaweza kutoa majibu sahihi hata ukitumia water for injection (maji ya kuchanganyia dawa za sindano) badala ya buffer

    Niliwahi ambiwa na wataalamu wa hospital DOCTORS AND NURSES..Kuwa ukipima HIV/AIDS kwa kutumia kipimo cha Bioline ukikosa maji yake..unaweza kutumia hata water for injection na majibu yakatoka sahihi Nakiri ni kweli baadhi ya sample niliwajaribu kuzipima kwa kutumia buffer pia sample izo izo...
  15. JamiiForums Tanzania Abiria wa Treni ya TAZARA washushwa mpakani ili Treni Ipulizwe Dawa ya kuua vimelea vya Kipindupindu

    Abiria wa Treni ya TAZARA iliyotoka Zambia wameshushwa mpakani Tunduma ili Treni ipulizwe dawa ya kuua vimelea vya Ugonjwa wa Kipindupindu. Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Dr. Enock Mwambaraswa amesema hatua hiyo imekuja kutokana na taarifa za kuwepo kwa Ugonjwa wa Kipindupindu...
  16. JamiiForums Tanzania Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa. Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Dawa muhimu na dawa za mitishamba

    Uko upande upi? Binafsi nazikubali dawa muhimu kwa kuwa ni uhakika kupona unapozitumia, zimeundwa kwenye Right Proportion (Composition), pia wataalamu wamekaa maabara miaka na miaka kuzifanyia utafiti, ni rahisi kutumia n.k
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

    Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam anawachemshia dawa ambayo hamtakuja kumsahau. Yaani mtajuta kumfahamu. Mara nyingi wanaume hawa huvizia kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dodoma waitaka Serikali kutafuta Dawa ya Ugonjwa wa Macho Mekundu kwani wanaonekana ni Wavuta Bangi

    Yaani huu Uginjwa wa Macho Mekundu ulioingia sasa Mkoani Dodoma kutokea Dar es Salaam unatukwaza kwani kwa Macho yetu kuwa Mekundu hivi tunaonekana ni Wavuta Bangi wakati wengine hata hiyo Bangi yenyewe hatujui amesema Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Dodoma. Chanzo: Nipashe ya Radio One Asubuhi hii...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa mimea, dawa nk huu ni mmea gani

    Huu mmea nimekuta sehem umejitenga na mimea mingine, Sijapata kuliona pahala popote. Kwa anayejua
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…