dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya utabibu kwa part time ndani ya jiji la Dar es salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa Wana JF, Mimi ni kijana mwenye taaluma ya utabibu na Nina uwezo wa kufanya kazi hyo kwa miaka 2 Sasa. Nina uhitaji wa Ajira hyo ndani ya jiji la Dar es salaam Mana ndipo makaz yang kwa Sasa. Kama waweza kunisaidia hata connection pia nitashukuru Sana. Hivo nahtaji...
  2. JamiiForums Tanzania Dar es salaam night skies

    Picha za majengo na maeneo mbalimbali ya jiji la DAR ES SALAAM zikionesha mandhari ya usiku. DAR ES SALAAM ni ndogo, usiku hutanuka. Peleka utamu nyumbani
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu akipongeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kuanza kutoa Scholarship kwa vipanga wanaofanya vizuri Mitihani ya Sayansi Kidato cha Sita

    Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam You may be among those who have applied for university scholarships for international students - but were never lucky. Although there are...
  4. JamiiForums Tanzania Kutoka St. Peter's Church Jijini Dar es Salaam

    Kanisa leo linaazimisha Dominika ya 4 tangu kuanza Kwaresma ambapo kimsingi siku hii huaminika ni kama siku ya furaha huku tufukia mwishoni mwisho mwa safari ya siku 40 za maombolezo ya kifo cha Bwana wetu Yesu Kristu. Waumini ni wengi sana na ibada inaendelea.
  5. JamiiForums Tanzania Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

    Naomba kwa wanao fahamu chimbo la mtumba Grade A kwa Dar es Salaam, za uhakika sio wale wanaochakachua pia bei iwe nzuri sana. belly ziwe za suruali Cadet, Shati, Rubber na sandals. Karibuni
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

    Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo. Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo. Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro

    Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Kila manispaa mkoani DSM itarithi mali za Jiji la Dar es Salaam lililovunjwa zilizo katika maeneo yao

    Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala. Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imevunjwa?

    KWANINI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMEVUNJWA Ni Mawazo Yangu #Joseph #Yona Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:- Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam

    Rais Magufuli anazungumza na watanzania kupitia mkutano wake na wananchi wa Dar es salaam. Tukio liko mubashara katika runinga zote Updates; Waziri Bashungwa: Nimesimama hapa mheshimiwa Rais kukushukuru sana kabla ya mkutano huu wa hadhara umetupa heshima ya kuzindua Magic FM Radio pamoja na...
  11. JamiiForums Tanzania Rais, subiri kidogo kutia saini kulivunja jiji la Dar es Salaam

    Mji wa Dar es Salaam ulikuwa ni sehemu tu ya mkoa wa Pwani, kutokana na idadi yake kubwa ya watu wanasiasa waliamua ujitenge ili uwe mkoa unaojitegemea. Ilala, Kinondoni, Temeke na Ubungo ilikuwa ni mitaa tu ya mji wa Dar es salaam ambayo baadae wanasiasa waliigeuza kuwa wilaya/halmashauri ili...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya mkataba nipo Dar es Salaam

    Habari za leo? Nnahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani. Ikiwa pikipiki itakuwa mpya basi mkataba utakuwa wa mwaka mzima, na ikiwa Pikipiki itakuwa si mpya tutajadili muda wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, Dar es Salaam inapokuwa Mkoa, hatutapoteza faida za majiji Duniani?

    Kwanza ningependa kujua vigezo vinavyotumika Duniani kuupandisha hadhi mji au Halmashauri kuwa Jiji. Issue ya eneo fulani kuwa jiji ni jambo la ndani ya nchi au kuna standard za kimataifa? Kwa kuwa Dar itakuwa Mkoa, je sifa, hadhi yanazopewa majiji Duniani na ambazo baadhi ya sifa huambatana na...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

    Rais Magufuli ameivunja Halmashauri hiyo na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Februari 24, 2021 Ameipandisha hadhi Halmashauri hiyo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 5(1) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

    Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto. Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Dkt. Kijazi wawasili Dar es Salaam, kuagwa rasmi kesho Karimjee. Kuzikwa Korogwe Jumamosi

    Viongozi mbalimbali wako uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakiongozwa na waziri mkuu mh. Majaliwa. Ndege iliyobeba mwili imeshawasili. Tukio liko mubashara Channel ten na TBC ====== Mwili wa marehemu Dkt. Kijazi utapelekwa hospitali ya Lugalo kuhifadhiwa. Mwili umewasili...
  17. JamiiForums Tanzania Barua Kwa Mheshiwa Rais: Tunaomba Utupe Ardhi ya Tanganyika Packers Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tawi la Mbeya

    Mheshimiwa Rais! Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU. Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaam

    Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba, Makongo juu, Madale. Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000. Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Naomba namba za mbunifu wa machine ya umeme wa sumaku wa Kawe Dar es Salaam

    Kama kuna mtu humu aliye na mawasiliano ya mbunifu wa machine ya kuzalisha umeme inayotumia mfumo wa sumaku, Tafadhali anisaidie.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu gharama za Building/Construction material warehouse in Dar es Salaam

    Habari za muda huu wadau Ninaomba kufahamu zaidi kuhusu gharama za kukodisha ghala la kuhifadhi materials ya ujenzi ( Construction materials warehouse house) lenye square meter 400 lili chin ya mamlaka ya serikali. Kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…