Naomba kujuzwa Dawa ya kukosa usingizi

Jamani na ndg yangu ana tatzo la kukosa usingizi, ametumia dawa za usingizi hadi basi.

Msaada please

Habari!

1: Kitu cha kwanza muhimu ni kuwezeshwa kutambua ni nini chanzo/sababu ya yeye kukosa usingizi. Kwani sehemu kubwa ya tiba ni yeye mgonjwa kuwezeshwa na kutenda kwa kadri.

2: Kufahamu aina ya ukosaji wa usingizi ukiendana na umri wake.

3: Mabadiliko kwenye maisha kuelekea kupata usingizi wa kutosha/kitabia au kimaisha (tiba ya saikolojia).

4: Dawa ya kuleta uaingizi inaweza kutumika kama msaada wa muda mfupi kulingana na aina na kiasi cha kukosa usingizi.

NB: Wataalamu wa afya ni muhimu hapa ili kuweza kusaidika vyema, hasa daktari bingwa wa magonjwa ya ndani na mwanasaikolojia.
 
Hii hapa dawa ya usingizi
Usiku kunywa maziwa fresh ya moto na ndizi mbivu pamoja
Yani unafanya kama unavyokunywa chai na maandazi
Unang'ata ndizi unakunywa mziwa
Usipopata usingizi huwezi kuupata tena
 
Back
Top Bottom