Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Nimerudia Kazi Yangu
Jasiri haachi asili!
Nimerudi rasmi kwenye kazi yangu ya udalali kwa nguvu mpya na uaminifu ule ule. Karibuni sana kwa huduma bora na zenye uhakika.
Ninapangisha:
Nyumba
Vyumba
Fremu za Biashara
Eneo: Jiji zima la Dar es Salaam (kwa haraka zaidi maeneo ya Mbezi...
Kama unakaribia Dar es Salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya Dar es Salaam
Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio...
ENG. GODWIN KAMALA AJA NA VIPAUMBELE VITATU KWA WANANCHI WA JIMBO LA KAWE, DAR ES SALAAM
Mhandisi Godwin John Kamala ambaye aliteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwa Mgombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam ameendelea kunadi sera zake kwa Wajumbe wa Kata
Aidha...
Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa?
Ni kama wamekanyaga kaa la moto!
Kifupi imenishangaza sana.
Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo.
Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye...
Hivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?
SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?
Clouds FM Ni...
Wakuu niaje
Nimekuwa Dar es Salaam kwa miezi kadhaa sasa, na kuna mambo nimeyaona ambayo kwa watu wa huku ni ya kawaida kabisa, lakini kwa sisi tuliokulia mikoani yanaweza kushangaza, kuchekesha au hata kuwa ya aibu.
Je, haya ni maendeleo au tunapotea kimaadili? Hebu tujadili kwa uwazi lakini...
Gari aina ya Tata liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Taifa Stars michuano ya CHAN limeketetea kwa moto baada ya kutokea hitilafu.
Ajali hiyo ya moto imetokea ghafla gari kuwaka moto msafara wakati msafara ukiwa unakaribia mkoani Shinyanga.
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kudumu wa kuondoa changamoto ya mafuriko ya mara kwa mara yanayoathiri jiji hilo.
Daraja hilo litakuwa na urefu wa...
Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma.
Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
Dar Kuna nini?
Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli.
Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü
Ukimwagiza mahala anapotea
Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna...
Dar ni kawaida sana watu kurogana kwa matakwa mbalimbali either
☆kuroga ili wapate kazi fulani
☆Kumroga mume wa mtu awe wake ili amuhudumie
☆Kumroga rafiki afukuzwe kazi ili yeye apate hio kazi.
☆ Kumroga boss ili akupende wewe upate cheo.
☆ Kumroga mshangazi akupende ili ufaidike.
☆ Kumroga...
Wadau wa ufugaji kuku waliopo Dar , nahitaji vifaranga kwa kuku chotara aina ya Kenbro kwa dar kwa sababu lazima nitume kijana aje kukagua parent stock , wakiwa vizuri ntachukua wengi kidogo kama 2000 hivi.
Wakuu mm ni mgeni humu Jamii Forums na hii ndo thread yangu ya kwanza kuandika.
Nina shida moja, mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu na nimesoma PCM nimepata Division II ya 10
Physics D
Chemistry C
Mathematics C
Sasa ndoto yangu ni kusoma Mechanical Engineering na hii ndo iko moyoni...
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote...
habari ndugu zangu wana jf.
nahitaji pea za ndege kasuku kwaajiri yaufugaji, yaani dume2 na jike2 mimi napatikana dares salaam, kwamwenye nao au anae fahamu mazingira yakuwapata kwahapa dar naomba tuwasiliane pm tafadhari sana.
Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote.
https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.