dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali kupitia TANROADS imeanza rasmi ujenzi wa daraja eneo la Jangwani, Dar es Salaam

    Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kudumu wa kuondoa changamoto ya mafuriko ya mara kwa mara yanayoathiri jiji hilo. Daraja hilo litakuwa na urefu wa...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kila mtu wa Dar ni tapeli

    Dar Kuna nini? Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli. Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü Ukimwagiza mahala anapotea Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni jiji ambalo watu wanarogana sana

    Dar ni kawaida sana watu kurogana kwa matakwa mbalimbali either ☆kuroga ili wapate kazi fulani ☆Kumroga mume wa mtu awe wake ili amuhudumie ☆Kumroga rafiki afukuzwe kazi ili yeye apate hio kazi. ☆ Kumroga boss ili akupende wewe upate cheo. ☆ Kumroga mshangazi akupende ili ufaidike. ☆ Kumroga...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unamjua Meya wa Jiji lako la Dar es Salaam?

    Wana JF, Hata kwa kuwa tuna chronic issues (majitaka, dampo, mitaro, parking, paving nk) kero hizi zinamfikia nani?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wapi ntapata Vifaranga vya Kenbro kwa Dar?

    Wadau wa ufugaji kuku waliopo Dar , nahitaji vifaranga kwa kuku chotara aina ya Kenbro kwa dar kwa sababu lazima nitume kijana aje kukagua parent stock , wakiwa vizuri ntachukua wengi kidogo kama 2000 hivi.
  7. X

    JamiiForums Tanzania Chuo cha St Joseph University cha Dar kinafaa kusoma Engineering?

    Wakuu mm ni mgeni humu Jamii Forums na hii ndo thread yangu ya kwanza kuandika. Nina shida moja, mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu na nimesoma PCM nimepata Division II ya 10 Physics D Chemistry C Mathematics C Sasa ndoto yangu ni kusoma Mechanical Engineering na hii ndo iko moyoni...
  8. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania CCM Mwaka huu wakitoboa ntatembea kwa miguu toka Mwanza to Dar kwa miguu

    Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika. Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM. Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho. Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote...
  9. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania wapi naweza kupata ndege kasuku kwaajili yakukununua kwa hapa Dar

    habari ndugu zangu wana jf. nahitaji pea za ndege kasuku kwaajiri yaufugaji, yaani dume2 na jike2 mimi napatikana dares salaam, kwamwenye nao au anae fahamu mazingira yakuwapata kwahapa dar naomba tuwasiliane pm tafadhari sana.
  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Watu mnaokaa Dar es salaam, je Hii gereji bado ipo?

    Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote. https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
  11. F

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuamasisha ustaarabu kwa wakazi wa Dar

    Wakaz wengi wa Dar hawana ustaarabu (civilization)
  12. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mademu wa dar wanapenda kuwa spoilt sana

    Najua moja ya comment itakuwa ni kutoka kwa Mallerina ananiambia "tafuta hela wewe friji halizimwi"🤣 Anyway, Kama hauna pesa ya uhakika na unashi mzizima usijuhishishe na tasnia ya mapenzi yale yalio ya uhakika kwa maana huu mji hata demu wa yombo vituka anataka treatment ya level ya ibiza.
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

    Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Madalali Dar, walalama wachina kuingilia kazi zao

    Madalali wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Masaki na Oysterbay, Dar es Salaam, wameiomba Serikali iingilie kati kutokana na kuingiliwa kwa biashara yao na raia wa kigeni, hasa Wachina, wanaodaiwa kufanya biashara ya udalali wanapoingia nchini. Akizungumza na Swahili Times, Kaimu Katibu...
  16. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Safari Dar to Mwanza na Runx nitatoboa?

    Wazoefu wa Masafa marefu na vigari vidogo. Wakuu ile RUNX mpya ya majuzi nataka niende nayo Mwanza kwa ajiri ya mapumziko kikazi, vipi nitatoboa nayo 1200 kilomita?? Nitatumia muda gani? Speed natakiwa kutembelea ngapi? Anyways 1.Tyre zote mpya 2. Service bado inadai 2000Km 3. Kila kitu kipo...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania to Fly from Dar to Lagos on 15 August, 2025

    We’re so excited to share this moment with you! ❤️✈️ Air Tanzania will start to fly direct from Dar es Salaam 🇹🇿 to Lagos 🇳🇬from 15th August, 2025. To us, this is more than just a flight route. It’s a beautiful bridge between two cultures, two nations… and two hearts. Since our wedding...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya barabara Kariakoo Dar

    Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari. Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
  19. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali Dar. Ni kama na leo kuna kesi ya Lissu. Kinachojiri ni nini

    Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
  20. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli daraja la Dar na Zanzbar kuwepo

    Hii ni ndani ya dakika kumi tu ndege tatu zinatoka znz
Back
Top Bottom