dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Mipango Miji na idara mbalimbali kwanini zisitungwe sheria na kanuni kila nyumba iliyopo barabarani kuwa na fremu zenye bei elekezi

    Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao. Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri. Kwa Dar es Salaam naona...
  2. JamiiForums Tanzania RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaki pumba Dar es Salaam kwa bei poa

    Wapedwa katika bwana. Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Mtaa wa Congo umekuwa maarufu sana toka mwaka 1920?

    Mtaa wa Congo upo Kariakoo Jijini Dar es Salaam Mtaa huu umekuwa Maarufu sana kwa Wingi wa Watu toka Mwaka 1920 mpaka leo. Je, UMAARUFU wa Mtaa huo ni NINI? Kwanini Muda wote una Watu Wengi Tofauti na Mitaa Mingine? Je, kuna Biashara gani kwenye Mtaa huo inayokusanya Watu wengi kiasi hicho?
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nakuomba angalia upya Mradi wa BRT Dar

    Niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya leo ninayotaka kuizungumzia. Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu, nakuomba chonde chonde kuuangalia upya mradi wa BRT unao endelea kujengwa jijini Dar es salaam. Kwa uzoefu mkubwa nilio nao na analysis yangu ndogo niliyo ifanya naona kuwa huu mradi...
  6. JamiiForums Tanzania Tamasha la Franco Luambo Luanzo Makiadi Grand Master( Grande Maitre) Dar es Salaam- Early 1970's

    Moja ya matukio makubwa na ya pekee yalopata kutokea uwanja wa uhuru ambao enzi hizo uliitwa uwanja wa taifa Ni s tamasha la hayati Franco, mwamba wa muziki wa rhumba, katika tamasha hilo watu walikanyagana katika harakati za kuingia uwanjani na Kuna mtu alipoteza Maisha papo hapo. Kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauli za daladala na uelewa wa wananchi katika jiji la Dar es Salaam

    Shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa wote tulio na afya njema na poleni kwa wote wenye changamoto za kiafya kwa umoja wetu tunawaombea ili muwe na afya njema mrejee katika majukumu yenu ya kimaisha. Wakuu kuna hili suala la wafanyakazi wa daladala za jiji la Dar es Salaam kuchukua nauli kwa abiria...
  8. JamiiForums Tanzania Karanja: Jina la Meli Maarufu kwa Mabaharia wa Dar es Salaam miaka ya 1970

    Leo asubuhi nimepata picha ya meli iliyokuwa ikijulikana kama ''Karanja,'' Meli hii ina historia ya pekee kwa vijana wengi wa Dar es Salaam ambao walikuwa wanawania kwenda Ugiriki kutafuta kazi za Ubaharia. Hii meli Ally Sykes aliipanda mwaka wa 1952 akiwa na miaka 26 yeye mkewe kwenda...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja Dar?

    Hello habari, Naomba kujulishwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja DAR. Na utaratibu mwingine kama upo. Asante. Heri ya mwezi mpya. Ukawe mwezi wa mafanikio.
  10. JamiiForums Tanzania Temeke, Dar: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti mtoto wa kiume mwenye miaka tisa

    Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma apata ajali Morogoro

    Ni Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma ambaye ni mkazi wa Upanga Dar es Salaam. Inasemekana yuko katika hali nzuri ===== MBUNGE wa Muheza, Hamis Mwijuma maarufu kwa jina la Mwana FA (CCM) amepata ajali usiku huu Agosti 30 katika eneo la Mkambarani mkoani Morogoro baada ya gari alilokuwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Basi kutoka Dar es Salaam to Lubumbashi, DRC

    Wakuu naomba kujua ni mabasi gani yanayo kwenda Lubumbashi, nauli zake na siku gani yanaondoka. Shukran sana
  13. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu uvccm taifa azindua dar es salaam jogging club kwa kishindo

    KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam Iliyoandaliwa na UVCCM Mkoa Wa Dar Es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa wakati akizindua...
  14. JamiiForums Tanzania Shule za Dar es salaam ni pasua kichwa

    Kwa wale wanaofundisha shule za Dar es salaam huu ni ujumbe kwenu. Fanya kazi sana lakini ujue hakuna bosi anayejali maslahi yako, utafanya kazi kama punda, sifa zote kwa mwenye shule. Kuna shule hasa hizi kubwa kubwa wafanyakazi hawafanani na ukubwa wa shule, mfano unakuta waalimu wamechoka...
  15. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam vijana jogging - tarehe 29/08/2021

    DAR ES SALAAM VIJANA JOGGING Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Comrade Mussa Kilakala unawakaribisha Vijana wote Mkoa wa Dar es salaam katika Uzinduzi wa DSM VIJANA JOGGING utakaofanyika siku ya Tarehe 29/08/2021. MGENI RASMI Comrade KENANI KIHONGOSI...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

    Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
  17. JamiiForums Tanzania Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

    Habari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta. Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo. Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Nimeshangaa sana kuona Mkuu wa Mkoa akicheza sebene

    Nmeshangaa sana kumuona Mkuu wa Makoa wa Dar Mh Amos Makalla akicheza sebene leo baada ya mahojiano
  19. JamiiForums Tanzania RC Makala: Tukiweza kuwadhibiti biashara holela, ajenda ya usafi itawezekana Dar es Salaam

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anaongelea mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Dar. Miongoni ni suala la wamachinga na kupoa kwa Serikali baada ya kutoa tangazo la kuwaondoa. RC Makala amesema kwasasa wameweka kipaumbele kwenye kutoa elimu na anaamini hawatafika kwenye kutumia nguvu. RC Makala: Ili...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar es Salaam: Rais Samia akutana na Raila Odinga

    Ikulu ya Magogoni leo Mchana Rais Samia Suluhu Hassani leo Jumatano Agosti 25 amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…