Darasa la Sheria la Wakili Peter Madeleka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,142
Reaction score
859,471
Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania.

Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria ya polisi inataka vyama vya siasa kutoa taarifa tu ya mikutano badala ya kuomba kibali.

Anasisitiza kuwa viongozi wa serikali hawana mamlaka ya kuzuia mikutano hiyo kikatiba, kwani Rais pekee ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari.Aidha, anaelimisha kuwa askari hawapaswi kutekeleza amri haramu wala kutumia nguvu kubwa kama vipigo, kwani kuvaa sare hakumweki mtu juu ya sheria.

Anafundisha pia kuhusu wajibu wa makosa ya jinai, akieleza kuwa kosa la jinai ni la mtu binafsi na si la kikundi au chama kizima.

Mwisho, anatoa wito kwa waandishi wa habari na jamii kwa ujumla kuwa na tabia ya kuhoji na kuwataka viongozi kutaja vifungu vya sheria kila wanapotoa matamko yao.

View: https://www.facebook.com/share/v/1TKcdSx3t1/
 
Ulifuatilia mwenendo wake wakati tukielekea kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu ?
1000157038.jpg
 
Madeleka ni kama popo hajulikani kama ni ndege au mnyama☺️
Madeleka mwanzoni alikuwa vizuri kweli kweli. Uchaguzi wa 29/10 ndiyo ulianika udhaifu wake kwenye siasa. Yuko kama Pascal Mayalla . Huwa anajifanya kama comedian wa siasa au tuseme kama alivyo clown kwenye circus, basi na wao ni clown kwenye siasa.
 
Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania.

Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria ya polisi inataka vyama vya siasa kutoa taarifa tu ya mikutano badala ya kuomba kibali.

Anasisitiza kuwa viongozi wa serikali hawana mamlaka ya kuzuia mikutano hiyo kikatiba, kwani Rais pekee ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari.Aidha, anaelimisha kuwa askari hawapaswi kutekeleza amri haramu wala kutumia nguvu kubwa kama vipigo, kwani kuvaa sare hakumweki mtu juu ya sheria.

Anafundisha pia kuhusu wajibu wa makosa ya jinai, akieleza kuwa kosa la jinai ni la mtu binafsi na si la kikundi au chama kizima.

Mwisho, anatoa wito kwa waandishi wa habari na jamii kwa ujumla kuwa na tabia ya kuhoji na kuwataka viongozi kutaja vifungu vya sheria kila wanapotoa matamko yao.

View: https://www.facebook.com/share/v/1TKcdSx3t1/

Swadakta
 
vyombo vya ulinzi na usalama kamwe haviwezi kuruhusu mikutano ya hadhara ya kichochezi yenye lengo la kuhatarisha au kuvuruga amani na utulivu wa wananchi.

na kwamwe,
vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi kusita hata kwa sekunde moja kutumia nguvu ya kadiri kudhibiti na kusambaratisha magenge ya kihalifu miongoni mwa waandanaji haramu kadiri inavyoonekana inafaa.

magereka hana haja ya kutumia sheria kuchochea uvunjifu wa amani, usalama na utulivu miongoni mwa wananchi wa Tanzania 🐒
 
Madeleka mwanzoni alikuwa vizuri kweli kweli. Uchaguzi wa 29/10 ndiyo ulianika udhaifu wake kwenye siasa. Yuko kama Pascal Mayalla . Huwa anajifanya kama comedian wa siasa au tuseme kama alivyo clown kwenye circus, basi na wao ni clown kwenye siasa.
Mkuu Macho Mdili, macho_mdiliko , naheshimu mawazo yako, na ikitokea wewe mwenyewe unajijua ukoje unasimama wapi na unasimamia nini, shikilia msimamo wako, usijali watu wakiku judge wanavyokuona, wewe endelea kusimama na kusimamia kile unachokiamini!.
P.
 
Madeleka ni kama popo hajulikani kama ni ndege au mnyama☺️
Madeleka ni aina ya mwanaharakati aliye na msimamo wa kati.
Na hukosoa bila woga kwani hutumia Sheria kwa kila neno analotamka.
Unapoona anasifia utawala fahamu ni katika kuwanafikia tu watawala ukimsikiliza kwa lakini.
 
Nimekupata vema.. Naona sasa zimemrudi
Mkuu kuamini zimerudi ndio kunamuaminisha kuwa anaweza kuziweka tena pembeni pale atakapoona fursa kupitia mfumo uliopo ...kiufupi anakuwa amewamudu Watanganyika
 
Most likely
 
Chief na wewe unaifuatiliaga hii ng'ombe?!

Hii ng'ombe haijapata kushinda kesi ya mteja wake yoyote yule katika mahakama zote!, kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka mahakama kuu!

Huyu ni joka makengeza! Same same zitto...

Vijana wa mfumo hawa!
Pengine kwa post hii nitamfahamu zaidi maana kuelekea uchaguzi mkuu alikera sana..
 
Mfuatilie, maana hata kesi nyingi kampuni yake ya stalwart law chambers inazochukua, ni kesi ambazo jamhuri huwa ina maslahi kwenye hizo kesi...na siku zote Madeleka huangukia pua!

Kijana wa nyumba kubwa huyu...
 
Back
Top Bottom