dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Sababu kubwa zinazo pelekea sisi wa mikoani kufanikiwa Dar es Salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa JF kwa utafiti wangu niliofanya kwa nini sisi wa mikoani tunafanikiwa sana hapa Dar ni kama zifuatazo.. Wenyeji wavivu hawapendi kazi ngumu sisi wa mikoani kazi ngumu kwetu ni kama kumsukuma mlevi. Malezi imara sisi wa mikoani tuna malezi imara na kuheshimu jamii...
  2. GE2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

    Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
  3. Wito wa Polisi: Tundu Lissu atakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahijiano

    Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam ====== Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila...
  4. Sioni dalili njema kwa wapinzani hapa Dar es Salaam

    Dar es Salaam ndipo tulitarajia iwe ngome kuu ya upinzani Nchi hii KUSTAWI ajabu inaelekea kuwa sivyo. Mwenendo mzima wa aina ya upepo wa kampeni za uchaguzi mkuu huu kwa hakika haupo kabisa mwamko na hamasa za ki harakati zilizo chanya kwa upinzani.Kumepoa! Dalili ni njema hasa kwa wagombea...
  5. Dar es Salaam: Gharama za kujifungua ni Tshs 75,000. Uchaguzi huu unakupa nafasi ya kukataa uharamia huu

    Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika...
  6. Mwili wa Binadamu hauna Spares

    MWILI WA MTU HAUNA SPARES (VIPURI). Na, Robert Heriel Kwa masikitiko makubwa natoa pole kwa wazazi na ndugu wa Emanuel Mlelwa ambaye Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa aliyeuawa na watu wasiojulika huko Iringa. Pia niwape Pole wana-UVCCM Na CCM kwa ujumla kwa kuondokewa na kijana wenu...
  7. M

    GE2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
  8. Hawa wasafiri mjini Dar es Salaam wanatokea wapi?

    Wakati wa kipindi cha tishio la corona, kulitokea upunguaji mkubwa wa idadi ya wasafiri jijini Dar es Salaam. Niliwahi kuleta uzi nikauliza ile hali inamaanisha nini? Je, watu walilikimbia jiji au kwamba wasafiri wengi ni watu wasio na shughuli maalumu za kila siku kiasi kwaamba wanaweza...
  9. Hili suala la kuonekana mamba Bahari ya Hindi lipo vipi?

    Wakazi na Wavuvi wa maeneo ya Vijibweni wamepatwa na taharuki baada ya fukwe za bahari katika maeneo hayo kuonekana ‘Mamba’ mkubwa anaetishia usalama wa maisha ya wakazi na wavuvi wa eneo hilo. Baadhi ya wavuvi na wakazi wa eneo hilo wamezungumzia hofu na taharuki waliyonayo dhidi ya Mamba...
  10. R

    Naomba namba ya simu ya Mkuu wa Shule Bahari Beach High School - Ununio Dar es Salaam

    Wakuu naomba msaada wenu kupata mawasiliano ya simu na mkuu wa shule tajwa hapo juu. Mimi niko mbali na Dar es salaam. Nime- Google namba walizotoa aidha zilikuwa za walimu walishahama. Natanguliza shukran
  11. Daladala ziruhusiwe kupita Barabara za Mwendokasi Dar es Salaam

    Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi. Barabara...
  12. Je, wapi nitapata ‘Sublimation printer set?’ kwa Dar es salaam?

    Ni aina ya printer ambayo inakuwezesha kuprint kwenye plate ya chuma (silver) kwa mtindo wa kupasha moto karatasi lenye picha juu ya hicho kibati hadi picha yote inahamia kwenye kibati, na bei yake complete ikoje?, naambatanisha video kwa ufafanuzi zaidi
  13. Total Tanzania promises it is in Tanzania to stay as it launches Total Mchinigani Service Station in Goba Dar Es Salaam

    Wanabodi, Haya ni mambo ya Total, TOTAL TANZANIA PROMISES IT IS IN TANZANIA TO STAY AS IT LAUNCHES TOTAL MCHINIGANI SERVICE STATION IN GOBA DAR ES SALAAM. Goba, Dar es Salaam, September 6, 2020: Total Tanzania Managing Director Mr. Jean Francois Schoepp, has promises that Total Tanzania...
  14. Kilimanjaro na Dar Es Salaam hapatoshi

    Major Airlines Increase Flight Trips to Dar Credit: Edward Q Orro in Arusha TANZANIA'S resilience to the novel Coronavirus disease is now paying off after three major airlines increased their flight frequencies to the country. Ethiopian Airlines becomes the first among the three, to increase...
  15. Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
  16. C

    GE2020 Linapokuja suala la kuiondoa CCM madarakani, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni kikwazo

    Leo nimeona niliamkie jiji Dar es Salaam. Linapokuja suala la kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi majiji makuu ya nchi huwa ni kitovu kwa sababu huwa yana wakazi wengi walioelimika na kupata exposure ya kutosha tofauti na miji mingine katika nchi husika. Hali ni tofauti nchini Tanzania...
  17. GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  18. Journalist at BBC Swahili Service - Dar es Salaam

    Journalist, BBC Swahili Service - Dar es Salaam Job Reference: BBC/TP/788771/50346 Contract Type: Permanent Job Category: Journalism Business Unit: News - WSG World Service Location: Dar es-Salaam, Tanzania, United Republic of Job Title: Journalist Job Introduction The BBC is an...
  19. Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

    Nilikuja Dar kwenye biashara fulani, mida ya jioni nikatafuta bodaboda nikamueleza sehemu ambayo ninaweza kwenda kupumzika na kupunguza msongo, akaniambia kuna sehemu Sinza panaitwa Kona Bar pamesheheni kila aina ya burudani hata kama biashara hazi kwenda vyema naweza kujifariji. Tukaelekea...
  20. Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu

    Baada ya Makonda "mtoto wa Baba" kutumia mtaji wa kisiaasa kuruhusu Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu. Bodaboda hao, hupita njia ya mwendokasi lakini service road ambayo indact ni ya waenda kwa miguu. Bodaboda , wamekuwa wakikwapua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…