Je, wapi nitapata ‘Sublimation printer set?’ kwa Dar es salaam?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Ni aina ya printer ambayo inakuwezesha kuprint kwenye plate ya chuma (silver) kwa mtindo wa kupasha moto karatasi lenye picha juu ya hicho kibati hadi picha yote inahamia kwenye kibati, na bei yake complete ikoje?, naambatanisha video kwa ufafanuzi zaidi

 
Back
Top Bottom