dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam limekauka, hakuna maji

    Yaani Maji ni hakuna
  2. Gracegaby

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi yao ya kushangilia ninayoyaona na walivyofanyiwa fujo Dar kuna watu watafungwa nyingi waendako

    ~ Kwanza muanze kujua kuwa uwanja wao utajaa ile mbaya. ~ Pili mjue kuwa Waarabu fujo na umafia ni moja ya tunu zao. ~ Tatu aina tu ya ushangiliaji wao tayari ni ushindi tosha. Yaani wamewapania hadi kuandika kuwa "Revenge has no Mercy". Mtawakoma!
  4. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) Waungana na CFA East Africa kutoa Mafunzo ya CFA

    Wakuu, Kama kawaida kila siku lazima nipitie kwenye mambo yangu ya uwekezaji , ndipo nilipokutana na hili https://thebusinesswatch.com/cfa-east-africa-signs-an-mou-with-dar-stock-exchange/ https://sokodirectory.com/2022/11/dar-es-salaam-stock-exchange-signs-mou-with-cfa-east-africa-society/...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Aweso aingiza mitambo Dar, aelekeza visima vya dharura kuchimbwa

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Leo tarehe amefika ofisi za RUWASA sehemu ya uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa (DDCA) na kutoa maelekezo mahususi kwa Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Bonde la Wami/Ruvu kuainisha maeneo yenye uwezekano wa kupata maji chini ya ardhi na visima vya dharura...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna magari ya moja kwa moja kutoka Dar - Kisumu, Kenya

    Habari ndugu zangu nauliza gari gani nzuri kutoka dar kwenda kisumu na bei yake au kama mtu anaexperience na safari ya namna hii naomba anielekekeze.
  7. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Bonde la Msimbazi na Jangwani Kilimo na Vibanda Vyarejea Kwa Kasi - Uchafuzi Mazingira Hatarini Tena!

    Wakuu wa Jukwaa Kama mada ilivyo hapo juu, miaka kadhaa iliyopita kwenye awamu ya tano wavamizi wote wa bonde la Msimbazi na Jangwani waliondolewa, nyumba kuvunjwa ikielezwa walikiuka sheria hivyo kusababisha uchafuzi wa mazingira uliokithiri. Baada ya muda zoezi hilo kufanyika uoto wa asili...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAR inatumia 50% ya Mkaa wote unaozalishwa nchini

    Mtalaam Mwandamizi wa Fedha kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa - Mitaji ya Maendeleo, Emmanuel Muro amesema kiasi hicho ndio chanzo kikuu cha uharibifu wa misitu kwenye mikoa ya Pwani, Morogoro, Iringa, Tanga na Lindi. Akizungumza kupitia mdahalo ulioongozwa na Waziri wa Nishati Januari Makamba...
  9. aka2030

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo ziletewe mkoa wa Dar es Salaam

    Nashauri hivyo ili kuliongezea jiji la Dar eneo kijiografia pia wilaya hizo ni kama zimejitenga kimkoa wa Pwani na wilaya zingine Nashauri mkoa wa Pwani ubaki na wilaya za Mkuranga, Kisarawe, Kibiti, Rufiji, na Mafia
  10. Area 56

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapiga dongo wakazi wa Dar

    Je kuna ukweli kwenye dongo hili alilorusha Rais Samia kwa wakazi wa Dar?
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara kutoka Tabata afikishwa Mahakamani kwa kusafirisha binadamu

    Mfanyabiashara na mkazi wa Tabata Mawenzi, Mohamed Masoli (34) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, akikabiliwa na shtaka moja la usafirishaji haramu wa binadamu. Masoli amefikishwa mahakamani leo, Oktoba 31, 2022 na kusomewa shitaka lake na wakili wa Serikali, Caroline Materu...
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji nchini na hasa jiji la Dar hakuna njia mbadala kumaliza tatizo hili? Mimi napendekeza hili

    Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama? Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea

    Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu iliyopata zabuni ya kuendesha mradi wa Mabasi hayo itaanza utaratibu huo Novemba 2022. Pia, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji wa DART, Fanuel Karugendo amesema wameipa miezi 6 kampuni hiyo kuingiza mabasi mapya na kwa kuanza...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania SHIDA YA MAJI: Maboza, matenki na visima vyawa dili Dar

    Nianze kwa kuipongeza DAWASA kwa kujitahidi sana kuhakikisha Dar ina maji, tukilinganisha na Dar ya zamani, kwenye suala la maji kwa sasa Dar walau ni nusu pepo. Kwa uwezo wao DAWASA wamejitahidi, wameathiriwa na kiangazi kikali sana mwaka huu, lakini pia ni vyema DAWASA wakajipanga zaidi jinsi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini tokea Mgawo wa Maji uanze Dar es Salaam Hotuba nyingi za Hayati Rais Dkt. Magufuli zinasikilizwa sana?

    Au labda kuna dalili za yeye kufufuka ili GENTAMYCINE nianze Kufurahi na Kurukaruka nikiamini kuwa anakuja Kuinyoosha tena nchi, Kushikisha adabu mafisadi na Kutupigania Sisi Watanzania Masikini ( Wanyonge ) wakiongozwa nae GENTAMYCINE na wengineo baadhi.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Maji na umeme Dar es Salaam

    Mlioo karubi na Mhesimiwa Rais Samia mwambieni haya: Dar maji imeshafikika lita 20 shilingi mia tano, watumiaji umeme kujipatia mkate wao hawana kazi Sasa mwambieni sifa za Aweso za "NANI. KAMA MAMA, na Makamba za MAJIKO YA GESI KILA KIJIJI kwetu sisi tunotoa zaidi ya 70% ya pato la seriikali...
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mahali ambapo matunda yanapatikana kwa wingi Dar es Salaam

    Naomba kufahamishwa masoko maarufu hapa Dar es salaam ambayo yana utajiri mkubwa wa matunda yanayouzwa kwa bei ya jumla na rafiki. Hii ni kwa lengo la kufungua biashara hii hapo baadaye. Itapendeza kama utaweka bei za matunda hayo hapa. Ziada: Mahali nitakapopata brenda ya kutotumia umeme kwa...
  18. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinaendelea Baa za Dar?

    Kama nilivyoanza hapo juu kuuliza kuna kitu gani kinaendelea ndani ya bar za Dar es Salaam. Mmimi sio mtu wa maji ila napenda kujichanganya na wana siku moja moja kutazama EPL na wana huku tukipata maji na kutoa lock si unajua bhana maji ya baba ni mazuri kwa afya ya kiumbe hai yoyote yule...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Aweso akagua ukarabati wa bomba la Maji Dar

    Hivi Aweso ataacha lini hizo drama?! Jana, Makala kasema issue ni upungufu wa maji ajabu leo Waziri husika anadai uharibifu wa bomba. Nchi hii!! ---- WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA CHANGAMOTO YA HUDUMA DAR Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Maji ya Bahari yafanyiwe Desalination tuyanywe

    Sala Wakuu, Ni aibu kwa Dar, Tanga na Zanzibar kuwa na Mgao wa Maji Wakati kuna Bahari. Nashauri Serikali itengeneze Maji ya Bahari ili kuondoa tatizo la maji Dar. Maji ya Ruvu hayatoshi. Pwani peke yake kwa Takwimu za Serikali ina Viwanda 1036 na vyote vinatumia hayo Maji. Achinjilia mbali...
Back
Top Bottom