Ukosefu wa maji Dar es Salaam, Tatizo nini?

Ukosefu wa maji Dar es Salaam, Tatizo nini?

TASK FORCE

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
2,447
Reaction score
3,460
Aisee hawa DAWASCO wanatesa watu, siku ya pili leo maeneo Jimbo la Kawe hakuna maji kabisa, Tatizo nini haswa?
 
Na walisema masaa 24, huku kwetu tunaenda masaa 48 sasa
Huenda mpaka kesho au keshokutwa maana nmeona kwa millard ndo matengenezo yamefika 30% sasa kama jana mpaka leo ni 30% hiyo 70% haiwez malizika leo
 
  • Thanks
Reactions: ram
Hata Sinza hamna na uvuvi wangu leo wameniweza kweli naamka hakuna maji aisee imenibidi ninawe kutumia maziwa
Duh, mi kwangu Tank imekufa lile boya la ndani, kumbe maji yaliisha kitambo
 
Wauza maji makubwa ya dukani wanashangilia
 
Nunueni maji ya uhai, kilimanjaro, dasani, afya, hill water, dew drop mnywe na muoge, msimsumbue mama, kwani shida ni nini?🤸🤣🐒
 
Mbona walitangaza mkuu kuwa bomba kubwa la 45cm lilipasuka na hivyo kutakuwa kuna uhaba wa maji kuanzia bagamoyo mpaka kigamboni kwa siku 2 wakati wakirekebisha. Na nmeona kwa millard kuwa kazi imefika 30%.
Eeh, ina maana hiyo ni kesho Sasa sio leo
 
Huenda mpaka kesho au keshokutwa maana nmeona kwa millard ndo matengenezo yamefika 30% sasa kama jana mpaka leo ni 30% hiyo 70% haiwez malizika leo
Duh, mbona shughuli sasa!
 
Back
Top Bottom