dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

    Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi ni copy generic ya dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Dawa za malaria, antibiotic, drip zote...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kufukiza UDANOL hulinda Afya yako

    Taifa letu likiendelea kwa mwendo kama huu tutafika mbali sana. Katika video hii kuna dawa iliyotengenezwa hapa hapa Tanzania, ni dawa ya kufukiza inayoitwa UDANOL.
  3. dubu

    JamiiForums Tanzania Dar: NIMR Mabibo, kuna msururu wa watu wamejaa kununua dawa ya Corona (NIMRCAF)

    Wakuu Salaam, Kutokana na Wimbi la Pili la Corona, Wananchi Wameanza kuchukua Tahadhari wenyewe kwa hiari yao sababu wanajua kujali afya na jukumu la mtu mwenyewe kulingana na anavyojipenda. Hivyo wananchi wameanza kufanya kazoezi, Kuvaa Vitambaa vinavyofunika Pua na Mdomo ikiwemo kufuata...
  4. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kunenepa ya hospitalini?

    Habari JF Doctors na washauri mbalimbali, Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyohusika, Naulizia kama nitapata dawa ya kunifanya niongezeke mwili baada ya kuugua muda mrefu. Natumai mtanipatia majibu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Afrika tunatia aibu kutokuwa na uwezo wa kutengeneza dawa

    Yaani pamoja na wasomi wote tulionao bara nzima bado tunasubiri huruma kwenye kila kitu hata Chanjo za Corona. Lakini kibaya nchi zote za Africa ukiacha Senegal hata jitihada za kutafuta chanjo hakuna sasa OAU na hizi EAC , SADC ni za nini kuongea tu!!. Tungekuwa na viwanda vya madawa hata...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa

    Huyu sichana ni jinga na huyu kijana hajielewi. Alianza kumtafuta Peter wa P square akijisogeza sogeza kwama awe anampost. Akaweka waji kwamba akiconnect na watu maarufu atapata fanbase kubwa. Peter wa P Square akamtolea nje. Alipopata kuona macho ya huyu mondi yanamwelekea akajibeba mzima...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

    Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi. Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Muuguzi wa Zahanati na Mlinzi mbaroni kwa kuiba Dawa na kuziuza nyumbani huku zingine zikiwa zime-expire

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshilikilia sungusungu wa kijiji cha Nyamalogo Fedson Matekele na William Desdez (27) muuguzi wa zahanati ya Nyamalogo kwa kosa la wizi wa dawa za binadamu katika zahanati hiyo iliyopo katika kata ya Nyamalogo wilaya ya Shinyanga na kuziuza nyumbani. Kwa...
  9. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel awafunda wafamasia wapya ili wawe wabunifu wasiishie kufanya kazi ya kutoa dawa pekee

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewata wafamasia walioingia rasmi leo kwenye taaluma hiyo wasisubiri kufanya kazi za kuingiza dawa au kumpatia mgonjwa dawa bali wametakiwa kuwa wabunifu kwa kutengeneza dawa kwenye maeneo yao kazi ili kuweza...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

    Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio. NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono. Sasa nimebakisha mawili tu. Nimenza mazoezi takriban wiki ya pili sasa na naendelea...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watumishi 23 MOI wachunguzwa madai ya wizi wa Dawa na Vifaa Tiba

    Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa madai ya wizi wa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh1.2 bilioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Januari 13, 2021 na mkurugenzi mkuu wa Takukuru...
  12. Lyugi sana

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 3 unatosha kufungua duka la dawa?

    Nina pesa kama nilivyoiainisha hapo juu, Na ninahitaji kufanya biashara ya duka la dawa na sina kitu hata kimoja zaidi ya pesa yangu mfukoni. Je, nikianza harakati sitoishia njiani? Zaidi soma...
  13. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

    Habari wakuu. Naweza pata wapi dawa ya kung'alisha meno tofuati na hizi Colgate na dawa nyingine. Kama kuna dawa nzuri. Msaada tafadhali.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kutoa uchafu kwenye pasi

    Habari za Jumatatu WanaJamiiForums hope mpo poa. Sasa basi nisiwachoshe kuna pasi yangu hapa nyumbani naona inataka kuniharibia nguo zangu ina uchafu mweusi kwa chini ni mgumu sana kutoka umeshaniunguzia nguo zangu mara kadhaa. Nimejaribu kununua panadol nisigue uchafu nilitumia nguvu nying...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa mvi kichwani

    Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
  16. M2baki

    JamiiForums Tanzania Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    Habarini za jioni ya pasaka ndugu wana jamvi. Si mwandishi sana humu jamvini japo ni msomaji wa muda kidogo. Leo nimependa ku share jambo lilionipa msaada baada ya kuona watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo. Binafsi niliumwa na vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania CAG, Prof. Mussa Assad, Atoa Dawa ya Kutibu Ugonjwa Hatari wa Deni la Taifa, ni Nidhamu ya Matumizi kwa Kubudget Kutumia Kile tuu Tutachokipata

    Wanabodi, Moja ya ugonjwa mkubwa na mbaya kuliko magonjwa yote yanayolikabili taifa letu, ni ugonjwa wa kukua kwa deni la taifa, ambalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko uchumi wetu. Ukuaji wa uchumi wetu wa taifa ni wastani wa asilimia 7% kwa mwaka, wakati ukuaji wa deni la taifa ni asilimia 20%...
Back
Top Bottom