Parabolic JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 2,905 Reaction score 3,223 Jul 20, 2025 #1 Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari. Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani? Your browser is not able to display this video.
Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari. Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani? Your browser is not able to display this video.
Nkuba25 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,386 Reaction score 13,136 Jul 20, 2025 #2 Mi 5 tena kwa mama.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,272 Reaction score 114,525 Jul 20, 2025 #3 hiyo sehemu ni kero kwa muda sasa.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,994 Reaction score 22,005 Jul 24, 2025 #4 Hapo tumezoea chini y ccm na mafisadi na majizi Kazi ni kipimo cha utu
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,487 Jul 24, 2025 #5 Yaani hii nilipost tiktok Dawasa wakajifanya kuziba maji Juzi wamekuja kukwangua barabara wameacha hivyo na maji yake🙌
Yaani hii nilipost tiktok Dawasa wakajifanya kuziba maji Juzi wamekuja kukwangua barabara wameacha hivyo na maji yake🙌
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,177 Reaction score 14,155 Jul 24, 2025 #6 Kariakoo ni moja ya sehemu za hovyo Tanzania hii