dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam

    Anaejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam. Mtu wa Mkoani unanunua kupitia mtandao au vinginevyo na unatumia. Wakuu naomba kujuzwa, kama unajua Bookshop ya namna hiyo. Tafadhali naomba contacts zao.
  2. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania TV4Sale LG 32" at kawe Dar es salaam

    Lg inch 32 Ina king'amuzi cha ndani kwa ndani (channel 7) Ina remote control Ina stand zake za chini Bei 300,000 fixed Haina tatizo but nashida nadaiwa kodi Loc. Dsm kawe 0713096076
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: RC Makalla azuia utekelezaji wa amri ya kuzuia bodaboda na bajaji kuingia city center

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amezuia utekelezaji wa zuio la Bodaboda na Bajaji kuingia mjini hadi atakapotoa tamko jipya baada ya kikao chake na Uongozi wa Bodaboda, Jeshi la Usalama Barabarani na Uongozi wa Jiji la Dar es salaam. Mapema leo Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalum...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wana jamiiforum ambao hatujawahi kufika Dar es salaam toka tuzaliwe tukutane hapa

    Kwa sisi wana JamiiForums wa vijijini ambao toka tuzaliwe hatujawahi kukanyaga Hilo jiji hebu tukutane hapa na kufarijiana maana wanadarisalama wanatudharau Sana. Jambo moja kubwa ambalo naamini kwa asilimia Mia moja ni kwamba sisi wanaume wa vijijini tunawazidi nguvu wanaume wa Dar.
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bei gani kupaka rangi upya huko Dar es Salaam

    Hii Toyota Brevis ninayo toka 2013. Machine haina shida wala kipengele chochote. Ila rangi nimeshabandika sana mitaani. Sasa nataka iwekwe rangi upyaaaaaaa iwe sexy kama imetoka jikoni leo. Ndani kwenye sit na dashboard imeshachakaa,nikipakia demu naanza kujitetea sana.Nataka ing'ae kote...
  6. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Mitsubish Pajero Mini, cc 660. Available at Mbezi Dar es Salaam

    karibuni sana, gari haina changamoto yoyote. Some Details Engine Volume: Cc 660 Automatic... Piston 4.. tairi kama mpya Location: Mbezi misugusugu, Dsm Availability: all time call: 0625750755
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam at UNICEF

    National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam, TANZANIA. Job no: 545553 Contract type: Consultancy Level: Consultancy Location: United Republic of Tanzania Categories: Knowledge Management UNICEF works in some of the world’s toughest places, to...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam

    Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam. 1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga. 2. Asilimia kubwa ya wakazi wa Mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dar: Machinga waongezewa siku 12 kuhama kwenye maeneo yasiyo rasmi

    Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imewaongezea siku 12 wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga) kuanzia leo wahame katika maeneo yasiyo rasmi wanayofanyia biashara zao. Awali Serikali ya mkoa huo iliagiza kuwa leo ndiyo iwe mwisho kwa wafanyabiashara hao kufanya biashara katika maeneo yasiyo...
  10. Optimists

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar es Salaam kwa mara ya kwanza, nipeni muongozo huu

    Wakuu habari! Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto...
  11. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania House4Sale Banda la Miamala linauzwa, keko Dar es salaam

    Nipigie 0713096076 bei 250,000
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Ole Sabaya kutokea Dar es Salaam naye atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

    Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kuwaondoa Machinga mitaa ya Dar es Salaam urejewe upya

    Uamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya. Gharama ziko kiuchumi, kijamii, kiusalama na kisiasa. Sipingani na uamuzi huo, ni mzuri tu, isipokuwa nadhani...
  14. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba ujue siyo kila kitu ni cha kubinafisisha

    Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa. Umeme Bandari Reli Viwanja vya ndege Mbuga etc Baba wa taifa Mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na...
  15. daizouh

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua duka linalouza electronic components Dar es Salaam

    Mambo vipi wanajamiiforum, Naombakukujua maduka yanayouza electronics components kamavile capacitors, resistors , ICs, opamp, diodes
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Mwambieni January Makamba kwamba umeme umeanza kukatika ovyo Dar es Salaam

    Huku Dar umeme umeanza kukatika hovyo hovyo tena sahivi unakatika muda mrefu sana hadi masaa 8. Juzi nilikua sehemu fulani nje ya mji umeme ulikatika kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 1 usiku ndo walirudisha. Dalili za kuonyesha hali sio shwari ni pale umeme ukirudi watu wanashangillia hii sio...
  17. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota IST no DLW inauzwa kwa 8mil. Dar es salaam

    iwahi, bei haina udalali. cc 1290. imenyooka call 0713096076 nikuunganishe kwa boss mkaongee zaidi.
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa sehemu ya jiji la Dar es Salaam baada ya machinga kupangwa katika maeneo mapya

  19. Nigga What

    JamiiForums Tanzania Usije Dar es Salaam -- huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana

    Ebwana kama upo mkoani unafanya kazi au biashara unapata average income usijaribu kuwaza kuja jijini DAR, kwa sababu huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana. Kama uko Mbeya, Iringa, tulia usafiri wa mbeya ni rahisi na magari ni mazuri sana, hali ya hewa shwari, nyumba za...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, tumpongeze aliyesema vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wana Ugonjwa wa akili au tumlaumu?

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya yule Mwananchi Reporter aliyeandika jana kuwa Vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaugua Akili / Uwendawazimu anitumie kwani nami nataka Kumpima kama nae zimetimia au zimepungua.
Back
Top Bottom