dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

    Wakuu. Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar. Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Wakazi wa Kibaha na Dar

    Hamjambo tafadhali? Msaada tafadhali. 1. Shule ya Kibaha Sekondari (boys, ile special) ipo mtaa gani, kata gani na tarafa gani?!!! 2. Chuo Cha st. John, tawi la st marks (pale buguruni malapa) kipo mtaa gani, kata gani na tarafa gani wakuu?!!!
  3. JamiiForums Tanzania Sigara za Kielektroniki za Bangi pisi 50 za kamatwa Dar

    Kamishna Jenerali Lyimo amefafanua kuwa, katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam, amesema, jijini Dar es salaam, kwenye klabu ya “Bad London” iliyopo Temeke kwa Azizi Ally na klabu ya “Sanaa” katika eneo la “Reggae bar” iliyopo Masaki, walikamata sigara za kielektroniki (E - Cigare...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta epoxy resin kwa mwanza na hata dar es salaam

    kama kichwa kinavyojieleza natafuta epoxy resin nipo mkoani ila karibu na jiji la mwanza kwa huu mkoa nimetafuta bila mafanikio. Sasa nauliza kama naweza kupata mwanza na hata dar es saam ikiwezekana ni vizuri kama nikajulishwa na bei yake ahsante
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Natamani serikal ipanuae barabara ya Dar Morogoro

    Ukiangalia barabara ilivyo kuanzia kimara hadi mbezi zile njia nane na service road inapendeza na inarahisisha saana serikali ingepanua kama hapo mbezi to moro town pale chalinze inapigwa exchange moja ya maana hamna maingiliano ya wanaokwenda kaskazin ingekua poa saana
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanajiona miungu watu

    Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao? Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia kufelishwa. Mhadhiri anaingia darasani mara 7 kwa semester na hakuna attendance wala nini na hakuna...
  8. JamiiForums Tanzania Chuo cha Tumaini Dar es Salaam

    Salamu! Nimechaguliwa chuo cha tumaini Dar Es Salaam kozi ya IT ngazi ya bachelor. Ila ada naona iko juu kulinganisha na vyuo vya serikali. Je loan board watalipa ada yote ikiwa ntapata mkopo 100% au niaje wakuu. Naomba majibu kabla sija confirm kujiunga na chuo hiki kwani nimechaguuliwa chuo...
  9. JamiiForums Tanzania Tupate burudani kidogo kutoka kwa mkaka wa Dar.

    Kwahiyo wanaume wa Dar siku hizi mnatembea na pochi kama wanawake?
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Hazina ndogo dar es salaam

    Habari za muda huu ,kwa yoyote anayejua ofisi ndogo ya hazina mkoa wa dar es salaam aniambie hipo maeneo gan
  11. JamiiForums Tanzania Rolls Royce Festival in Dar 2025

    Karibuni katika tamasha la Rolls Royce Dar es Salaam. MAHALI: Coco beach, TAREHE: 29 Oktoba 2025, MGENI RASMI: Mheshimiwa Haji S. Manara.
  12. JamiiForums Tanzania Wakazi Mbopo walia rafu za Shirika la Maendeleo Dar es Salaam (DDC)

    WAKAZI wa Mbopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam wameshangazwa na rafu wanazofanyiwa na Shirika la Maendeleo Dar es Salaam (DDC) hali ambayo inawashangaza na kutojua hatma yao. Wakazi hao wanalakamika hivyo ingawa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka 1990, gazeti la Daily News liliweka tangazo/habari ya Magufuli kuomba asaidiwe matibabu ya moyo enzi anasoma Chuo Kikuu Dar es salaam

    Ni ugonjwa huu ambao hatimaye ulitangazwa kuchukua uhai wake. Cc: hafre
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂 hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo za CCM

    Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
  16. JamiiForums Tanzania Naomba anayejua hotel ya nyota 10 Dar msaada

    Nina mgeni wangu ataingia jijini mwezi ujao msaada wenu hotel ya hadhi ya 10 star
  17. JamiiForums Tanzania Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam

    Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam, nicheki 0756704145
  18. JamiiForums Tanzania Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam

    Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam, nicheki 0756704145
  19. JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali kutenga Tsh. 450 Bilioni kwa ujenzi wa Arena ya Wasanii Kawe, Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa fedha za kujenga Arena ya kisasa kwa ajili ya kuwawezesha wasanii kupata maeneo rasmi na mahususi kwa ajili ya matukio yao ya kisanii tayari zimekwisha patikana. Akizungumza...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaofanya kazi dodoma mna famliaa dar mnaishjje???

    BINAFSI HALI SIO NZURI KUNA WATU WANATESEKA SANA NA FAMILIA M ZIPO NDOA NYINGI SANA ZIKO IC7 SABABU YA DISTANCE MUNGU TUSAIDIE
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…