dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara/maudhi ya dawa za presha Captopril na Enalapril

    Captopril na enalapril ni dawa muhimu kwa watu wenye matatizo ya presha na kisukari. Maudhi ya dawa hizi ni pamoja na kikohozi kikavu, ambapo mgonjwa huanza kukohoa kikohozi kisichopona au kutulizwa na dawa za kikohozi. Katika tiba, mgonjwa anapaswa kurudi kwa daktari wake na kuelezea tatizo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara/maudhi ya dawa za presha Nifedipine na Amlodipine

    Amlodipine na nifedipine ni dawa za kawaida kwa watu wenye matatizo ya presha hapa nchini. Moja ya madhara muhimu ya dawa hizi ni kuvimba kwa miguu juu ya kifundo cha mguu (ankle edema). Matumizi ya dawa hizi yanaweza kusababisha miguu kuvimba, ambapo mgonjwa anaweza kufikiria amepatwa na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Madhara/ maudhi yatokanayo na matumizi ya captopril, enalapril dawa za presha

    Captopril na enalapril ni dawa muhimu kwa watu wenye matatizo ya presha na kisukari. Maudhi:- Maudhi ya dawa hizi ni pamoja na kikohozi kikavu, ambapo mgonjwa huanza kukohoa kikohozi kisichopona au kutulizwa na dawa za kikohozi. Tiba:- Katika tiba, mgonjwa anapaswa kurudi kwa daktari wake na...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ijue dawa aina ya methylenedioxy pyrovalerone (MDPV)

    Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini imekamata dawa aina ya MDPV , je dawa Ina madhara/hatari zipi kwa mtumiaji? IFAHAMU KWANZA, MDPV ni dawa ambayo Iko kwenye kundi la dawa zinazoitwa ' stimulants ' ,mfano wa dawa ambazo ziko kwenye kundi hili ni mirungi ( cathinone)...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri. Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128, wamo wa Dawa za Kulevya, Gongo Lita 223

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128 kwa makosa mbalimbali wakiwa na vielelezo vya makosa hayo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wamenaswa kupitia msako na doria ambazo zinaendelea kila wakati ili kuhakikisha usalama unaendelea kuwepo.
  7. JamiiForums Tanzania Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  8. JamiiForums Tanzania DCEA yakamata Kilogramu 54,506.553 za Dawa za kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wakala wa misitu (TFS) imefanya operesheni katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Iringa, Mbeya, Arusha na Dar es Salaam na kufanikiwa kukamata jumla ya Kilogramu 54,506.553...
  9. JamiiForums Tanzania Esther Bulaya: Serikali iwekeze katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya

    Ester Bulaya ameshauri Serikali kuwekeza katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya, aliongelea kuwa multi clinic Nchini zipo 11 na wanaohitaji matibabu ni maelfu, asilimia ya dawa za kulevya kuzalishwa duniani imeongezeka na siyo dawa zote huwa zinakamatwa Nchini. Sober House zipo 40 nchini...
  10. JamiiForums Tanzania Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

    Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana na utapeli. Mshtakiwa mwenzake, Nafise Quaye, (47) raia wa Nigeria ambaye pia anaishi Worcester...
  11. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna mwingine ana tatizo kama hili. Je dawa yake ni nini wakuu, milango ya corolla runx imeoza sana...
  12. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Makabati 2 ya kioo ya Aluminum ya Pharmacy/Duka la dawa yanauzwa

    Yapo Dar es Salaam Buguruni Rozana. Bei sh 500,000/=. Simu: 0677759159, 0752113939
  13. JamiiForums Tanzania NHIF na Wizara ya Afya wanamdanganya Rais kuhusu Dawa zilizoondolewa kwenye Kitita kipya?

    Binafsi sielewi kwanini NHIFTZ na Waziri was Afya @ummymwalimu wameamua kuwa waongo na wazandiki katika hili suala la bima ya afya ya NHIF. Wanachama tumewakosea nini? Mnataka roho zetu? Swali langu lilihusu dawa namba 21 katika zilizoondolewa, beclomethasone with salbutamol inhaler ikiwa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Sote ni wavuta bangi na zinatumiwa kutengezea dawa

    Bangi yenye nguvu inaongeza hatari kubwa ya magonjwa ya akili, wasema watafiti 15 Machi 2024 CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Watu wanaotumia bangi wanaweza kushindwa kuelewa mambo halisi na kushindwa kusikia sauti zao, wanasema watafiti Kuvuta bangi yenye nguvu yenye majani...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Unyapaa wa Waafrika kwa dawa na chanjo za Magharibi ulianza wakati wa ukoloni

    Huwa kuna mijadala mingi mitandaoni kuhusu huduma za kinga na tiba tunazopewa na wazungu. Wapo wanaosema kuwa kuendelea kupewa misaada ya chanjo na baadhi ya tiba ni moja ya njia inayotumiwa na wazungu kupunguza kasi ya watu weusi kuzaliana. Nimefuatilia makala iliyorushwa na Dw inayoonesha ni...
  16. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa Uhalifu pamoja na Dawa za Kulevya zakamatwa Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limesema hali ya ulinzi na usalama mkoani humo kwa mwezi Februari hadi sasa ni shwari huku likiwakamata watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya pamoja pikipiki zinazotumika katika uhalifu. Akitoa taarifa hiyo leo Machi 18, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kutibu hulka ya visasi na kutokusema kwenye anga za mapenzi?

    Shalom Hodi hodi jumapili! Mungu wetu ni Mungu Mkuu na wa ajabu sana. Sijui huwa inatokea vipi sio kwa hiari yangu but nahisi ni kitu inherent au kuna namna sielewi anejua Aya za bibilia au vinginevyo aweke hizi dawa ama tiba za kiimani. Iko hivi imeniwia vigumu kimsamehe na kumfanya rafiki...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania wanakataa Mchele lakini wanakubali Kondomu, Chanjo na Dawa za Mmarekani

    Hili nalo ni moja ya Ajabu la Dunia kutoka Tanzania.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex. Mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke. Hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika. Kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo...
  20. JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya kupaka(Tube)inayosaidia kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo hutengeneza utando mweupe.

    Habarini jamani.. Naomba kufahamishwa tube nzuri (dawa ya kupaka) usoni ambayo inaweza kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo yanapelekea kutengeneza utando(ugaliugali) mweupe kwa ndani. Kama umewahi kukutanana hizi chunusi/mashimo mwenzangu ulipona kwa dawa gani..?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…