dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Jana baada ya ku-file maombi ya kulitaka jeshi la Polisi kuwapeleka Dr. Slaa na wenzake mahakamani ambapo leo tungepangiwa jaji atakayesikiliza maombi yetu na kupewa wito wa mahakama (Summons) ili kuwaita wajibu maombi yetu . Mimi nilisafiri kurudi Dar kwa ndege...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ruler za Pica naweza kuzipata wapi kwa Dar es Salaam?

    Habari wadau, Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.
  3. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Dar es Salaam kufuta shule zote za sekondari za kutwa ili kudhibiti nidhamu ya wanafunzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo kwenye mchakato wa kufuta shule zote za sekondari za kutwa kwa ajili ya kudhibiti nidhamu kwa wanafunzi wote wa sekondari. Chalamila ameyasema hayo katika uwanja wa shule ya Sekondari ya Azania kwenye hafla ya kukabidhi magari kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Senior Program Officer – Haydom Lutheran Hospital

    Position: Senior Program Officer Job description Program Advisor: Provide support to HLH to secure efficient program implementation. Review program plans, develop proposals and budgets, and carry out project implementation support, monitoring, and report writing. The focus of the programmatic...
  5. JamiiForums Tanzania Lodge za 5000/'7000 per day Dar es salaam Pls

    Hi guys hope mko poa woteeeee rejea kichwa cha habari hapo juuu tunaomba mwenye kujua hili atupe direction pls ' kuna kazi dar tunawaleta mabinti kadhaa na makakaa wengi kidogo nahitaji .............maelekezo yenu ahsanteni isiwe mbali sana na jiji letu tukufu wale wachumi tumeelewana rgds Pdidy
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siyo Chachu na Kitovu cha Mabadiliko tena, Imebaki Historia tu

    Habari wana JF, Kwa wale wazee wenzangu, watakubaliana na mimi kwamba wanachuo wa siku hizi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wamepoa sana na wengi wao hawajiamini kulinganisha na wale wa miaka ya 2005 kurudi nyuma! Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) al-maarufu kama Mlimani, ilikuwa ni kitovu...
  7. JamiiForums Tanzania Marketer for Komonoya Japanese Supermarket in Dar es Salaam

    As a Marketer at Komonoya Japanese Supermarket in Dar es Salaam, you will play a crucial role in driving the brand's awareness, customer engagement, and sales growth. Your creative strategies and innovative approaches will contribute to the overall success of the supermarket in the local...
  8. JamiiForums Tanzania Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

    Huu ndo ukweli vijana wenzangu ambao mnapambana kucha kutwa kutafuta unafuu wa maisha ndani ya Bongo hii ila mkiwa nje ya mkoa wa Dar Es salaam ahsee kuja kutoboa sio simpo kihivyo. Sio kwamba hakuna waliotoboa ila walifanikiwa kwa kuchelewa huku wakiwa wamechoka sanaa, ukiwa kijana wa sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Natumaini nyote ni wazima wa afya njema. Natafuta kazi ya aina yoyote, ambayo itaweza nipatia kipato ambacho kitanisaidia kupata walau chakula na malazi. Ndani na nje ya Dar es Salaam. Taarifa zangu binafsi kwa ufupi: Kijana mchapakazi, mwenye nidhamu na mwepesi kuzoea mazingira ya kazi...
  10. JamiiForums Tanzania Bandari ni mali ya umma, wananchi tuna haki ya kuhoji

    Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana. Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa. Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalamu, Hiki choo mtakitumiaje? Mimi nimechemka

    Nimetembelea hospitali moja yenye jina kubwa tu hapa mjini Dar es salaam, Nilichokiona kimenishangaza sana. Jinsi hiki choo chao kilivyowekwa kila kitu sehemu moja na mlango wa choo ni mmoja, yaani kama mkiingia wawili basi mnaonana.
  12. JamiiForums Tanzania Wiki ya asasi za kiraia yazinduliwa Dar es Salaam

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndungulile amezitaka asasi za kiraia kuwa vinara wa kutoa mtazamo mbadala kuhusu miswada inayowasilishwa ili kuwasaidia wabunge kufanya maamuzi sahihi. Ndugulile amesema kazi hiyo kufanywa katika hatua za awali kabla ya muswada kuwa kwenye hatua za mwisho...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

    Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huduma gani zinazotolewa kibiashara na Makampuni mbali mbali ndani ya Dar es salaam ungetamani ziboreshwe?

    Hellow members, kama kichwa cha uzi kinavosema. Je, ni huduma gani inayotolewa kibaishara na kampuni au taasisi flani ndani ya jiji la Dar es salaam ungetamani iboreshwe? Taja jina la huduma, kampuni inayotoa hizo huduma, kero na maboresho ungetamani yafanyike. Karibuni.
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Ruto Wafanya Mazungumzo Dar es Salaam

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC - Dar es Salaam
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Selo/Lokapu Haziwezi Kuwa Safi Ikiwa Dar es salaam Inanuka

    Mwaka 1993,Wilaya ya Musoma (Mjini) kwa Mara ya kwanza iliweza kuwa Mji uliokuwa ukiongoza kwa Usafi nchini Tanzania,baada ya hapo imebaki historia na sifa zote kuanzia hapo ilijichukulia mji wa Moshi unaopatikana Kaskazini mwa Tanzania, Mkoani Kilimanjaro. Siku zote unapokuwa mtu wa kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Dar sio Jiji la harakati za Ukombozi kama ilivyo Nairobi, Kampala, Harare na majiji mengine

    Dar ni jiji limejaa watu waoga watupu na wajinga wengi sana, wapuuzi sana, huwezi linganisha Dar na hata Mbeya au.Mwanza au Arusha kwenye harakati, na pia ni tofauti na Majiji kama Nairobi au Kampala au Harare au Lusaka linapokuja suala la Harakati za Ukombozi. Tanzania harakati za Ukombozi...
  19. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar kufanya kazi kikanda

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa taarifa kwa Umma na wadau kwa ujumla kupitia vyombo vya habari kuwa,imegawanya eneo la Jiji katika kanda za kiutawala ili kurahisisha utoaji wa huduma unaolenga kutoa huduma zenye ubora na usawa kwa jamii kwa kuzingatia utawala bora na kutumia...
  20. JamiiForums Tanzania Ni vipi vyuo bora kwa diploma ya pharmacy Dar es salaam

    Wakuu habari za jioni. Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo. Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya pharmacy na nilikuwa nataka kusoma MUHIMBILI. Leo nimeingia website ya NACTE kufanya maombi lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…