Wenyeji wa Dar es Salaam, mnafahamu vipi Samora fundi viatu pale IFM?

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,479
2,000
Kuna jamaa nimekuta wanahoji mahala Juu juu ya huyu Jamaa anaitwa Samora amabye ni fundi viatu wa mda mrefu pale IFM na sasa amehamia Dodoma, wanasema jamaa ndie aliyekua anatoa connection za kazi kwa wanafunzi wengi sana kwa Maboss wa BoT na Watu mabalimbali.

Je, Samora ni nani?
Nilisomea IFM enzi hizo ila hiyo issue sikupata kuifahamu, kumbe ndo maana nilisota sana mtaani kabla ya kupata kibarua😁😁
 

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,890
2,000
Same stupid street shit sayings...! (SSSSS)

Maisha sio rahisi hivyo ndugu yangu, baada ya kutoa hizo connections asingeendelea kushona viatu, aliowasaidia kupata kazi BOT wangemtoa hapo hata kama yeye ni Illiterate

Mtaani kuna fictions nyingi,
 

Igombe fisherman

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
1,357
2,000
Same stupid street shit sayings...! (SSSSS)

Maisha sio rahisi hivyo ndugu yangu, baada ya kutoa hizo connections asingeendelea kushona viatu, aliowasaidia kupata kazi BOT wangemtoa hapo hata kama yeye ni Illiterate

Mtaani kuna fictions nyingi,
Hii nikama mganga wa kienyeji kukufanya uendeshe v8 ye hana hata avon ya baiskel

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 

baby zu

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
573
1,000
Ila kiukweli kwa yeyote atakaeweza kunianganisha pale nami nipate nafasi ya procurement nitashukuru sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom