Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Habarini ndugu,
Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati.
Naomba msaada wenu
Tunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno.
Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni Mzaramo Mzanaki Mmakuwa.
Mahakama Kuu imewaamuru ndugu wawili na wakurugenzi wa Kampuni ya Saruji ya Dar es Salaam Cement Co. Limited kumlipa mwenyekiti wao na Mkurugenzi Mtendaji, Pardeep Hans, zaidi ya Tsh. Bilioni 10 kwa kumfukuza katika kampuni hiyo kinyume cha sheria na kuiuza kwa Kampuni ya Amsons Industries (T)...
Za sahizi binadamu wenzangu.
Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB.
Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za...
UTANGULIZI
Kwa sasa dunia inabadilika sana, kila nchi inaweka mipango ya kuibadili miji mikokwe na kuwa miji ya kisasa. Kwa upande wa Dar es salaam, mji huu umekuwa ni wa zamani zana lakini miundombinu iliyo mingi bado ni ya kizamani kama mji ulivyo.
Tukianza na mfumo wa maji taka, tangu mji...
Ni mawiki Sasa mji mzima sehem za milima milima maji hakuna.
Hakuna kwenda toilets. Yaani ni mwendo wa kunawa.
Tunakoelekea watu watafunga.
Alichosema mh waziri wa tamisemi ni sawa kabisa viongoz wanajifungia maofisini
Mida ya saa kumi jioni ya leo Septemba 4, 2023 nilipita maeneo haya ya Jangwani karibu na mto, nikaona kuna mwili wa mwanaume ukiwa umetupwa.
Mashuhuda wanadai itakuwa jamaa ameshambuliwa na kuuliwa kisha kutupwa eneo hilo.
Sijajua huo mwili ni wan ani hasa lakini nimeshuhudia Jeshi la Polisi...
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii
Wakuu nawasalimu katika jina la Jamuhuri.
Natarajia kuwa mapumziko ya mwezi mmoja katuka moja ta majiji ya EA DSM, Kampala, Nairobi au Kigali, Nataka kuyatumia pamoja na mambo mengine kuongeza na kujinoa kwa ajili ya kuwa bora zaidi.
Naweza kusaidiwa mahali pa kujifunza ujuzi wowote kwa mwezi...
Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani...
The High Commission of India, Dar es Salaam invites sealed quotations for work of renovation of the public toilet in the India House Dar es Salaam.
The tender Document shall be available for collection by applicants from 28.08.2023 to 11.09.2023 upto 1500hrs from
High Commission of India...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa kutakuwa na ukarabati na maboresho ya miundombinu kwenye njia kuu ya kusafirishia Umeme ya Msongo wa Kilovoti 132 Mbagala - Dege na Kurasini siku ya ljumaa, tarehe 01 Septemba ,2023 na Jumapili, tarehe 03 Septemba, 2023 kuanzia...
morng
Its weekend again 26/08/2023 ni siku ya vibe nikualike au nikukumbushe wewe ambaye unatamani kutoka leo na upajui wapi kwa kwenda lakini pia wewe ni new comer in Dar es salaam unahitaji kutoka na ujajua ni sehemu gani mzuri ya kwenda kuondoa stress bas sehemu ni moja tu WAVUVI KEMP pale...
Kutofanyiwa kazi matatizo ya upatikanaji wa maji safi Dar es Salaam; Tunamtaka Waziri wa Maji kuiwajibisha DAWASA.
Utangulizi
Kwa muda wa miezi miwili Chama cha ACT Wazalendo kupitia Waziri Kivuli wa Maji imekuwa ikipokea changamoto juu ya hali ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa Mkoa wa...
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Ayu 14:1
Ndio utangulizi ninaoona unafaa kwa uzi huu, ninaoanza kuuandika mida hii saa 7:25 usiku nikiwa eneo ambalo kwa maelezo ya vibao vya barabarani vonasoma Mdaula (Msolwa), Morogoro.
Safari yangu imeanza...
Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.?
Lakini pia
✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha?
✓Wapi ninaweza kuuza kwa jumla/rejareja?
Karibuni kuchangia wakuu.
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.
Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.
Je kanisa...
Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
Wiki iliyopita nilitembelea jiji la Dar es Salaam baada ya kipindi cha takribani miaka 5.
Niliingia jijini usiku na nilishangaa maeneo ya katikati kabisa mwa jiji - Askari Monument, Mtaa wa Azikiwe na Samora hakuna taa za kuangaza mitaa. Mitaa hii maarufu ni giza.
Barabara zake zimechoka ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.