Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,112
- 35,414
Najua moja ya comment itakuwa ni kutoka kwa Mallerina ananiambia "tafuta hela wewe friji halizimwi"🤣
Anyway,
Kama hauna pesa ya uhakika na unashi mzizima usijuhishishe na tasnia ya mapenzi yale yalio ya uhakika kwa maana huu mji hata demu wa yombo vituka anataka treatment ya level ya ibiza.
Hakuna neno uloliacha na mada umeifunga!Tafuta pesa wanawake ni kama bidhaa Kwa nchi za kiafrika, ukiwahitaji utawanunua tu. Aidha Kwa kupitia kutoa mahali au Kwa NJIA nyingine lakini lazima ile . huduma ulipie . Narudia ni BIDHAA namfuko wako ndo una determine kiwango Cha ubora wa hiyo BIDHAA