dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Natafuta kazi yoyote. Nina elimu ya kidato cha sita

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti...
  2. F

    92.5 FM Dar es Salaam Stress Free Radio

    Kama umechoshwa na takaka za betting, umbea na siasa, this station is suitable for you. ni full musics, 24/7. iko poa sana. Uzi tayari.
  3. Wakazi wa DAR wenye uhitaji wa Internet katika kazi zenu kuanzia Ofisini mpaka Nyumbani, suluhisho hili hapa

    Najua watu wengi sana hutumia internet katika mishe za hapa na pale,binafsi ni wale watu wanaoishi mjini kwa kutegemea internet kwa sana, pamoja na mengine ninayofanya ila nina mengi makubwa nayafanya kupitia internet. Nimeshatumia internet mbali mbali za makampuni makubwa na madogo, na baadhi...
  4. Nafasi za kazi wahadhiri chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo. Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
  5. Ukipanga maeneo haya Dar sahau kufanikiwa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Ukipanga haya maeneo dar ni uswazi kupindukia ukila vizuri au ukiwa ni mtu wa kuvaa vizuri sana lazima watu wakuwekee vikao. Tandika Buguruni Mbagala Gongo la mboto Buza kwa mpalange Mwananyamala Niliwahi kuishi Tandika nyumba tofauti tofauti, kipindi...
  6. Nimetafuta wine iitwayo " Pinot Noir" Dar nzima nimekosa.

    Nani ana access na mahali ninapo weza kuipata? I am thinking of flying to Dizonga in case kama nitaendelea kuikosa. With much thanks in advance
  7. Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

    Wananchi wa Sri Lanka wavamia Ikulu ya nchi yao, tazama picha chini, ikumbukwe Jeshi la nchi haliruhusiwi kushambulia Wananchi Kikatiba, kweli kuna nchi zimepinda, lkn haya yote ni matokeo ya dharau na majibu ya hovyo kwa watu ambao tayari wanataabika, …
  8. Kituo gani kizuri kwa Dar es salaa kinafundisha A-level(form 5&6) kwa mwaka mmoja.

    Wadau wa Elimu kwa Dar es salaam kituo kipi kinafundisha vizuri masomo ya A-level (form 5&6) kwa mwaka mmoja.
  9. Jinsi trafiki Dar wanavyopata pesa bila kutumia nguvu

    Habari, Nimetumia nafsi ya kwanza si kwamba Mimi ni trafiki , hapana bali nawasilisha mazungumzo tu niliyofanya na rafiki yangu mmoja ambaye sasa kahamia Trafiki kutoka kwenye kitengo kingine cha kipolisi hapahapa jijini Dar es salaam. Huyu kijana ambaye anapenda sana maisha ya starehe...
  10. Wapi nitapata Mabwawa kwa ajili ya fishing na camping kwa Dar es Salaam?

    Wakuu bila shaka ni wazima kabisa. Nilikuwa napenda kuuliza wapi naweza kupata sehemu ina bwawa or mto ambao naweza fanya fishing adventure na camping kwa Dar es salaam? Natanguliza shukrani.
  11. Msaada: Chuo kizuri dar cha bussiness marketing and computer networking!

    wapenzi wa kuondoa ujinga na kuongeza maarifa mnisaidie napata wap chuo chenye cheti cha kuthaminika kwa kozi nimetaja! mhusika wangu amehitim f4 mwaka 2021. nisaidien wide range of choices. uzazi kazi!
  12. LATRA bado mmelala; hamjatoa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Wasafirishaji wanaamua nauli zao

    Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya.. Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao. Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa...
  13. Daniel Chongolo fuatilia tuhuma hizi za CCM kata ya Wazo mkoani Dar es Salaam

    Zipo tuhuma za ufisadi mkubwa wa kuuza VITALU 48 vya kujenga vibanda vya biashara kwenye eneo la CCM Kata ya Wazo lililopo jirani magereji Tegeta Wilayani Kinondoni. Wanaotuhumiwa kushirikiana kufanya ufisadi huo ni pamoja na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Bwana James Mgego na viongozi wa...
  14. Rais Samia ashiriki hafla ya kuipongeza Timu ya Serengeti Girls, apendekeza uwanja wa michezo kujengwa Tanganyika Packers

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN - Serengeti Girls ni Mashujaa Wetu Leo ni siku nyingine ya furaha sana, si kwangu binafsi bali kwa taifa zima, tunapokutana hapa Ikulu na mabinti zetu mashujaa - Serengeti Girls. Hii ni rekodi mpya ambayo haijapata kutokea kwa miaka 62 ya Uhuru wetu. Serengeti Girls...
  15. Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)

    Ukusanyaji wa mapato katika Bandari ya Dar es Salaam umekuwa ni changamoto tangu taifa letu lipate uhuru, tatizo hili limesababisha kufanyika mabadiliko ya wakurugenzi wa bandari (TPA) kila inapobidi kufanya hivyo tukidhani kwamba ndio dawa ya kutibu tatizo hilo. Lakini kwa wakati mwingine...
  16. Dar: TMDA yakamata dawa ambazo hazijasajiliwa, zimo za Kutoa Mimba & za kuongeza Nguvu za Kiume

    MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki imekamata vifaa tiba na dawa ambazo hazijasajiliwa zenye thamani ya Sh. milioni 294.4. Bidhaa hizo zimekamatwa kufuatia ukaguzi maalum, uliofanyika eneo la Mtaa wa Kitumbini katika Kata ya Mchafukoge katikati ya Jiji la Dar es Salaam...
  17. 60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

    Na huo ndio ukweli. 60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto) Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea Hayo hayo...
  18. Bernard Morrison arudi Dar, aomba jezi 100 za Simba ili aende nazo Ghana

    Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana. "Hii ni kutokana na nyinyi...
  19. Biashara kati ya Zanzibar na Dar

    Habari za asubuhi wapendwa Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar Niko interested sana na biashara za Electronics. Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela...
  20. Tsh. Milioni 700 kwa atakayempata Mchina aliyemuua mwenzake Dar

    Familia ya Fu Nannan ambaye ni raia wa China aliyeuawa Juni 11, 2022, kwa kupigwa risasi nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na Mchina mwenzie aitwaye Zheng Lingyao, imeahidi dau la Shilingi Milioni 700 kwa atakayefanikisha kupatikana kwa mtuhiwa huyo. Fu Nannan, aliuawa kwa risasi wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…