dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  2. H

    Magari ya kubeba mizigo kupeleka mikoani hupatikana wapi , Dar es Salaam?

    Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar. Na gharama zake zipoje?
  3. T

    Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Habari wadau wa ufugaji Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya kwakipindi kisichopungua miezi 8 iliyopita.
  4. Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

    Naomba kwanza tumsikilize Mkuu wa Mkoa. Video clips zinachelewa kupanda lakini In shaa Allah tutazipandisha, ni muda tu. Baada ya kumsikiliza mkuu wa mkoa na tatizo la uchafu na biashara kuwa kiholela mitaa ya Dar. AlhamduliLllah Madrassatul Abaraar darasa la vifaa vya ujenzi tumekuja na...
  5. F

    Nina mtaji wa Tsh. 50,000/= naomba wazo la biashara kwa Dar es Salaam

    Niko na shilingi elfu hamsini Tzs, ni biashara gani naweza fanya Dar es Salaam? ========= Unashauriwa kusoma uzi huu kupata mawazo zaidi>>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
  6. RC wa Dar ' Comrade ' wangu Amos Makalla jiangalie sana Suala la ' Wamachinga ' linaenda ' Kukufyeka ' usipoachana nalo

    Kamarada (Comrade) wangu mkubwa wa Simba SC na ' Misebene ' ya Wenge Musica BCBG RC wa Dar es Salaam Ndugu Amos Makalla jiangalie sana kwani unaweza ' Kufyekwa ' muda wowote. RC wa Dar Amos Makalla huu ' Mkakati ' ambao nasikia umeuanza hasa wa Kuwapangia na Kuwaondoa ' Wamachinga ' maeneo yao...
  7. M

    Ajira za madalali wa nyumba, vyumba na flemu za biashara Dar es Salaam

    P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu. Ili kufikia malengo...
  8. K

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nikuombe utoke ofisini kwani mtaani kunamomonyoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dsm muda wakusoma majalada umekwisha, Toka nje utuambie upi msimamo wako kwenye mambo yafuatayo na Nini tufanye Kama wananchi? 1. Unajua Trafiki wamekuwa kero barabarani na kuifanya style ya makondakta kuzunguka nyuma ya gari nakuangusha buku buku kama mtindo halali na mfumo...
  9. Naomba kujuzwa Gereji nzuri ya kufanyia Diagnosis Dar es Salaam

    Wenyeji wa Dar naomba msaada wenu. Gari yangu ina tatizo na nadhani watu wa Diagnosis wataweza kujua tatizo lake ni nini, huko mikoani nimeipeleka kwa mafundi wengi hawajagundua tatizo. Gari ni Vanguard, ikiwa spidi ama gia ndogo kuanzia 0-30 inakua kama inashtuka, kama inataka kusimama ghafla...
  10. Mamlaka za Usafiri Dar hazijali muda wa abiria

    Habari wanaJF, Hoja hii ni mahsusi kwa watumiaji wa usafiri wa Daladala wanaotumia Mabasi ya Mbezi - Kawe na Mbezi Makumbusho pia wale wa Makumbusho - Mbezi na Kawe - Mbezi. Angalieni huu mzunguko; Unatoka Mbezi/Kimara unasimama Taa za Ubungo, ukivuka unasimama tena taa za TCRA kisha unakunja...
  11. Amos Makalla: Uhalifu utabaki Historia Dar. Amwambia Rais Samia kama shughuli imepata Mwenyeji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya. Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama mkuu wa Moka wa Dar na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kwamba Mkoa uko Salama na kazi...
  12. Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

    Habar wakuuuuu, Poleni na mahangaiko ya wiki ,Wakuu leo ni weekend tupeane location ya kiwanja chenye watoto classic na beer bei elekezi jijini Dar es salaam . mfano TPS BEI SIO ELEKEZI BEER LOCAL 4000 . Karibuni wakuuu tupeane location.
  13. Watuhumiwa 15 sugu mbaroni kwa tuhuma mbalimbali za kihalifu katika jiji la Dar es Salaam

    Mohamed Musa Mohamed aliyetajwa kuwa Mhalifu sugu wa kughushi nyaraka za Serikali na zisizo za Serikali kwa nia ya kujipatia fedha kwa udanganyifu amekamatwa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam imesema Mohammed anayefahamika zaidi kama Kibosile amekutwa na Hati za Kusafiria zaidi ya 130, nyaraka...
  14. H

    Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

    Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
  15. Ukosefu wa maji Dar es Salaam, Tatizo nini?

    Aisee hawa DAWASCO wanatesa watu, siku ya pili leo maeneo Jimbo la Kawe hakuna maji kabisa, Tatizo nini haswa?
  16. M

    "Faili halionekani": Wimbo unaotawala mgando wa kutoa haki kwa wakati kwa baadhi ya kesi za rufaa kutoka kwenye mahakama ya kazi Dar es Salaam

    Inategemewa na vilevile kutumainiwa sana na kila mwananchi kuiona mahakama kama chombo kitukufu, kinachoaminika na chenye; weledi kiutendaji, chenye maadili, na mfano wa kuigwa kiuwajibikaji panapo hitaji hilo. Pamoja na kuwa ni muhimili unaojitegemea, yanayoendelea kwa sasa kwa baadhi ya vituo...
  17. 2

    Natafuta kazi halali ya usiku, nipo Dar es Salaam

    Habari Wana Jf Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania. Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza...
  18. Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?

    Habari wakuu na wanajamvi, Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola kwa ajili ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Yaani kwa kifupi inasemekana Makonda tayari ameanza...
  19. Ushauri: Natarajia kuhamia Dar es Salaam

    Ni Kijana ninayetarajia kuelekea Dar kutafuta degree katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani Dar es Salaam sasa kama kijana kuna muda ntahitajika kujichanganya katika shughuli mbalimbali za kujipatia kipato nipate hela ya kodi, chakula n.k Hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo...
  20. Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

    Kuna watu wana amini maisha ya Dar ni magumu (kufanikiwa ni ngumu) wengine wanasema maisha mikoani ni rahisi (kufanikiwa ni rahisi)... Je, ugumu wa Dar uko wapi na urahisi wa mikoani uko wapi? (Huu ni mtazamo wa wengi humu kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya humu ndani kwa muda kidogo)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…