Wanaochafua Dar es salaam ni hawa watatu

Wanaochafua Dar es salaam ni hawa watatu

Kubwa la Maadui

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,014
Reaction score
15,865
1. Mabango ya manabii/wachungaj
2. Mabango ya CCM
3. Matangazo ya waganga

Yani kila sehemu yapi ovyoovyo, nchi haina utaratibu kabsa kama tunaishi porini. Huwez kukuta ujinga huu kwa watu wanaojtambua hata mara moja

Kila kituo cha daladala, stend ya mabus , pembezoni mwa barabara hizo takataka lazma ziwepo

Mkuu wa mkoa haoni?

Serikali haioni?

Tuwe wastaarabu aisee
 
Utafanyaje Mkuu..Ushauri :Kataa CCM tu,ndiyo chanzo Cha Matatizo yote.Mabango ya MWAMPOSA- Kada mtiifu wa CCM na rafiki binafsi wa Mwenyekiti-CCM Taifa,unawaza yasiwepo.!!!!?
 
Back
Top Bottom