Hahaaaa siri yako tutaitunza mkuu, karibuWatu kama Malaria 2 na THE BIG SHOW utakuta wanamtafuna huyu mdudu kwa siri, halafu wanaenda msikitini! Matokeo yake ndiyo haya ya kujikuta wamechanganyikiwa.
Location yako mkuuWeekend hii pia mzigo upo, wekeni oda wadau