dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Salamu kwenu. Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona. Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1. Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Dar es Salaam siku hizi wanapenda kuishi Kikolabo?

    Kila Mwanamke utakayekutana naye tu ukimuuliza kapanga wapi atakumbia sehemu fulani lakini ni lazima atasema anaishi na Mwenzake. Kumetokea nini kwani mbona huko nyuma Wanawake wengi wa Dar walikuwa wanaishi peke yao tu? Na kwanini pia Wadada (Wanawake) wengi wa Mkoani Dar es Salaam Siku hizi...
  3. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

    Hapa Dar es Salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika. Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya...
  4. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam hakuna sukari madukani

    Nimetafuta sukari maduka mengi ya nyumbani Tandika Mwembeyanga na Temeke mwisho sikufanikiwa kuipata, baadaye akaja kijana mmoja ninayefahamiana naye akaninong'oneza kwamba siwezi kupata sukari wiki hii, labda nisubiri upepo upite. Baada ya uchunguzi wangu wa wazi nimebaini kwamba maduka...
  5. JamiiForums Tanzania RC Makonda atangaza vita na wanaopandisha bei ya sukari, msako mkali kuanza kesho

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na Wafanyabiashara wanaouza Sukari kwa bei ghali tofauti na bei elekezi ya Serikali ambapo amesema ifikapo Kesho kikosi kazi kitafanya ukaguzi na watakaobainika kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu Watakamatwa na Sukari kutaifishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Swali kwa mliokulia vijijini: Mlivyokuwa mnasikia Dar mlidhani ikoje?

    Nikiwa moshi tunazungumza na baba mkubwa habari za Manzese darajani, kuna dogo akadandia “pale Manzese kuna mamba wengi sana”. Kichwani nikafikiri anamaanisha labda Ruvu au Wami. Kwa watu ambao tumekulia Dar huwa tunaiona ya kawaida sana ila kwa watu waliozaliwa nje kabla hawajaja Dar wanapaona...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda alitoa agizo la jiji la Dar es Salaam kupuliziwa dawa ya kuzuia corona kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli?

    Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli. Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Wachimba Makaburi wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa hawanywi tena Gongo na wanakunywa sana Bia?

    Wengi wao japo siyo wote hunywa sana Gongo na Pombe za Kienyeji ila sasa ni Wiki ya Tatu hii baadhi yao ninaowajua na ninaokuwa nao Maskani mbalimbali hawanywi tena Gongo na Pombe Chafu bali sasa wanakunywa Bia na pia wana Hela mno kiasi kwamba wapo wanaoniambia hata nikitaka Wanikopeshe Milioni...
  10. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya Kiroba

    wakuu, salam kama heading inavyojieleza wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya kiroba naziitaji na pia na gharama zake?
  11. JamiiForums Tanzania Ving'ora vya ambulance vimeongezeka maradufu Dar es Salaam, kuna nini?

    Inaonekana huduma za afya kwenye Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili na hospitali za rufaa zimeboreshwa sana kiasi kwamba kila baada ya dakika kumi inapita ambulance, au kuna kingine?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je, Dar es Salaam watu wamekubaliana kukaa nyumbani?

    Leo nimekaa kituo cha Makumbsho magari ya posta mda WA asubuhi huwa kuna kuwaga na abiria wengi sana saa 7:00 mpka saa 8:00 asubuhi sijaona watu wakiwa wengi kama kawaida, nimepita barabara ya new Bagamoyo road mpaka Morocco magari sio mengi na hamna foleni Ile ya asubuhi hata trafiki hakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kuiweka Dar es Salaam kwenye “lockdown” ni sasa

    Tunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19. KWANINI NIMEWAZA HIVYO...
  14. JamiiForums Tanzania Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

    Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga. Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga. Bado sina picha kwa sasa. Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
  15. JamiiForums Tanzania Taharuki ya CORONA + Mvua ya AJABU Dar es Salaam + Uchumi mbaya MIFUKONI = Sadaka Kiduchu Makanisani na Wachungaji wengi Kununa

    Sijawahi kuona Pasaka ambayo Wachungaji na Makasisi wengi ' Wamenuna ' na wana ' Hasira ' hata Nyusoni mwao kama hii ya leo. Kuna Kanisa Moja Wilayani Kinondoni Siku zote Saa 2 Asubuhi huwa ' limeshafurika ' Waumini na Sadaka yake kwa Siku hufikia Shilingi Milioni hata Tatu hadi Nne ila cha...
  16. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Jeshi la polisi lamshikilia mkazi mmoja baada ya kumkuta anamiliki silaha kinyume cha sheria

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Mohamed s/o Kassim miaka 47, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumiliki silaha aina fatih 13turukye Pisto yenye No, TZ C.A.R 1053515 ikiwa na magazine yake isiyokua na risasi kinyume cha sheria. Mnamo tarehe 07/04/2020 saa 12:30 jioni...
  17. JamiiForums Tanzania Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

    Makonda kasema mtoto wa Mbowe anaumwa Corona. Katika hili katoa siri ya Serikali ambao wahusika wa kutangaza ni Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya. Mbowe kakiri na kusema mwanaye kaipata Dar na sio nje ya nchi. Wakati huo huo serikali na Rais wamehama Dar na wako Dodoma. Mara namsikia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka sana RC John Mhaville wa Dar es Salaam wakati tukiwa vijana, alikuwa hana mizaha awapo kazini au nyumbani

    Nadhani wakati wa RC Mhaville jijini Dsm mwanajf Pascal Mayalla ulikuwa tayari umeajiriwa RTD na kamanda Mrangi mzee wa Ova ulikuwa unauza Raba za mitumba tukiziita Raba mtoni enzi zile. Kwa kweli sipati picha kama mzee Mhaville angekuwa ndiye RC wa Dsm nyakati hizi za Corona. Mzee Mhaville...
  19. C

    JamiiForums Tanzania UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha. Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan). Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha...
  20. JamiiForums Tanzania Vikawe ni sehemu gani ya Dar es Salaam

    Ninaomba msaada katika hili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…